Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,393
- 88,770
- Thread starter
- #381
Sijawahi kuwa kikwazo chochote kwake kwa anachofanya. Sana sana ananiambiaga napoteza muda kumwambia kaka ake anayoyafanya maana kaka ake mwenyewe Ana yake yanamshinda. 

.
Nimempa nafasi Afanye anachoona yeye kwake ni sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app


.Nimempa nafasi Afanye anachoona yeye kwake ni sahihi.
Believe me; it will take sometime
Lakini atabadilika, be cool as you do. Hata hivyo wewe una kauli nzuri nzuri unazowashauri watu humu jf, jaribu kuapply sasa kwenye maisha yako halisi hasa kwenye ushauri, kauli nzuri na maneno yenye busara (kama ulivyo) kwa watu wake wa karibu mfano mama yake, dada, kaka, mjomba na hata yeye mwenyewe.
Nikwambie kitu, sisi wanaume ni wadhaifu sana kwenu (hamjui tu), pia jaribu kumchunguza vitu gani hapendi kutoka kwako then mshawishi kwa kumwambia tabia yangu fulani nimeacha kwa sababu napenda mtoto wetu awe na maadili na tabia nzuri (obama wetu wa baadae)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app


