The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Hahahaha...kwanza umeishamjibu gfsonwin kwanini ni mgumu wa kuomba msamahaWe nae The Finest meibukia wapi leo?
Hasira yako kwa 'kuwadi' imeisha? Husninyo hajambo? Hela ya sadaka vipi mliiwekeza vizuri?
teh teh teh...nimekusoma. Kumbe ndo maana mzee wangu alisema mwanamke akisema we kaa kimya maana atakuwa amepata ushindi....sasa siwezi nifanyaje
na kama moshi unavyoumiza macho ndani ya chumba cha jiko ndivyo ilivyo kuish na mwanaume mkorofi ndani ya nyumba.
Labda nikuulize: wanawake wanapo kataa kukiri ni kwanini?
Uliweka assumption yako ya mwanzo vibaya: ungesema watu
Maana hii tabia ipo kote kote, kwa wanawake kama wanaume
Kabisa kabisa ,wanawake wanaongea jamani,ukimkoroga leo akianza ku rap atakumbushia na hata ulivyomkonyeza matron siku ya harusi,tukio la miaka arobaini iliyopita,kha!
Kweli sikuona... sorry about that.yaelekea uzi wangu uliopita juu ya wanawake kwenye hii mada ulikupita but tuliongea na kila mtu akaweka sababu na tukaonyeshana njia nzuri ya kuomba na kukiri kosa.
mwanamke ukitaka ufurahie noa yako,wewe mtii mume wako tu basi,hata zawadi zitakuwa za kufikia tu.ila tu na mwanaume anatakiwa ampende mke wake.
Mzushi tu gfsonwin,anauliza majibu bana amekuwa kama kova anayeuliza wapi pa kumpata aliyemtia mkong'oto kaka Uli.
Kabisa kabisa ,wanawake wanaongea jamani,ukimkoroga leo akianza ku rap atakumbushia na hata ulivyomkonyeza matron siku ya harusi,tukio la miaka arobaini iliyopita,kha!
Hahahaha...kwanza umeishamjibu gfsonwin kwanini ni mgumu wa kuomba msamaha
bishanga uzushi wangu ni upi tena? kuuliza haya? FYI nilitaka niandike kama jinsi ambavyo niliuandika ule wa namna bora ya mwanamke kukiri na kuomba msamaha lkn nikasema hapana hapa ntumie busara hii manake itakuwa kama shetani kaingaia mbinguni nikaja kwa stail tofauti kabisa lakin bado mnakuwa wagumu kweli wanaume miaka 2000 tena ndo tutaanza kuwaweza.