Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,438
Taasisi ya kinafiki!
Utakuwa na matatizo ya maono wewe!
Povu kwenye hilo bandiko langu liko wapi?
Hakuna anayetetewa hapa.
Kama kuna kichotetewa basi ni haki, usawa, na uwiano.
Kumhukumu mtu bila kusikia upande wa maelezo yake ni kilele cha upumbavu na ujinga.
Tushawasikia wote, mfugwaji na mfugaji. kifupi wote wajinga ila mfugwaji alipaswa awe mpole.
Yote 9, mawili tu ndo makosa makubwa kwa Gardner
-Openly Cheating
-Umario
Hivi, Gardner ni golikipa?
Hana kipato kama wengine?
Kwa nini anaitwa Mario?
Au kwa vile kwenda kuishi nyumba ya mke?
Ama kwa vile alikuwa akitumia magari/ mali za Jide?
Tushawasikia wote, mfugwaji na mfugaji. kifupi wote wajinga ila mfugwaji alipaswa awe mpole.
Majibu yote A Mpaka E ni sawa!
Mbona wewe ulivyoachwa hukuropoka, hahaa haa
Binafsi sioni kama ni busara kwa huyo bwana kuingia katika vita vya maneno kupitia mitandao ya kijamii na huyo mwanamke.
Huyo mwanamke rekodi yake ya inda, unyambi, na ushari inajulikana.
Na ni kweli si malaika hata kidogo na watu tulio na utanabahi wa haki na usawa hatuamini mazima yale yote yaliyozungumzwa naye juu ya huyo bwana.
Kwa sasa ampotezee tu.
Ni wapi na lini Gardner alipoeleza kwa utondoti juu ya kilichopelekea kuachana/ kutalikiana kwao?
Na alisema nini?
Unaweza kuniambia ulipoyaona hayo maelezo ili nami niende nikayasome?
Unakumbuka ulivyoniacha..teeeh!
Hahaaa kama unafugwa na mkeo you have to shove your ego to your ass!
Tushawasikia wote, mfugwaji na mfugaji. kifupi wote wajinga ila mfugwaji alipaswa awe mpole.
Ni wapi na lini Gardner alipoeleza kwa utondoti juu ya kilichopelekea kuachana/ kutalikiana kwao?
Na alisema nini?
Unaweza kuniambia ulipoyaona hayo maelezo ili nami niende nikayasome?
Wew unadhani G anaweza kusema nini,aliachana na nani????????????
Aliachwa hivyo hana chakusema, yaani mdomo umeshonwa, unachezea keachwa wewe.
Hivi, Gardner ni golikipa?
Hana kipato kama wengine?
Kwa nini anaitwa Mario?
Au kwa vile kwenda kuishi nyumba ya mke?
Ama kwa vile alikuwa akitumia magari/ mali za Jide?
Hilo la kuachana hawezi kulisema kwakua hawajaachana bali ameachwa, nasisitiza ameachwa.
Aliyoropoka inst ni sehemu inawakilisha udhaifu wake wa kutafuta huruma za watu.
Mkuu please!!!! kubali kuwa hawezi kuelezea kamwe,
kwakua ni aibu mwanaume kuachwa.
na anajua akijaribu tu kupindisha ukweli KOMANDO atamuaibisha. ni hivo.