Wanaume punguzeni kututesa, tunaumia jamani

Ni kweli kabisa maana yeye katwambia ya upande wake tu hatujui ya mshikajinnayo vipi, maana hawa wakikusaidia ktk maisha lazima wajioneshe kuwa wako juu yako.

Wengi huchukulia advantage kwa sababu.maisha yako hayajanyoka kakusaidia au anakuzidi kipato anajiona huwezi kufanya chochote juu yake sasa siku ukijitoa ufahamu ukajilipua ndio.matokeo yake kuja hapa na vilio
 
Mwanaume kwa asili anahitaji uhuru wa kujifanyia maamuzi sasa kama kipato kilikuwa chini obvious kwa wanawake wa kileo huyo mwanaume atakaa tu kwa sababu hana pakutokea siku akishika hata kidogo anaona mlango wa gereza uko wazi anasepa
 
Wana JF,

Sina raha kabisa. Nimejaribu kulala lakini imeshindikana. Vidonge vyangu vya usingizi vimeniishia kabisa.

Niliwahi kuleta mada juu ya mpenzi aliyeniacha ingawa muda wote ameniganda. Tunashinda nae, tunakula nae, tunasaidiana kwa kila kitu.

Wiki hii mwenzangu amebadilika tena. Ameninunia ghafla kisa nimemuuliza kipi kinamfanya aendelee kuwa nami wakati hanipendi. Hilo swali limeibua ugomvi mkubwa. Hataki hata kunisikia kisa nimeuliza hilo swali.
Wana JamiForum, naandika hapa pengine nitajisikia vema. Ila kiukweli, nimejisikia vibaya sana.

Mtu niliyesimama kidelete kipindi akiwa na shida, leo shida imeisha ananiona mkosi! Mtu niliyejinyima kuvaa kwaajili yake ili yeye apate nauli ya kwenda kutafuta maisha, leo hii nimekua chanzo cha yeye kufail maisha!

This is too much wanaume. Msipende kutuumiza namna hii. Ingawa tuna uwezo wa kuvumilia lakini kuna muda mnazidisha na mnapaswa kujua kuwa nasi ni banadamu kama nyinyi.

Mnashindwa kumwambia mtu kama mko kwa muda tu ili usolve matatizo yako mpaka mnatudanganya kuwa mnatupenda na tunawakabidhi mioyo yetu!

Mnashindwa kuthamini upendo wa mtu mpaka mtuumize mioyo yetu? Msitufanyie hivyo tafadhali. Hapa moyo wangu naona umebadilika. Kila mkaka namwona ni walewale. Kila ninapojaribu kusahau nashindwa. Chuki. hasira, huzuni ndivyo vilivojaa moyoni mwangu. Sababu ya mpuuzi mmoja tu.
Leo nalivua hili pendo la kihuni.

Samahanini wana JF, nimependa kuwashirikisha ili mjue ni jinsi gani tunavyoumia na wadada ambao hawajafikwa na hili wakae tayari.

Kunahatari kubwa kwa wasichana wengi wa kizazi hiki kutoolewa, sana sana wataishia kubebesha mimba na kuachwa hii yote inasababushwa na kijiingiza katika mahasiano ya kimapenzi kabla ya kuolewa hili limekuwa tatizo sugu! Badilisheni tabia ili wanaume wawepe heshima mnayostahili vinginevyo mtalizwa kila siku.
 
Leo naona kila mtu anaonekana mtaalam wa mapenzi.
Wengine wanamnanga dada wa watu
Wengine wakijifanya wao mapenzi sio vipaumbele kwao

Wengine kana kwamba hayajawakuta na kulia zaidi ya huyo mleta uzi.

Nashangaa mbona kila siku nyuzi za kuachwa/ kuachana na kusalitiana zinajaa humu na zinaletwa na watu hawahawa?

Tena wengine wanaumia kiasi cha kutaka kunywa sumu? Sasa mbona maoninyao leo kama vile akina don't care.

Baya limtokee mwenzio ndio ujifanye unajua ushauri sana kirahisirahisi hivyo??

