Wanaume tuu!!!

ukifanyika mtoto wa Mungu unapewa uwezo wa kushinda dhambi amabo ndio uliokuwemo ndani ya Yesu Kristo aliyeishi duniani zaidi ya miaka 30 bila kufanya dhambi

hilo ndilo suiluhishopekee wengine watakupa ushauri mwepesi ambao hautadumu
 
tembea na picha ya harusi yenu,. pia tafuta picha ya muathirika wa ukimwi alie hoi kitandani... Wee mwenyewee uta'opt'' kuNYETOA kwakwenda mbele...
 
wanaume wa humu kwa kujifanya watakatifu, jama jama, kama kweli vile...!!! kumbe asilimia 99.9 ya wanaume humu wana nyumba ndogo ilihali wako na wako zao mji mmoja. hebu mwambieni mwenzenu mnayofanya nyie acheni kumdanganya. kaomba vizuri anataka kusikia toka kwenu WANAUME mnajikanyaga tu hapa na ushauri wa uongo muonekane mwajali sana ndoa zenu.
 
Unataka wanaume wa jf ndio watengue maandiko,
mi simo ,
zaidi angalia imani yako basi,
 
wanaume wa humu kwa kujifanya watakatifu, jama jama, kama kweli vile...!!! kumbe asilimia 99.9 ya wanaume humu wana nyumba ndogo ilihali wako na wako zao mji mmoja. hebu mwambieni mwenzenu mnayofanya nyie acheni kumdanganya. kaomba vizuri anataka kusikia toka kwenu WANAUME mnajikanyaga tu hapa na ushauri wa uongo muonekane mwajali sana ndoa zenu.

Kama wanajali ndoa zao wasiseme? Au unafikiri kila aliye kwenye ndoa ni mzinzi kama wewe?
 
ukifanyika mtoto wa Mungu unapewa uwezo wa kushinda dhambi amabo ndio uliokuwemo ndani ya Yesu Kristo aliyeishi duniani zaidi ya miaka 30 bila kufanya dhambi

hilo ndilo suiluhishopekee wengine watakupa ushauri mwepesi ambao hautadumu

Yes! Ndyo huo ndo ushaur bora kuliko wote! Jisalimishe kwa KRISTO! Af punguza route za kukaa mbal na familia yako.
 
dah!kaka muombe Mungu akujalie uvumilivu,je kama wewe unashindwa kuvumilia je mkeo?kwa hivyo unakubali na yeye atoke nje?hapana bwana inawezekana kuvumilia acha kujiendekeza!
 
Inawezekana ukakaa hata mwaka mzima bila ya kufanya mapenzi. Jitahidi mawazo yako yawe katika kufikiria vitu vingine nje ya mapenzi, shiriki katika michazo mbalimbali jioni kabla ya kulala, epuka kula vyakula vinavyoongeza mihemuko ukiwa safarini, epuka kutembelea maeneo ambayo wanawake wanavaa mavazi yasiyokuwa ya heshima (Bar). Nimefanya hivyo nimeweza na ninaendelea kusonga mbele kuiheshimu ndoa yangu, jaribu hata wewe utaweza.

By Midavudavu
 
Haa !!!! wewe una matatizo kaka....miaka mitatu bila ,,,,haiwezekani bana
:hat:
 
Back
Top Bottom