miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Lol una majibu wewe si mchezo!
Kwa sababu kuna maswali ndiyo tatizo sasa
Lol una majibu wewe si mchezo!
sasa huyu mbona mkunaji alikuwa karibu lakini akaifuata ya mbali
wanaume mmeumbwa mateso kuangahika...... pole yake
@amgelita bhana...
Naona we unakomalia kuwasaidia wale wanaoshimdwa kazi. Kwani hamna njia m'badala..!?
Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo
Miss Chagga una maneno bibie. Asante kwa ujumbe wa kijasiri.
Kwa hiyo we wajitolea kutoa msaada kwa wale wanaoshindwa kazi??
Kikunio butu kafuata chenye makali...
Mkuu unavuka mipaka hapa tunaongelea mada iliyopo sio Mimi.
Nipo kipenzi, embu isome tena huku unatikisa mguu kaa wasoma gazeti utaelewa tu
ah wacha wee....chezea kugegedwa vizuri weye.
Nimesoma mara tatu halmashauri ya kichwa changu imekataa kabisa kuamini hii ni hadithi ya ukweli imegoma kabisa kabisa
Ahaaaaa wanawake bana tatizo alafu hawatumii akili kwenye kuchepuka!!kuwakamata ni rahisi sana kama mengi alivyomshika madam rita