Bwana misitu
Member
- Aug 1, 2014
- 40
- 97
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23] au sio?Acha kuwafundisha wenzio tabia mbaya!! Mapenzi ya wawili [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] au sio?Acha kuwafundisha wenzio tabia mbaya!! Mapenzi ya wawili [emoji23][emoji23][emoji23]
ni ngumu sana kuelezea ila hili ni tatizo la kisaikolojia,Ni mwiko na marufuku kukubali kupelekeshwa na yeyote yule sio mke tu. Bora nisiwe na mahusiano kuliko kuwa na mwanamke anaetaka kunitawala.
this guy is a simp.kama anapewa kikojoleo bila ratiba hakuna shida
Ndio 🙈
simp'd be my fvcking middle name kama ningekua yeye napewa kikojoleo bila mbambamba aiseethis guy is a simp.
ni sawa ila hapo kwenye kupelekeshwa sasasimp'd my fvcking middle name kama ningekua yeye napewa kikojoleo bila mbambamba aisee
kila utamu una gharama zakeni sawa ila hapo kwenye kupelekeshwa sasa
Unaongea u....m...a sasakila utamu una gharama zake
hutaki piga nyeto
Ni mafala tu, sasa sijui wanapata faida ipi ku pretend... shit holes.Wanaume wengi mbele za wake zao wanatawaliwa na kutumikishwa...penzi lenyewe wanapewa Kwa masharti mengi..ila wakiwa umu jamii forum..wanavyojipaisha sasa!!!!!!
hujui anachopewa ambako kwengineko ananyimwaUnaongea u....m...a sasa
Hivi umesoma ulichoandika kweli? Wewe jamaa huwa (ga) mjinga mjinga tu na sijui kwa nini. You are not organized and smart.hujui anachopewa ambako kwengineko ananyimwa
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kinoma [emoji119]Pole sana yupo kaingia kwenye mfumo wa soka gamondi kujinasua ni kazi sana
Ukio hivyo ujue huyo demu ana K tamu balaa, mambo kama hayo, jamaa hawezi kusema.Habari za muda huu wanajamvi!.
Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.
Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.
Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.
Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.
Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!
Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!
Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..
Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...
NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah umechukua hatua gani kumnusuru?Hivi navyoandikwa kuna kolo linapeleka hela ya mkopo kwa mke wake
kunya bogaHivi umesoma ulichoandika kweli? Wewe jamaa huwa (ga) mjinga mjinga tu na sijui kwa nini. You are not organized and smart.
What about you?watu kama hawa wapo sana, kuna wengine hata hawajaoa bado, ila wanapelekeshwa na wanawake....
hakuna namna ya kuwasaidia, ni tatizo la kisaikolojia,