Mawazo yangu tu, sometym mnaboa humu n
 
Pole ila jitahidi usiwekeze kwenye long term relationships zina matatizo.Fanya mambo mengine wanawake tuna mambo mengi ya kujifunza .Upishi, kushona,kusuka kutype n.k ,keep yourself busy atakuja tuu mwenye shida na mke.
Pia usipende kumvumilia mchumba olewa uvumilie ndoa .Mwanaume anaekupenda kamwe hawezi kukufanya mtumwa wake.Tulia samehe na usahau yaliyopita hudhuria ibada fanya toba na utoe sadaka utaona matokeo.Waliokutesa iko siku watakutafuta .
 
no mwanaume no stress ni nani yako
mpz mume bwana au mchepuko

kashakutumia sasa hakuoni thamani yako uwe mke ama la wanaume wanatuhitaji m
kwa kazi kukutumia so uziingize mapenzi eti dwa ya usingizi mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mmhmm... Love, love, love..... Love is sweet but can turn and be bitter .. God help us.. Pole sana dear .. Just pray for the healing Power to manifest in you and stop to communicate with that guy.. Change your number and move on with your life.. Never entertaining Him anymore , focus on God and yourself .. I know its hard but do it for your own good .. Thanks..
waooooh where have you been my dada?.
 
Wana JF,

Sina raha kabisa. Nimejaribu kulala lakini imeshindikana. Vidonge vyangu vya usingizi vimeniishia kabisa.

Niliwahi kuleta mada juu ya mpenzi aliyeniacha ingawa muda wote ameniganda. Tunashinda nae, tunakula nae, tunasaidiana kwa kila kitu.

Wiki hii mwenzangu amebadilika tena. Ameninunia ghafla kisa nimemuuliza kipi kinamfanya aendelee kuwa nami wakati hanipendi. Hilo swali limeibua ugomvi mkubwa. Hataki hata kunisikia kisa nimeuliza hilo swali.
Wana JamiForum, naandika hapa pengine nitajisikia vema. Ila kiukweli, nimejisikia vibaya sana.

Mtu niliyesimama kidelete kipindi akiwa na shida, leo shida imeisha ananiona mkosi! Mtu niliyejinyima kuvaa kwaajili yake ili yeye apate nauli ya kwenda kutafuta maisha, leo hii nimekua chanzo cha yeye kufail maisha!

This is too much wanaume. Msipende kutuumiza namna hii. Ingawa tuna uwezo wa kuvumilia lakini kuna muda mnazidisha na mnapaswa kujua kuwa nasi ni banadamu kama nyinyi.

Mnashindwa kumwambia mtu kama mko kwa muda tu ili usolve matatizo yako mpaka mnatudanganya kuwa mnatupenda na tunawakabidhi mioyo yetu!

Mnashindwa kuthamini upendo wa mtu mpaka mtuumize mioyo yetu? Msitufanyie hivyo tafadhali. Hapa moyo wangu naona umebadilika. Kila mkaka namwona ni walewale. Kila ninapojaribu kusahau nashindwa. Chuki. hasira, huzuni ndivyo vilivojaa moyoni mwangu. Sababu ya mpuuzi mmoja tu.
Leo nalivua hili pendo la kihuni.

Samahanini wana JF, nimependa kuwashirikisha ili mjue ni jinsi gani tunavyoumia na wadada ambao hawajafikwa na hili wakae tayari.
Maskini pole sana me mwanamke akilia n kuhuzunika huwa nasononeka sn cpend kuona mwanamke hana raha na aman.maisha mafupi pendanen msipoteze muda kukwazana.kwan ukimpenda mkeo itakuaje mbna hupungukiwi kitu ila bas tu kuleta mfumo dume.wapen wake zenu space wajiskie aman
 
Tatizo mnaingiza kichwa na miguu kwa mtu hata hamjaoana wala hajaenda kwenu. Unampenda mtu kama ulizaliwa nae?

Lala ukiamka yameisha, time is the best healer, mwanaume kama hataki mwache aende zake, kwani ulizaliwa nae? Si umemkuta ukubwani tu huyo? Sasa tatizo nn, kwani lazima uolewe kwenye matatizo ndio ijulikane unakipimo cha uvumilivu?

