Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

Huyo wanayemwita Mtume Mohammed kiongozi wa waislamu alikuwa hajui kusoma wala kuandika kwa mujibu wa hadithi za mtume,hizi hadithi za mtume Ni chanzo Cha kuaminika kabisa Chenye habari nyingi za uislamu,kwa hiyo Mimi nimenukuu tu

Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Ok
 
Kumbe mtu aweza tumia kinga na akapata mimba?
Basi huenda jamaa deep inside of him huenda anazani labda huyo mtoto si wake!

Kidogo kama ina ukakasi flani na tashwishwi kubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii ndo imenikuta mkuu sijui nini kilitokea Na mpaka Leo wote hatuamini maana ile ndom nilipoivua haikuwa hata imepasuka afu Toto amefanana Na mimi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kushare kitu ila nahisi hasira kidogo...kuna utelekezaji wa aina nyingi, kifupi wanawake wengi hasa wale ambao wanakuwa wanaruka ruka huwa hawajui mimba ni ya nani kile kipindi cha ujauzito ni kipindi cha maudhi sana...mimi ni muhanga wa hili, niliwahi kkuambiwa na mwanamke kuwa kipindi niko na wewe nilikuwa na mahusiano na jamaa mwingine hivyo hii mimba si yako ni ya jamaa, mwanamke anayeniambia hivi ni mwanamke niliyekuwa nimeshamtolea mahari, nikaamuuliza una mpango gani na jamaa? Akaniambia tayari ashamtambulisha kwao, niliona ajabu mchumba wa mtu anatambulisha mwanaume mwingine kwao bila ya kuhoji..ndo hivyo nikamlipia kodi ya mwaka mzima anapoishi nikamtakia maisha mema nikasepa nikiwa na mawazo mengi tu..baada ya mwezi yule dada anajifungua, watu wanamuona yule mtoto, napigiwa simu, mkuu njo umuone mwanao, nani nawaelekeza jamaa sio wangu, jamaa wanasema acha upumbavu njoo au Kama vipi sisi tutajua la kufanya, wakati huo mimi tayari niko ktk mahusiano mengine ambayo baadae yamezaa ndoa..yule mtoto sasa aliyezaliwa na yule mwanamke kadri siku zinavyoenda anazidi kumuumbua mama yake, kifupi nisingekuwa na akili yule mtoto angeteseka wakati baba yake nipo....wanawake mna mambo mengi....yupo mtu humu anaijua hii story vizuri, mwanamke anajaribu kutengeneza picha nionekane mimi ndio nilikuwa tatizo, ila jamii nzima inayomzunguka inajua upuuzi alionifanyia tangu nikiwa naishi nae mpaka hivi, na wanangu wakikaa hapo huwezi jua kama ni wa mama tofauti.
 
Kwani wanasaga vyuma best?, Ila sipendi yale mapira, I'd rather not have sex aisee...
Haaahaaa...unaijua salama condom au unaisikia, utafikri trekta linafukua magugu....mipira ovyo sana ile, bora kuna alternative yake expensive but milaini mizuri as if ni peku style!

Hupendi mipira? ...u should owe fidelity loooh...yaan uwe very loyal to ur wife otherwise mambo mbafu mbafu, haahaaa

Na kwanini ulilipa Kodi ya mwaka mzima while umeambiwa tayari yy ni mchumba wa mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwepo na makubaliano ya kupata mtoto. Isiwe gia ya kumbana mwanaume kuoa na kutoa matunzo.
Uamuzi wa kubeba mimba ni mwanamke. Hadi mimba inaingia, mwanamke smart lazima ajue kama yaliyomo yamo.
 
ungeanza ukasema alimkataa mtoto kwa sababu zipi? imekuwaje ukaachiwa motto, maana unasemea upande mmoja kama kwamba wewe ulikuwa unaota jua k yako ikiwa inapigwa jua la saa2 hadi 3 asubuhi jamaa akatokea sehemu isiyofahamika akachomeka hadi mimba, yaani wewe hukuwa na tamaaa za mapenzi kama ambavyo unasema taamaa zake,

Mara kadhaa na nyinyi wanawake mkajifunze kwa mama na bibi zenu, shangazi na dada zenu namna ya kukaa na mwanaume lijali, sio maneno kama umemeza kanda na ujuaji kasha useme baba kaacha mtotoo , INAWEZEKANA WEWE NDIO TATIZO KUBWA, TUPE UPANDE WA PILI wa habari yako.

Asante.

Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.

Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?

Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.

Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?

KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.

Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.

Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
 
ungeanza ukasema alimkataa mtoto kwa sababu zipi? imekuwaje ukaachiwa motto, maana unasemea upande mmoja kama kwamba wewe ulikuwa unaota jua k yako ikiwa inapigwa jua la saa2 hadi 3 asubuhi jamaa akatokea sehemu isiyofahamika akachomeka hadi mimba, yaani wewe hukuwa na tamaaa za mapenzi kama ambavyo unasema taamaa zake,

Mara kadhaa na nyinyi wanawake mkajifunze kwa mama na bibi zenu, shangazi na dada zenu namna ya kukaa na mwanaume lijali, sio maneno kama umemeza kanda na ujuaji kasha useme baba kaacha mtotoo , INAWEZEKANA WEWE NDIO TATIZO KUBWA, TUPE UPANDE WA PILI wa habari yako.

Asante.
Hata kama mwanamke ana matatizo ni lazima utunze mtoto wako
 
Haaahaaa...unaijua salama condom au unaisikia, utafikri trekta linafukua magugu....mipira ovyo sana ile, bora kuna alternative yake expensive but milaini mizuri as if ni peku style!

Hupendi mipira? ...u should owe fidelity loooh...yaan uwe very loyal to ur wife otherwise mambo mbafu mbafu, haahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni heri nisifanye, kuliko hayo mapira aisee, ni enjoyment at all, unavuta tu hisia huku unapush, mambo ni peku bwana....
 
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?

Pole sana Mzigua,
Ila usihofu kwasababu mtoto ni mmoja tu inawezekana kabisa akapatikana mlezi miongoni mwetu huku JF na akamtreat kama mwanae maana kuna leo na kesho (tena nyie single mothers mnasifika kwa ku-handle vizuri) maana mna uzoefu ndo maana hata vijana wengi tukidhamiria kubipu (hit & run) tunachanganyikiwa tunapiga kabisa (ndoa) kutokana na hospitality tunayopata, cha muhimu uwe transparent tu na usiwena dharau kwa yeyote.
 
Back
Top Bottom