Wanaume Single mnasubiria nini?

Kwahiyo upo single watu walete maombi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nioe nipate nn, kama K napata mambo ya kupika akina mama lishe ndo wamejaa cho, Kufua ndo hobby yangu maana sipendi kufuliwa na MTU yeyote.
Kwanza sikawi kumchoka demu
 
NAKUPENDA Sana future wife popote ulipo
Sasahivi nakutaftia chakura ....na maisha mazuri wewe na wanangu


K,K
 
Ni vizuri umejua kwamba wanaweza kufanya kazi zote swali hapo ndio utatambua ndoa ni zaidi ya kupika na kufua jiongeze
 
Punguzeni masharti kama waganga wa kienyeji ili tuweze kuwaoa
 
Hakuna maisha matamu kama USINGLE..
1. Matumizi ya pesa yako unayapanga mwenyewe.
2. Huhitaji ruhusa ya mtu yeyotee kwenda sehemu yoyote.
3. N.K

#YOUR FREE FROM EVERY KIFUNGO..!!

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
Single ni mtu ambaye asiye responsible wala accountable na maisha yake

Ni mtu aliyekata tamaa ya maisha
 
Utarudi saa ngapi?
Mbona Umechelewa kurudi
Upo wapi
Kwani lazima upite maskani!?

Huo muda wa kujibu hayo maswali ninao sasa!?
Ukifanikiwa kuishi hadi uzee utatamani awepo mtu wa kukuuliza hayo maswali
 
Kwa mtazamo wangu ndoa ni muhimu ila siyo lazima, ni hiyari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…