Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

Kuna wakati watu akili huziweka mfukoni. We uzime simu siku tatu na kwenu hujafika. Kama ni kweli huyo mama akapimwe akili kwanza. Yaani yeye hakujua mumewe atahitaji kufahamu kwamba amefika salama au la na hali ya huko kwao??,!!!!!!
 
Joseph ... usijidanganye, hakuna changamoto za ndoa zinazotatuliwa kwa 'kuchepuka'...na wala hakuna excuse yoyote inayoweza kujustify 'kuchepuka'. Ni ushenzi tu...hauna jina linguine! Kama kuna changamoto kwenye ndoa na unadhani huwezi zitatua, na unaona bora ukatafute 'penzi' kwengine..si uachane basi kwanza na huyo mumeo au mkeo uende kwa amani.

I heart you my dear , for this message, I loved it. Thanks !
 
Huyo mama mjinga siyo mtaalamu wa kuchepuka si angefika kwao kwanza then akaendelea na mambo yake a
Lkn mungu amemuumbua akaolewe na huyo kama naye hajamuacha

Mwanangu hamu ilikuwa imemzidia! Chezea utamu Wa Msukuma Wewe!! Vijana Wa siku hizi mnashindia mno chips hamna nguvu ya kukabili mambo! Wacha mpigiwe! Mwanamke siyo nguo, magari au chakula! Nani alikwambia alifuata hivyo tu hapo kwako? Wacha mpigiwe!!
 
Wadada wa karne hii ya sayansi na teke linalokujia na digitali ni janga la ndoa.. Si ajabu huyo mmama analiwa hadi 0714
 
Mwanangu hamu ilikuwa imemzidia! Chezea utamu Wa Msukuma Wewe!! Vijana Wa siku hizi mnashindia mno chips hamna nguvu ya kukabili mambo! Wacha mpigiwe! Mwanamke siyo nguo, magari au chakula! Nani alikwambia alifuata hivyo tu hapo kwako? Wacha mpigiwe!!

Mda mwingine tamaa hata ukamkojoza vo mdada mithili ya kuzimia bado atachepuka tu
 
Mda mwingine tamaa hata ukamkojoza vo mdada mithili ya kuzimia bado atachepuka tu
Sasa tamaa ya nini wakati mkuyati anao nyumbani?

Mkuu hili ni janga kwa wafanyabiashara wakubwa wanakuwa busy mpaka kupita maelezo kiasi kwamba hawatoi huduma tarajiwa kwa ufasaha!! Niliwahi kuumwa sikio na mmama mmoja naye alikuwa kwenye makasheshe hayo ya kukosa huduma kwa muda mrefu, anasema hata wachunga............nao wanakuwa busy mpaka wanasahau majukumu yaliyomleta mama home, sasa inakuwa rahisi kwao kupigiwa!! Maana anakuwa na mikutano mfululizo akifika home amechokaaaaaaa basi ni kujitupa tu bila kutoa huduma!!

Kwa asilimia kubwa sisi wanaume ndo chanzo cha akina mama kuchepuka wala siyo kwamba wanachepuka kwa tamaa zao. Unakuta mwanaume hutoi huduma lakini huko nje wewe unachepuka ukifika home unagalagala tu, kwa nini mama asitoke nje kwenda kutafuta mti wa hamu? Sasa chukulia huyu mama alikuwa amekosa nini zaidi pale home mpaka aamue kuufuatilia Mwanza? Hapo ni moja kwa moja kwamba pale ndani hatimiziwi haja zake eti kwa vile tu mzee kampa gari la kutembelea, anammwagia fedha kibao, anampa chakula kizuriiii!! Mkuu siyo hayo tu kuna cha ziada kinachomfanya akae kwako!! WANAUME TUWAJIBIKE!!
 
Hii
imetokea juzi hapa mwanza, kuna mama mmoja mzuri sana wa sura (Mama G)
kaolewa na tajiri mmoja Dar. kapewa gari la kutembelea (Cruiser) na kila
kitu kwa kweli.

Sasa kumbe toka wiki iliyopita alikuwa anaomba ruhusa aje awasalimie
wazazi wake hapa mwanza, mwanaume akawa anasita kumruhusu baadae anyway
akaenda Airport kumkatia Ticket ya ndege to mwanza, sasa cha ajabu Mume
wake alishapata taarifa toka awali kuwa mke wake anamegwa na jamaa mmoja
wa Mwanza lakini alikuwa hajamfahamu.

Mume kafika nyumbani akampa Tiket ya ndege, kesho yake mke kawasili
mwanza kwa ndege ya Asubuhi, moja kwa moja kwa jamaa yake cm kazima zote
alikuwa hapatikani, Mume akampigia mama mkwe wake (Mama wa mke wake)
Mama akaulizwa "G alifika salama"? Mama akauliza wapi? hapo Nyumbani!!
Mama akasema sijamuona...hiyo ni siku tatu baada ya kuwasili mwanza,
Kwao hajafika.

Jamaa akapanda Ndege kuja mwanza, akadokezwa na mtu kuwa shemeji
nilimuona jana maeneo ya Mwanza Hotel lakini hatukusalimiana, nilikuwa
busy, Mume akaenda moja kwa moja hadi kwao mke, mama yake akasema bado
hajafika na cm zake hazipatikani!! muda mfupi baada ya mume kuwasili
kwao, mke naye huyo jamaa kamleta kwa gari aina ya Prado mpaka kwao,
ile wanaingia ndani tu, Mwanamke akaanguka ghafla, Jamaa kumbe anamjua
Mume wake, alitoka anakimbia na Gari kaacha hapa bila ufunguo, ndo
anapelekwa hosp. muda huu.


Note: Wanaume tuna shida sana lakini ndo hivyo tena sasa tutafanyaje?

kuchepuka fan ya mtu mwanaume akinitimizia mahitaji muhim kamwe siwezi msalit
 
Haiingii akilini siku 3 hujawasiliana na mumeo na wakati upo safarini? unachepuka na cm unazima siku 3, labda huyo mume alikuwa si rijali, nyege zilimzidi mkewe mpaka zikamletea mtindio wa ubongo.
 
Hii imetokea juzi hapa mwanza, kuna mama mmoja mzuri sana wa sura (Mama G) kaolewa na tajiri mmoja Dar. kapewa gari la kutembelea (Cruiser) na kila kitu kwa kweli.

Sasa kumbe toka wiki iliyopita alikuwa anaomba ruhusa aje awasalimie wazazi wake hapa mwanza, mwanaume akawa anasita kumruhusu baadae anyway akaenda Airport kumkatia Ticket ya ndege to mwanza, sasa cha ajabu Mume wake alishapata taarifa toka awali kuwa mke wake anamegwa na jamaa mmoja wa Mwanza lakini alikuwa hajamfahamu.

Mume kafika nyumbani akampa Tiket ya ndege, kesho yake mke kawasili mwanza kwa ndege ya Asubuhi, moja kwa moja kwa jamaa yake cm kazima zote alikuwa hapatikani, Mume akampigia mama mkwe wake (Mama wa mke wake) Mama akaulizwa "G alifika salama"? Mama akauliza wapi? hapo Nyumbani!! Mama akasema sijamuona...hiyo ni siku tatu baada ya kuwasili mwanza, Kwao hajafika.

Jamaa akapanda Ndege kuja mwanza, akadokezwa na mtu kuwa shemeji nilimuona jana maeneo ya Mwanza Hotel lakini hatukusalimiana, nilikuwa busy, Mume akaenda moja kwa moja hadi kwao mke, mama yake akasema bado hajafika na cm zake hazipatikani!! muda mfupi baada ya mume kuwasili kwao, mke naye huyo jamaa kamleta kwa gari aina ya Prado mpaka kwao, ile wanaingia ndani tu, Mwanamke akaanguka ghafla, Jamaa kumbe anamjua Mume wake, alitoka anakimbia na Gari kaacha hapa bila ufunguo, ndo anapelekwa hosp. muda huu.


Note: Wanaume tuna shida sana lakini ndo hivyo tena sasa tutafanyaje?

Mchepuko noma bak njia kuu
 
mwanamke anapofikia kuzima simu siku tatu hatoi taarifa popote sio kwao wala kwa mume, anakuwa hapendi ndoa na haina hata haja ya kumfutilia maana utavuna stress.
 
Kwani wakichepuka wanaume sio shida kwa wanawake wakijua, mi sioni ugumu wowote hapo. Ameshamegewa basi simple
 
Back
Top Bottom