Wanaume tuu!!!

Wanaume tuu!!!

Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?

Kwa uzowefu wangu wa miaka mingi nimeona ndoa nyingi kwa baba au mama kuwa anasafiri mara kwa mara kikazi na kukaa kwa muda huwa hao wanandoa hawana maisha marefu kama ambao wanakua pamoja kwa 90% ya maisha yao. Safari zinachangia matatizo ya ndoa kwa kiasi kikubwa kama wanandoa hawamjui Mungu. Mimi ninayaona kutokana na kufanya kazi kwenye baadhi ya Hoteli. ILA NACHOKUSHAURI FANYA SANA MAZOEZI BAADA YA KAZI HUTAKUWA NA MATAMANIO KABISA LABDA KAMA UNATABIA ZA KUPENDA KUFANYA UMALAYA.
 
Sikutaka kuchangia ila kidogo Ndetirima kasema kitu cha maana hapo juu
Mkuu inaelekea baada ya kazi huwa huna shughuli nyingine ya kufanya na hivyo kujikuta alone kwa muda mrefu sana na idle pia
Nikushauri ili kuondoa hali ya matamanio (japo najua ipo na haizuikiki kwa mwanaume yeyote) jitahidi kufanya mazoezi kila utokapo kazini.
Kuufanya mwili wako kuchoka kutakufanya vile vile kupuinguza kwa kiasi matamanio yako ya kufanya au kuwaza masuala hayo
Vile vile la muhimu mkuu heshimu ndoa yako na mfikirie mkeo nae anawaza hilo kwa wakati huu kuwa kwa kuwa wewe uko mbali ngoja atafute mwanaume wa kumtosheleza au kupunguza tamaa zake
Hilo ni mbaya sana na kama ni muumini mshirikishe Mungu akuepushe na tamaa hizo za kupenda kumsaliti mkeo
 
Rocky, you rock!
 
Rocky, you rock!

RR thank you so much

Nimeona wengi wa hapo wanashangilia sana kwa jamaa kumshauri atoke nje kwa kuwa warembo wengi
Ajiulize swali moja na mkewe akiandika uzi kama huu kwenye mtandao wowote na akapata ushauri wa namna hiyo kuwa na yeye atafute mwanaume wa kumaliza matamanio yake ni nini kitatokea
Je kuna ndoa tena hapo
Kama anaweza kujituliza mwezi mmoja ni kipi kinachomshinda kwa miezi miwili
Na mambo haya yanategemea pia na kundi atakalokuwa anatoka nao kwenda club au sehem za starehe watakuwa wanampe ushauri kama huo
Kuwa kwa kuwa ni mwanaume hawezi kuvumilia miezi mitatu atafute sehem ya kuondoa matamanio
Simshauri hata kidogo
Heshimu ndoia yako na mfikirie mkeo na fikiria kile utakachokifanya ukiwa unafanyiwa wewe itakuumiza kiasi gani
 
OWA MKE WA PILI.

REASON

Hakuna sehemu Yesu kasema kuoa mke wa pili dhambi.

Hakuna sehemu PROPHET wa mungu wamesema KUOA mke wa pili dhambi.

Sehemu ile kama hakuna wanawake hapo inabidi ufunge kama wanavyo fanya wa islam, au upunguze kula chakula ili shahawa zipungue...Mana shahawa zikizidi unaweza kuchanganyikiwa ukarukia hata wanyama....Au kama kutakuwa na wanawake sehemu ile, utakutana nao wale ambao watakushawishi utoke nje ya ndoa.

Kuna totoz zina fig 8 mazee, huwezi kuzipita itabidi uvute handbrake juu.

All the best.

Mpaka sasa umesharukia wanayama wangapi?kwani lazima kufanya mapenzi? Usipofanya mapenzi miezi mitatu utapungukiwa nini? Akioa mke wa pili atakuwa amesolve tatizo kivip? Au unataka kila sehemu atakayokwenda kikazi awe anaoa mke? Just imagine mfano wa surveyer na engnrs wa barabara za highways unajua wanakaa site kwa muda gani?. Acha kushauri watu waendekeze ngono kama ndio kila kitu.
 
Kumbuka ugumu wa kupanda mlima mara nyingi huanzia karibu na kilele
Saikolojikale, usifikiri kuwa baada ya miezi mitatu utapata tena ile kitu. We ji-tune kuwa unapaswa kuishi maisha ya useja, kupata ni majaliwa, utaona kuwa hakuna ugumu wowote. Kumbuka kuwa hiari ya moyo husinda utumwa
 
RR thank you so much

Nimeona wengi wa hapo wanashangilia sana kwa jamaa kumshauri atoke nje kwa kuwa warembo wengi
Ajiulize swali moja na mkewe akiandika uzi kama huu kwenye mtandao wowote na akapata ushauri wa namna hiyo kuwa na yeye atafute mwanaume wa kumaliza matamanio yake ni nini kitatokea
Je kuna ndoa tena hapo
Kama anaweza kujituliza mwezi mmoja ni kipi kinachomshinda kwa miezi miwili
Na mambo haya yanategemea pia na kundi atakalokuwa anatoka nao kwenda club au sehem za starehe watakuwa wanampe ushauri kama huo
Kuwa kwa kuwa ni mwanaume hawezi kuvumilia miezi mitatu atafute sehem ya kuondoa matamanio
Simshauri hata kidogo
Heshimu ndoia yako na mfikirie mkeo na fikiria kile utakachokifanya ukiwa unafanyiwa wewe itakuumiza kiasi gani
Hakuna ndoa, tena inavunjika bila talaka
 
mmmmh! Pole na ukwasi
Ni kuishurutisha akili na mazoezi, ila kama ni kazi ya ofisini pole zaidi bora ungekuwa kuli.
 
Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?

sikujua we ni mwanaume Smile? Otherwise, maumbile yetu ni tofauti sana na wao especially mwanamme aliyezoea kufanya tendo la ndoa,kukaa muda mrefu ni matatizo kwake( si padri huyu)....kwasisi wanawake hilo linawezekana kabisa....!!
 
Inawezekana hata kukaa mwaka mzima bila ku-do, tatizo liko kwenye mawazo kuwa haiwezekani. Kama Ezan ungekuwa kijana ambaye hujaoa bila shaka ushamba ungekusukuma kudo lakini kama umeoa tatizo liko wapi? Kipi ambacho hukijui ambacho unataka kukivumbua?
Tatizo liko kwenye mawazo tu, ukiamua inawezekana, kuwa bize tu na kazi iliyokupeleka.
 
Mi nakubaliana na wale walioshauri uombe ruhusu kila baada ya wiki mbili au tatu kwasababu zozote zile uende kwa mkeo...Kwenda nje ya ndoa kutakugharimu kuliko hayo matamanio yako usipokuwa na akili,whether mkeo atajua au hatajua,kuna mabadiliko makubwa sana wanaume wanakuwa nayo wanapoanza kwenda nje ya ndoa....Inawezekana kabisa kutokwenda nje ya ndoa,fanya uamuzi sahihi
 
Siku zote huwa nadhania wewe ni mtoto wa kike, kumbe mwenzangu....lol ushauri wako mzuri
 
Ni nini kinakuwezesha kuyashinda majaribu kwa siku moja? Wiki moja? Mwezi mmoja? kama unaweza kuvumilia kwa mwezi mmoja, nini kinashindikana kuendelea na miezi mingine?

Kwani hata water tank ina overflow kwa lita moja? Unavyoambiwa anaanza kushindwa ujue ngoma imejaa kikweli. Weee vipi. Mbona amejitahidi sana best wetu.
 
Yaah sawa kabisa, kama ilivyo pia kwa mkeo, naye huwa uzalendo unamshinda ikifika kipindi kama hicho! Ezan, Kumbuka unapokuwa mbali na mkeo kikazi na yeye mkeo anakuwa mbali na wewe kwa umbali huohuo. matamanio yako hayatofautiani na ya kwake kwa sababu wate mmekuwa mkitimiza mahitaji yenu kwa pamoja. Yeye ni binadamu kama wewe na ana feelings kama zako. kama huwezi kuiheshimu ndoa yako kwa kuwa mwaminifu kwa mkeo je mkeo akikufanyia unavyofanya wewe utafurahi? mkeo naye akishindwa kuvumilia basi agawe vyombo vyako kwa wanaume wengine? Tena fikiria kama wewe huwa humfikishi penyewe halafu likatokea janaume linalojua kazi kukuzidi likamridhisha mkeo, nakwambia atakuwa anaomba uwe unasafiri kila siku tena hata kwa mwaka mzima!

Safi sana, labda hapa ataelewa
 
Ukiamua tu utaweza. Ila ukisha jiwekea mwenyewe limit ya mwezi na nusu basi utapata shida. Hakuna kitu mwili unaweza kulazimisha ikiwa roho yako inakataa kwa msimamo wa nguvu. Who gives orders?

Hivi huyu sio mdada?
 
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?

kazi gani hiyo rahisi hadi unakumbuka kupiga mti?? Utakuwa mtumish wa uma make kama ni kazi za kumeet deadline lazima kichwa kikubwa kiwe active kuliko kichwa kidogo. Na kama uko loose sana kichwa kidogo kinakuwa active kuliko kichwa kikubwa.. That is how life goes kama uko bise sana lazima kuna mda mnapewa kusalimia familia vinginevo unafanya kazi na marobot yasiyo na familia..
 
sikujua we ni mwanaume Smile? Otherwise, maumbile yetu ni tofauti sana na wao especially mwanamme aliyezoea kufanya tendo la ndoa,kukaa muda mrefu ni matatizo kwake( si padri huyu)....kwasisi wanawake hilo linawezekana kabisa....!!
Michelle, naamini kua hata wanaume wanaweza, ni swala la personal discipline, kufaham kua your mind controls your body, and not the opposite. Mr. Rocky kampa ushahuri mzuri tu: ajaribu kutafuta cha kufanya baada ya kazi, kama sport au hoby funali. Aachane na company ya wanaume wanao mshawishi kwenda nje ya ndoa. Labda hadi sasa kafaidi kwenda nje ya ndoa bila kukamatwa ila nafsi yake inamsuta na anataka kuacha. basi ahakikishe anabadilika kimawazo kwanza, na matamanio ya mwili yatabadilika pia. soma ushahuri wa Ibrah hapa chini

Inawezekana hata kukaa mwaka mzima bila ku-do, tatizo liko kwenye mawazo kuwa haiwezekani. Kama Ezan ungekuwa kijana ambaye hujaoa bila shaka ushamba ungekusukuma kudo lakini kama umeoa tatizo liko wapi? Kipi ambacho hukijui ambacho unataka kukivumbua?
Tatizo liko kwenye mawazo tu, ukiamua inawezekana, kuwa bize tu na kazi iliyokupeleka.
 
Ukianza kuona shida hiyo ita mama hukohuko Sumbawanga, anakaa wiki moja, then anasepa!...Hela makaratasi, kwani nini bana!
Mwezi na nusu tayari uko HOME na unaenjoy nae tena!..

Hapa imetulia Mkuu!
 
Back
Top Bottom