gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
Dear ,Ama Kweli Nyani haoni Ku...... Hebu jiulizeni na nyie wanaume the Same question and then mkipata jibu we will give you guys our answers. Huyo mwanamke uselfish wake ndio ulikuwa unamsumbua na kutomjua mungu nothing else . Pole Zake huyo Baba ambaye alikuwa innocent kwa hilo. Thanks!
Acha kumtumia Mungu vibaya ww
Kwani mapadri au wanhungaji wanaobaka au kuzini hawamjuiingu?
Umepewa elimu na utash utimie vizuri