Wanaume tuambiane ukweli hapa.

Wanaume tuambiane ukweli hapa.

mimi mwanamme anaenipa nipa vijisent ananiroga kabisa kuna mmoja alinipa hela ya saluni japo hajanitongoza wala nini ila nimemuona mwanaume sana japo hela yenyewe ndogo hata laki haifiki ila katika wanaume nae yumo .
Hivi, kwani mwanamke hawezi kumpa mwanaume pesa?
 
mimi mwanamme anaenipa nipa vijisent ananiroga kabisa kuna mmoja alinipa hela ya saluni japo hajanitongoza wala nini ila nimemuona mwanaume sana japo hela yenyewe ndogo hata laki haifiki ila katika wanaume nae yumo .
Hajafanikiwa kuruka ukuta kwel,maana mkihongwa vzr hata huko mko radhi msukumwe ya Leo yatoke kesho
 
Hapana Mkuu si kulazimisha penzi bhana. Unapita madukani unaona gauni zuri sana, au viatu au handbag unasema duh! Hii gauni itampendeza sana au viatu unapoamua kununua kama zawadi ni kulazimisha penzi!? Au anakwambia kuna lile gauni nimelipenda nahitaji kiasi kadhaa ili kulinunua ukimpa unalazimisha penzi!? Mie mtazamo wangu ni tofauti.

Kuhonga ni dalili ya kulazimisha mapenzi
 
Ni hawara pichu namvua nnavyotaka..
Namlipia kodi ya nyumba, namvika na namlisha.
Je ninamhonga, namsaidia au nawajibika..?
 
Mimi huwa namsaidia mtu... kutoka moyoni kabisa... lakini huwa sihongi.. ila nikiona mdada namsaidia anaanza kuchukulia advantage.. namuachia vumbi
 
Tutofautishe kutimiza wajibu na kuhonga tafadhali.

Unavyomkunja mtoto wa mwenzio kama kambale alafu siku ukaamua kumtoa 200,000/= au kumnunulia ka smart 4n atelezeshe kidole hujahonga ila umehudumia/umetimiza wajibu wako.
 
mie kila mwisho wa mwezi namhonga mke wangu mshahara wangu wote ,sitaki ujinga mimi
 
Hapana Mkuu si kulazimisha penzi bhana. Unapita madukani unaona gauni zuri sana, au viatu au handbag unasema duh! Hii gauni itampendeza sana au viatu unapoamua kununua kama zawadi ni kulazimisha penzi!? Au anakwambia kuna lile gauni nimelipenda nahitaji kiasi kadhaa ili kulinunua ukimpa unalazimisha penzi!? Mie mtazamo wangu ni tofauti.
Mtazamo wako ni mzuri saana......na madungaembe ya humu yanatakiwa kuufata
 
Hivi kuna mwanaume ambaye hajawahi kuhonga?. Kama umewahi kuhonga dau lako kubwa kabisa lilikuwa sh ngapi?


Kuhonga mwanamke ni ujinga na utoto na ukiona mwanamme yeyote anahonga mwanamke basi ujuwe huyo ni mbumbumbu na dhaifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom