Wanaume tunajidanganya kuwa soko letu kwa wadada ni kubwa tukiwa na miaka 29-35 na kuendelea ila uhalisia sio huo

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,938
Reaction score
9,356
Wana Jf salaam

Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto wetu huanza kupungua sana tukifika miaka 30+

Mwanaume utakua na soko kwenye miaka 30's kwenda mbele kama una hela nyingi, au kimuonekamo bado uko in good shape, otherwise wanaume wengi kwenye hio miaka upara ushaanza, vitambi vishachomoza, uso ushaanza kukomaa

Kiuhalisia soko la mwanaume linakua kubwa pale mwanaume anapoanza kubalehe kuelekea miaka 18 hadi 24, hicho ndo kipindi kizuri cha kutafta mke, zaidi ya hapo ni uwe na hela, otherwise ni ngumu kupata mwanamke atakaekupenda bure bure

Wenye akili wamenielewa.
 
Suala ni maokoto tu kwishaaa hakuna 30s au vipi hata ukiwa 25 na hauna njuluku bado utafubaa Sana, ndio Maana mwenye pesa uzeekaji wake ni tofauti na kapuku
 
Mwnaume yeye ni mteja kwahiyo usalama wake upo katika pesa na VITU .

Ila mwanamke yeye ndo hutegemea apate pesa kutoka kwa Mwanaume

Kwahiyo ukizungumzia SOKO mwanaume hayupo sokoni kuuza bidhaa Ila yeye huenda sokoni Kununua bidhaa.

Mwanaume hana age limit katika kuoa n.k au kimiliki wanawake.

Katika miaka 30s hiyo inazungumzwa kuwa in Africa most men at the age of 30 ndo huanza kupata mafanikio hivyo huwa wanapata Sana wanawake sio kupitia muonekano bali mkwanja

In short tangia mwanaume anaingia 18 huwa hana soft game

Issue ya kipara, uso kukomaa n.k

Hii haitokani na umri Ila lifestyle kuna VIJANA wengi wapo early twenties Ila wamekomaa sura , vitamin , n.k

Na wapo watu washaingia 50s Ila hawana VITAMBI , USO upo vizuri.

So mwanaume hana kitu kinaitwa soko
 
Umeandika ukweli mchungu ambao wanawake hawapendi kuuskia.
 
Wana Jf salaam

Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto wetu huanza kupungua sana tukifika miaka 30+

Mwanaume utakua na soko kwenye miaka 30's kwenda mbele kama una hela nyingi, au kimuonekamo bado uko in good shape, otherwise wanaume wengi kwenye hio miaka upara ushaanza, vitambi vishachomoza, uso ushaanza kukomaa

Kiuhalisia soko la mwanaume linakua kubwa pale mwanaume anapoanza kubalehe kuelekea miaka 18 hadi 24, hicho ndo kipindi kizuri cha kutafta mke, zaidi ya hapo ni uwe na hela, otherwise ni ngumu kupata mwanamke atakaekupenda bure bure

Wenye akili wamenielewa.
Umri wa miaka 25 nakuendelea ni muda ambao kila mwanaume anatakiwa kuwa anajitambua wala sio tena kuweka mapenzi kipaumbele. Kujitambua huko kunahusisha mambo ya fuatayo

1: Kuwa na shughuli inayo kuingizia kipata ambacho kinakua nimatumizi ya familia yako ijayo hata kama bado hujapata familia

2: Focus kwenye mambo makubwa sio mapenzi tena.
Watu wanao fanikiwa kwenye maisha niwale wasio weka kipaumbele mambo ya mapenzi
 
Wana Jf salaam

Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto wetu huanza kupungua sana tukifika miaka 30+

Mwanaume utakua na soko kwenye miaka 30's kwenda mbele kama una hela nyingi, au kimuonekamo bado uko in good shape, otherwise wanaume wengi kwenye hio miaka upara ushaanza, vitambi vishachomoza, uso ushaanza kukomaa

Kiuhalisia soko la mwanaume linakua kubwa pale mwanaume anapoanza kubalehe kuelekea miaka 18 hadi 24, hicho ndo kipindi kizuri cha kutafta mke, zaidi ya hapo ni uwe na hela, otherwise ni ngumu kupata mwanamke atakaekupenda bure bure

Wenye akili wamenielewa.
Haujaielewa hiyo theory mkuu. Ipo hivi.

Thamani ya mwanamke ni purity and loyalty. Hizo sifa mbili kuna uwezekano mkubwa zaidi wa mwanamke kuwa nazo akiwa bado mdogo, miaka 18-22.

Katika umri mdogo inawezekana kumkuta mwanamke bado ana innocence kwa sababu bado hajapitia heartbreaks ukilinganisha na mwanamke mwenye umri mkubwa. Vilevile kwenye loyalty umri mdogo bado mwanamke anaamini katika committed relationship tofauti na mwanamke waumri mkubwa ambae mahusiano mengi ashapitia anaamini men are replaceable.

Lakini kuna exceptions. Inawezekana age 18-22 ikamkuta mwanamke akiwa damaged mfano miaka 17 ashaanza kujiuza pale riverside au kwenye kumbi za starehe maana yake 22 inamkuta injini ipo nyang'anyang'a. Theory ina-assume mwanamke akiwa mdogo ana thamani kubwa kwa sababu hapo ndipo kuna probability kubwa ya kumkuta akiwa na purity, innocence na loyalty.

Thamani ya mwanaume ni mali au uwezo wake kiuchumi. Kijana wa miaka 18 bado yupo kwa wazazi wake. 20's yote tunaitumia kujitafuta in most case 30's ndio inatukuta upepo umetulia. Ndio maana theory ina-assume mwanaume anaingia kwenye prime yake akiwa 30's. Lakini kuna exception, kama hiyo 30's yote utakua apeche alolo bado thamani yako utakua chini. Pia wapo ambao wanatoboa wakiwa 20's

Theory ina-assume thamani ya mwanamke ni kubwa akiwa 18-24. Akifika 25 hapo ni turning point na inaanza kushuka akiwa 26+ na kupolomoka kabisa akiingia 30+. Thamani ya mwanaume ni ndogo kuanzia late 10's na 20's lakini mwanaume anaingia kwenye prime akiwa 30's. Lakini hapo katikati kuna exceptions, ndizo hizo ulizotumia kujenga hoja lakini kwa bahati mbaya huwa hatufanyi conclusion kwa kuangalia exception.
 
Tafuta Hela Kijana ule Mademu wakali hata ukiwa na 60+
Kama kipaumbele ni kula mademu hizo hela ni bora tusizitafute tu. Tutafute hela kuboresha maisha yetu. Kwa mwanaume maisha yakikaa kwenye mstari na mambo mengine kama heshima yako kwenye jamii, mahusiano, ndoa n.k automatically yatajiweka kwenye nafasi yake.
 
Back
Top Bottom