Uyui HB
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 553
- 512
Nilishanunua Smart phone, ,,ila Yule police aliikataa nikaamuwa ninunue kiwanja katoro bado hakuja kuweka sahihi, but Leo Ananiomba hata nimtaftie kazi hata ya kuuza dukani kwetu,,Jamani Nilikuta nimefikia pabaya sana,,Kabla ya hapo nilikuwa na nunua tu dadapoa