AMB
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 206
- 65
Kila jambo lina sababu hao unaowalaumu sio wote wajingaAsante kaka. Tatizo sio hilo, kuna watoto wamezaliwa utasema ni copy ya baba zao lakini huyo baba bila aibu anashindwa kumuhudumia mwanae.
Kila jambo lina sababu hao unaowalaumu sio wote wajingaAsante kaka. Tatizo sio hilo, kuna watoto wamezaliwa utasema ni copy ya baba zao lakini huyo baba bila aibu anashindwa kumuhudumia mwanae.
Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.
Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?
Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
Haswaaa kabisa mkuu...Sema baadhi ya wanaume, si wanaume wote wenye tabia ya kutelekeza watoto wao wawe wa kike au wa kiume. Pole sana.
Mwenza hili lilinipita vipi!!
Pole sana ma.
Wakina dada huwa mnajisahau sana,ukishabeba mimba unaona ushamaliza kila kitu jeuri,matusi na kauli mbaya huwafanya wanaume waingie mitini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi anafanya ila akijisikia na wala simuulizi na nilimwambia sitamuuliza Afanye anachotaka siwezi kumlazimisha mapenzi kwa mwanae.Daaah so sad aiseee ila wanaume Mungu anawaona me yule mwanaume tangu 2016 alipo niachia ujauzito hajaonekana tena mpka Leo hii nashukuru Mungu tu kabinti kangu kanakua na afya njema basi maisha yanakwenda hatuna mawasiliano wala 100 yake cjawahi igusa ...ukimwambia kuhusu mtoto anakuja juu ananikana kwamba Mimi hanijui wala hajazaa na Mimi lkn yote kheri...nmesha move on n mwaka wa NNE sasa unaelekea wala hashtuki...yupo tu hana habari ila uzuri karma ikikuescape wewe inaweza kumkuta ata binti yako ni swala la muda tu ....
am better here
Daaah so sad aiseee ila wanaume Mungu anawaona me yule mwanaume tangu 2016 alipo niachia ujauzito hajaonekana tena mpka Leo hii nashukuru Mungu tu kabinti kangu kanakua na afya njema basi maisha yanakwenda hatuna mawasiliano wala 100 yake cjawahi igusa ...ukimwambia kuhusu mtoto anakuja juu ananikana kwamba Mimi hanijui wala hajazaa na Mimi lkn yote kheri...nmesha move on n mwaka wa NNE sasa unaelekea wala hashtuki...yupo tu hana habari ila uzuri karma ikikuescape wewe inaweza kumkuta ata binti yako ni swala la muda tu ....
am better here
Mimi anafanya ila akijisikia na wala simuulizi na nilimwambia sitamuuliza Afanye anachotaka siwezi kumlazimisha mapenzi kwa mwanae.
Maisha yetu na mwanangu yanasonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee
am better here
Yaani hili suala lisikie kwa mwingine omba Mungu lisikukute....Mimi Dada angu toka nitoke mume kamkimbia kamuachia watoto sita imagine!....limeenda kuoa huko songeaAsante kaka. Tatizo sio hilo, kuna watoto wamezaliwa utasema ni copy ya baba zao lakini huyo baba bila aibu anashindwa kumuhudumia mwanae.
Usizae bila kushauriana na mwenzio, usimvulie chupi mwanaume ukafikiri yatakayokea basi lazima ahusike, kuzaa ni kupanga na kuchaguwa, wewe unazaa tu kama sungura ukifikiri utahudmiwa?!
Nyie "Incubators" mna matatizo sana, yanawakuta kwa kujitakia, zaa baada ya kukubaliana na mwenzio na siyo kwa faida yako wewe...
Eti incubator. Mnadharau sana nyie mnaodhani maisha mmeyapatia.
Singura mimi ila siombi 10 kwako balance shobo
Sent using Jamii Forums mobile app