Alafu acha zako unajuta kupoteza nauli ulizo msaidia wakati anatafuta maisha? Ha ha nauli kitu gani bana, hata kama ulitoa kila kitu, watu wanapoteza billions ya pesa na wana sahau wanaanza upya, watu wanalala anaamka kaunguliwa nyumba ndani mke na watoto wamefia huko, na maisha yanaendelea, wewe unalilia nauli? Sasa komalia nauli ufe na machungu ya mapenzi "eti unapenda" walipendana Adam na hawa mwisho wakatengana wa kwanza utakuwa wewe?

Kwani ukimuacha huyo mwanaume hupati mwingine? Utasikia mwanaume wote ni sawa, sawa? hao walio katika ndoa na wanafuraha wao wanaishi na wanawake wenzao? Jibu ni la!

Anyway pole nimeandika kama maudhi hivi ila jua cha muhimu katika maisha ni uhai na uzima wa viungo tu, vingine vyote utafutwa na kupatikana.

Mutangulize Mungu, kuwa mtulivu, usiwe na papara ya ndoa wala kulazimisha ndoa, tafta maisha na acha mwanaume aingie yeye wewe uwe kama half half hata kama umekufa na kuoza.
Ni vitu wkt mwngne inabd ujiulize mbona kabla uliishi bila yy n maisha yalienda vzr klk ulivyoanza kumjua.kweli simple mind think simple thngs
 
Wana JF,

Sina raha kabisa. Nimejaribu kulala lakini imeshindikana. Vidonge vyangu vya usingizi vimeniishia kabisa.

Niliwahi kuleta mada juu ya mpenzi aliyeniacha ingawa muda wote ameniganda. Tunashinda nae, tunakula nae, tunasaidiana kwa kila kitu.

Wiki hii mwenzangu amebadilika tena. Ameninunia ghafla kisa nimemuuliza kipi kinamfanya aendelee kuwa nami wakati hanipendi. Hilo swali limeibua ugomvi mkubwa. Hataki hata kunisikia kisa nimeuliza hilo swali.
Wana JamiForum, naandika hapa pengine nitajisikia vema. Ila kiukweli, nimejisikia vibaya sana.

Mtu niliyesimama kidelete kipindi akiwa na shida, leo shida imeisha ananiona mkosi! Mtu niliyejinyima kuvaa kwaajili yake ili yeye apate nauli ya kwenda kutafuta maisha, leo hii nimekua chanzo cha yeye kufail maisha!

This is too much wanaume. Msipende kutuumiza namna hii. Ingawa tuna uwezo wa kuvumilia lakini kuna muda mnazidisha na mnapaswa kujua kuwa nasi ni banadamu kama nyinyi.

Mnashindwa kumwambia mtu kama mko kwa muda tu ili usolve matatizo yako mpaka mnatudanganya kuwa mnatupenda na tunawakabidhi mioyo yetu!

Mnashindwa kuthamini upendo wa mtu mpaka mtuumize mioyo yetu? Msitufanyie hivyo tafadhali. Hapa moyo wangu naona umebadilika. Kila mkaka namwona ni walewale. Kila ninapojaribu kusahau nashindwa. Chuki. hasira, huzuni ndivyo vilivojaa moyoni mwangu. Sababu ya mpuuzi mmoja tu.
Leo nalivua hili pendo la kihuni.

Samahanini wana JF, nimependa kuwashirikisha ili mjue ni jinsi gani tunavyoumia na wadada ambao hawajafikwa na hili wakae tayari.

Correction: Usiseme mnashindwa, sema unashindwa au anashindwa. Aliyekufanyia hivyo ni mmoja so usituhusishe sisi wengine.
 
Chuki. hasira, huzuni ndivyo vilivojaa moyoni mwangu.....we endelea kuviweka moyoni uone mwisho wake ukoje...
 
usituhukumu wanaume wote,,..tatizo lipo kwa huyo mwanaume wako pekee,,..kuna wakati mapenzi yanaonekana kama sanaa inayohitaji umakini mno,,...usiombe kukutana na muigizaji wa mapenzi...>>kila siku utakua unaumia tu nakutuomba ushauri hapa jukwaani
 
Wakiwa na matatizo wananyenyekea kweli kweli hawa ,I love u kila wakati ladies Think like a man ,but act like a lady tuweni makini na hawa viumbe
 
Pole yako ila na nyie msiwapange wanaume ukifsnya hvyo watapangika na hutapata wa kweli ila wa kikamilisha haja za miili yao na kusepa waziiiii?
 
Back
Top Bottom