Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
Kachepuka kizamani sana.
Kachepuka kizamani sana.
Ahaaaaa wanawake bana tatizo alafu hawatumii akili kwenye kuchepuka!!kuwakamata ni rahisi sana kama mengi alivyomshika madam rita
Sanaaa.
Yani bado sana huyo mwanamke. Hayawezi hayo awaachie wanaoweza, yeye akitulize hapo kwa mmewe.
kama wanavyoimba hawa jamaa japo wame copywanaume mmeumbwa mateso kuangahika...... pole yake
kama wanavyoimba hawa jamaa japo wame copy
sikuruhusu uende kwenu ng`o!!!hivyo hivyo mateso halali yenu
sikuruhusu uende kwenu ng`o!!!
Umenenahamna papuchi ya kwako peke yako. ukishakuwa na mentality hiyo huwezi pata shida
Alitaka 8 hadi hamu ziishe! !! Hebu nicheki kwa pm Binti...nimekumissmbona staili ya zamani sana hiyo. 1.eti unaenda kwenu 2.Kuzima simu 3.Kurudishwa home?? 4.kwani alihitaji orgasm ngapi?
Halmashauri yako ni ya cheichei
hebu tafsiri hapa umeniacha njia panda pa kupanda sipaoni
Nipishe mie.Alitaka 8 hadi hamu ziishe! !! Hebu nicheki kwa pm Binti...nimekumiss