Mkuu kutoa una mpa mchumba, mke Nk. kuhonga ni kumpa hawara.kuna kuhonga na kutoa hivi ni vitu 2 tofauti kabisaa je wewe ulikuwa unataka kumaanisha nini?
huko siyo kuhonga bali umetoa kwa mapenzi yakoMkuu kutoa una mpa mchumba, mke Nk. kuhonga ni kumpa hawara.
Kuhonga ili upate K;;;;M Kwa hawara mkuu.kuhonga - unatoa kitu kwa ajili ya kupata kitu fulani (rushwa)
kutoa - unampa mtu kitu kwa moyo wako wote bila kumuomba chochote
mwisho:mtoa mada ulikuwa unataka kusema nini? maana mie kila siku trafik nawahonga hela nisipgwe faini
huko ndio udomo zege unampa hela mwanamke lakin hajui lengo lako nini kwake lakini kutoa unatoa kwa mtu ambaye umemtongoza na papuchi unailaKuhonga ili upate K;;;;M Kwa hawara mkuu.
Hiki wanaume wote hatukipendi sema wanawake wanatuelewaga vibaya mkuu.Mimi nawasaidia wadada ila nikiona anaanza kuleta mambo ya kubadili status ya urafiki, napotea. Sipendi kutoa pesa kwa ajili ya penzi lakini nipo tayari kumsaidia mtu kwa kadri ya uwezo wangu.
Nayo ni hongo tu, unatumia mbinu fulani ili akupende, huenda ili akupe tunda...mnhu sijawai.....ila kumpa vizawadi mpenz wangu hiyo ni kawaida yangu.