Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

Muundo wa hii stori ti unainyima credibility kabisa ya kuaminika...Hata kama mwamamke angekuwa fyatu kiasi gani si rahisi azime simu siku tatu na sehemu yenyewe ni Mwanza na hata mama yake awe hana taarifa juu ya uwepo wa mtoto wake.Its obvious mume angempigia mama mkwe simu mara baada ya kumkosa mkewe na si baada ya siku 3 kupita.Hadithi za kitoto kama hizi ziundiwe jukwaa la watoto Mod natoa hoja

Mkuu upo mwanza? ningeweka picha ila TCRA hawaruhusu na humu nikiiweka wataitoa tu
 
Ni kweli tunajitahidi sana kuwahudumia hawa viumbe tena kwa gharama kubwa ili wajisikie vizuri lakini tunavuna STRESS.

Umewaona wanawake tu nyie hamjioni eee. Kumbe vinauma eeee. Poleni yenu huyo amemuweza sana
 
Tatizo c kumegewa mke, tatizo nikuwa wanawake wengi huwa hawawakumbushi hao wanaume kutumia kinga...sasa mtu unaletewa magonjwa ndani na watoto ambao c wako, yawezekana ukoo wa huyo jamaa ni au wal

mwanandoa yoyote anayechepuka akikwambia kuwa anatumia kinga ni muongo....wee ukishaoa mke akienda chapwa njee waa usiulize eti ulitumia kinga...anza kuhesabu hasara tuu.
 
Kama umeboogie step kwneye kuoa hata ukijifanya kuwa makini na ruhusa utapigiwa na houseboy hapo hapo nyumbani.

Sema wanaume kueni makini kwenye kuoa, sio kwenye kutoa ruhusa.
 
Huyo mke wake siyo mwizi bali ni mpumbafu na akili hana. Watu tunawaiba wake za watu mume wake akipigia simu inapokewa as well dushe lipo kwa ndani inasubiri simu ikatwe kazi iendelee.
 
huyo mwana mama hata ku-cheat hajui. anasahau siku hizi kila mtu ana simu?
 
mbona staili ya zamani sana hiyo. 1.eti unaenda kwenu 2.Kuzima simu 3.Kurudishwa home?? 4.kwani alihitaji orgasm ngapi?
 
Back
Top Bottom