Ngoja nikuambie ukweli japo utanimaindi

Ngoja nikuambie ukweli japo utanimaindi

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,322
Reaction score
4,211
Kijana hauna tatizo wala changamoto za nguvu za kiume shida ni mwanamke uliyenaye ni kimeo sana kwako.

Huyo mwanamke uliyenaye anakulinganisha na wanaume waliowahi kumgegeda. Ndiyo maana unataabika sana na dawa za kisuna hahaaaaaaaaa.

Lakini ungekuwa na mwanamke kama wakwangu ambaye nilimkuta bikra na hajawahi kugegedwa nje,yeye hata ukitumia sekunde,dakika moja,nusu saa au saa yeye kwako sawa tu na analizika vizuri kabisa. Maana anahisi wanaume wote ndiyo walivyo.

Changamoto inakuja umeona mwanamke wa mashindano ndiyo maana unahangaika na mikongo sijui mivitu gani.

Kazi unayo mzee kama nakuona unavyopitia shida na vichupa na vifurushi vya dawa za nguvu za kiume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom