Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.

Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?

Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.

Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?

KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.

Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.

Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.

Aisee pole sana mama .... sio kwamba wanaume hawataki kutunza watoto wanaogopa kugeuzwa mitaji, wanawake mna tabia ya kuwapa overestimate wanaume this why wanaamua kukacha kabisa kutoa matumizi,,,,,kwenye matumizi ya mtoto humo mnaweka na overheads zenu za saloon, nguo etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hili suala lisikie kwa mwingine omba Mungu lisikukute....Mimi Dada angu toka nitoke mume kamkimbia kamuachia watoto sita imagine!....limeenda kuoa huko songea

Tutamdaka tu japo anaona kajichimbia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto sita jamani? Haoni aibu? Kuna mtu aliniambia hata iweje haitatokea baba akawapenda watoto kama mama anavyowapenda ndio maana ni rahisi wao kukataa watoto na hawajali kabisa. Hata ujilize ugaregare kama kageuka kageuka.
Mimi baba mtoto wangu mkorofi ila nashukuru siku hizi hicho hicho kidogo tunagawana japo nahisi huwa ananiletea hizo story zake sababu namnyima game kwahiyo anafanya kama kunikomoa na mimi nishamwambia afanye anachotaka wala asidhani ntampa game ili atunze mwanae haipo. Nitampa kwa ashki zangu na si zaidi ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakariri tatizo. Kwanza mtu kama mimi salon siendi na sinaga kumpiga mtu hela kumkomoa hata nikidate mtu Ana mihela kama hajanipa basi sio kumpa invoice za kumkomesha.
Baby daddy wangu ni jipu. Kwao wenyewe wamenyanyua mikono hamna anaemuuliza chochote. Kaka ake aliniambiaga Yule S chizi yule mama mwenyewe anamgwaya achana nae . Nikasema basi tena
Aisee pole sana mama .... sio kwamba wanaume hawataki kutunza watoto wanaogopa kugeuzwa mitaji, wanawake mna tabia ya kuwapa overestimate wanaume this why wanaamua kukacha kabisa kutoa matumizi,,,,,kwenye matumizi ya mtoto humo mnaweka na overheads zenu za saloon, nguo etc

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma is a bitch ni kweli vipi kwa upande wako hukuwahi kumcheka girl mwenzako uliemuona na hali kama yako before
 
Mnakariri tatizo. Kwanza mtu kama mimi salon siendi na sinaga kumpiga mtu hela kumkomoa hata nikidate mtu Ana mihela kama hajanipa basi sio kumpa invoice za kumkomesha.
Baby daddy wangu ni jipu. Kwao wenyewe wamenyanyua mikono hamna anaemuuliza chochote. Kaka ake aliniambiaga Yule S chizi yule mama mwenyewe anamgwaya achana nae . Nikasema basi tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha huyo kweli jipu aisee kama hadi home wanamgwaya hapo ndio unapoamini usemi wa kwamba mwanamke ni kiumbe hatari how did you managed kuishi na mwanaume wa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma is a bitch ni kweli vipi kwa upande wako hukuwahi kumcheka girl mwenzako uliemuona na hali kama yako before
Sikuwahi aiseee. Huwa nawashangaa tu wale wanaodhani kuzaa ni kumkeep mwanaume ila mwanaume anaemkataa mtoto sijawahi kumuelewa abadani mpaka na mie yaliponikuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.

Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?

Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.

Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?

KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.

Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.

Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
Shida yenu, ubishi, jeuri, kiburi, dharau, tamaa na kupenda kushindana kuna waponza nyinyi na watoto wenu...!

Kuna muda mnaona kutumia watoto kuwachapia mliozaa nao, hivi uzae na mtu afu badae uone ulikosea uamue kwenda na mwingine afu jamaa umbebeshe mtoto wewe na mwenzako mpya mkale maraha huko hakika utasusiwa mtoto tu.

Potelea mbali na asante Mungu kwa kutujalia roho ngumu msichana akituudhi hatunaga huruma ata kama anakufa afe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua wanaume tunaupendo sana na kujali, ishu ya kumjali mtoto sio ishu kubwa sana hata kumlea sio tatizo ila shida ipo kwa mama mwenye mtoto.

Mtoto hana gharama kubwa kumlea na matunzo yake, shida ipo kwa mama yake mtoto ukishamchukia kwa maudhi aliyokufanyia hata sauti yake hutaki kuisikia.

Pole sana mkuu, ila jaribu kuvaa viatu vya mwanaume akiwa na roho nyepesi anaona lolote na liwe. Wanawake jamani!!

Ushauri wangu: Tafuta watu wenye busara wanaoweza kuongea na baba wa mtoto kuhusu matunzo ya damu yake, kila kitu kitakuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana . Wengi wameachiwa watoto kisa vituko na hasira zisizo na namna kikubwa zungumza na mzazi mwenzako kwa upole mambo yataenda tu.
 
Unajua wanaume tunaupendo sana na kujali, ishu ya kumjali mtoto sio ishu kubwa sana hata kumlea sio tatizo ila shida ipo kwa mama mwenye mtoto.

Mtoto hana gharama kubwa kumlea na matunzo yake, shida ipo kwa mama yake mtoto ukishamchukia kwa maudhi aliyokufanyia hata sauti yake hutaki kuisikia.

Pole sana mkuu, ila jaribu kuvaa viatu vya mwanaume akiwa na roho nyepesi anaona lolote na liwe. Wanawake jamani!!

Ushauri wangu: Tafuta watu wenye busara wanaoweza kuongea na baba wa mtoto kuhusu matunzo ya damu yake, kila kitu kitakuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamsikilizagi mtu hata mama yake mzazi. Anasema anajua Ana mtoto na hayo mambo watuachie wenyewe.
Siku hizi anafanya ila ndo mpaka ajisikie na mimi wala simuulizi mwezi ukifika hajatuma hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lucky Dube Lyrics

"Children In The Streets"

Sitting by the door
One morning
Looking at the children going to school man, then I thought about the ones in the street
Moving up and down
No where to go
No education
No future
Then I thought about their parents man, why do they suffer so much
If they have parents why
(if you really don't want no children why do you have them, why) [x2]

[Chorus:]
We can fight and overcome
We can stop children from the street[x3]

It's a cold winter man, moving bare footed down in the street man
His father is relaxing in the best bar in town asking them to fill his glass man

His mother is kissing on another man
If you really don't want no children, why do you have them
If you can't care for them why...

[Chorus till fade]
 
Hamsikilizagi mtu hata mama yake mzazi. Anasema anajua Ana mtoto na hayo mambo watuachie wenyewe.
Siku hizi anafanya ila ndo mpaka ajisikie na mimi wala simuulizi mwezi ukifika hajatuma hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Believe me; it will take sometime
Lakini atabadilika, be cool as you do. Hata hivyo wewe una kauli nzuri nzuri unazowashauri watu humu jf, jaribu kuapply sasa kwenye maisha yako halisi hasa kwenye ushauri, kauli nzuri na maneno yenye busara (kama ulivyo) kwa watu wake wa karibu mfano mama yake, dada, kaka, mjomba na hata yeye mwenyewe.

Nikwambie kitu, sisi wanaume ni wadhaifu sana kwenu (hamjui tu), pia jaribu kumchunguza vitu gani hapendi kutoka kwako then mshawishi kwa kumwambia tabia yangu fulani nimeacha kwa sababu napenda mtoto wetu awe na maadili na tabia nzuri (obama wetu wa baadae)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom