Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?
mh! Sema ukweli ndugu!
Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?
sikujua we ni mwanaume Smile? Otherwise, maumbile yetu ni tofauti sana na wao especially mwanamme aliyezoea kufanya tendo la ndoa,kukaa muda mrefu ni matatizo kwake( si padri huyu)....kwasisi wanawake hilo linawezekana kabisa....!!
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?
Samahani mkuu,
Hivi mke wako akiugua na kulazwa hospitali mwaka mzima utafanyaje??
Babu DC!!
Siku zote huwa nadhania wewe ni mtoto wa kike, kumbe mwenzangu....lol ushauri wako mzuri
Anagonga nje kama kawa halafu anaenda hospital . . . . lol
Hivi huu usemi kuwa kwa wanaume ni ngumu unatoka wapi! Michelle wachangiaji wengi hapa ni wanaume na wamesema inawezekana! Kila kitu ni kujitune tu na wengine wamevimbishwa vichwa na hizi statement za wanaume ngumu!
Hivi kupiga punyeto siyo ku-cheat????
Samahani mkuu,
Hivi mke wako akiugua na kulazwa hospitali mwaka mzima utafanyaje??
Babu DC!!
Hapo sasa saikoloji huwezi kupata nafasi ya kuwazia hayo coz muda wote mind iko hospital. Lakini home kuko shwari, uko alone, umekula vizuri na pesa ipo na kuna chumba cha hotel kinavutia mbaya zaidi umegonga na valuu kadhaa....wacha wewe ni noumer, udenda kwenda mbele vinginevyo utachafua mashuka ya hotel bureee....!
Yote yanawezekana, akili yako ndiyo inaamsha tamaa. Achana na stori zenye kukutia ushawishi wa kijinga, fikiri miaka 10 ijayo na sehemu yako kwa familia. Hebu Fikiri na chukua scenario ikiwa miaka 10 ijayo watoto wako watakuwa ombaomba pale barabarani...