Wanaume punguzeni kututesa, tunaumia jamani

Teh teh..Douta umewahi kusema "sometimes haumpotezi mtu,Ila yeye ndo anakupoteza"..Ndo kilichotokea hapo
Hahahaha na ninasema leo tena "I don't lose people, people lose me".... sawa nimekupata daddy shigongo
 
Teh teh..Sure..Kustay positive ndo mpango..We ukiona watu hawakutongozi..Jua kuwa we ni mzuri hadi wanakuogopa..wanakuona sio level yao teh
 
Wana JF, sina raha kabisa. Nimejaribu kulala lakini imeshindikana. Vidonge vyangu vya usingizi vimeniishia kabisa.

Niliwahi kuleta mada juu ya mpenzi aliyeniacha ingawa muda wote ameniganda. Tunashinda nae, tunakula nae, tunasaidiana kwa kila kitu.

Wiki hii mwenzangu amebadilika tena. Ameninunia ghafla kisa nimemuuliza kipi kinamfanya aendelee kuwa nami wakati hanipendi. Hilo swali limeibua ugomvi mkubwa. Hataki hata kunisikia kisa nimeuliza hilo swali.
Wanajamii forum, naandika hapa pengine nitajisikia vema. Ila kiukweli, nimejisikia vibaya sana.

Mtu niliyesimama kidete kipindi akiwa na shida, leo shida imeisha ananiona mkosi!! Mtu niliyejinyima kuvaa kwaajili yake ili yeye apate nauli ya kwenda kutafuta maisha, leo hii nimekua chanzo cha yeye kufail maisha!

This is too much wanaume. Msipende kutuumiza namna hii. Ingawa tuna uwezo wa kuvumilia lakini kuna muda mnazidisha na mnapaswa kujua kuwa nasi ni banadamu kama nyinyi.

Mnashindwa kumwambia mtu kama mko kwa muda tu ili usolve matatizo yako mpaka mnatudanganya kuwa mnatupenda na tunawakabidhi mioyo yetu!

Mnashindwa kuthamini upendo wa mtu mpaka mtuumize mioyo yetu? Msitufanyie hivyo tafadhali. Hapa moyo wangu naona umebadilika. Kila mkaka namwona ni walewale. Kila ninapojaribu kusahau nashindwa. Chuki. hasira, huzuni ndivyo vilivojaa moyoni mwangu. Sababu ya mpuuzi mmoja tu.
Leo nalivua hili pendo la kihuni.

Samahanini wana jf, nimependa kuwashirikisha ili mjue ni jinsi gani tunavyoumia na wadada ambao hawajafikwa na hili wakae tayari.

Sema ndo inavyokua wengine hatujapata hizo bahati lol]
so sorry
 
samahanai dadaaaaa kwani ukimuacha utakufa? halafu kumwacha mtu usiombe sababu hata kubali fanya maamuzi magumu kuwa naachana naye acha aseme we ndiyo chanzo lakini wewe sepa tu
 
Teh teh..Sure..Kustay positive ndo mpango..We ukiona watu hawakutongozi..Jua kuwa we ni mzuri hadi wanakuogopa..wanakuona sio level yao teh
Hahahahaha daddy umenichekesha jamani. Unassume sio class yako eeh, kweli kujipa moyo muhimu teh teh
 
Mmhmm... Love, love, love..... Love is sweet but can turn and be bitter .. God help us.. Pole sana dear .. Just pray for healing Power to manifest in you and stop to communicate with that guy.. Change your number and move on with your life.. Never entertaining Him anymore , focus on God and yourself .. I know its hard but do it for your own good .. Thanks..
Abadili namba kisa mtu mmoja asie na mana hell nah switat Ana watu WA muhim kibao akibadili namba itakuaje hajaamua huyu kumuacha unajua unapokubali hali ya jamboo fulanu unakua umeanza kutibu asilimia kubwa ya tatizo linalokukabili ebu aamue kua kivyake amtoe mawazoni aanze upya kwani kabla ya huyu anaemliza Liza alikua anaishije?? Yeye amind business zake Tu asake mihela hawa atawakuta mbele na watakuja
 
Pole mpenzi.
Haya mambo yapo sana! kuna watu wanaroho za kinyama humu duniani hawajali hisia za wengine hata kidogo.
kwanza tambua hauko pekeyako wako wengi tu wameumizwa mengine ukisimuliwa utanyamaza na kuona yako yana nafuuu....

Kama kupona kwako ni machozi just cry it all out... lakini kulia kukizidi nako ni tatizo.

Si kitambo kidogo nilikua na tatizo kama lako au kubwa zaidi, nilitumia wiki 2 kuomboleza asubuhi mpaka asubuhi lakini haikua msaada, sikuweza kubadilisha chochote, madawa ya usingizi unakunywa 3hours uko awake! hayana msaada
Lakini siku niliposimama nakukataa hali ya unyonge na kukubaliana na yaliyotokea mambo yakabadilika.
Tambua uko na watu wanakuzunguka na wanakupenda, umetendwa ndio lakini si mwisho wa kuishi, maisha yanaendelea.
Mshukuru Mungu kwa hayo na mengine yote! hakikisha unakua busy siku yote kuepukana na mawazo ya huyo (FiSADINUKTA.)
Jitahidi ule vizuri hamu hakuna lazimisha tu Pia usichelewe kulala Achana na madawa ya usingizi ukishazoea itakua shida, zima radio, tv na simu yako fumba macho tafakari ukuu wa Mungu usingizi utakuja tu
Ukiona umeshindwa kulala mlilie Mungu tu Wema hauozi..
...wewe ndie mchungaji Illovo alokuwa anakutafuta uwe mama mchungaji ule mema ya dunia afu ukajikausha!
 
Tatizo sio huyo mwanaume mpendwa tatizo ni wewe kudate na mtu ambaye bado mvulana.
 
Abadili namba kisa mtu mmoja asie na mana hell nah switat Ana watu WA muhim kibao akibadili namba itakuaje hajaamua huyu kumuacha unajua unapokubali hali ya jamboo fulanu unakua umeanza kutibu asilimia kubwa ya tatizo linalokukabili ebu aamue kua kivyake amtoe mawazoni aanze upya kwani kabla ya huyu anaemliza Liza alikua anaishije?? Yeye amind business zake Tu asake mihela hawa atawakuta mbele na watakuja
I think kama umemuelewa vizuri she can't stay away from him na hii moja wapo inachangia ya Kaka to know her number na kufanya mazoea tena. My advice imetokana na weakness aliyokuwa Nayo toward Huyo mkaka.. So ili to cut it off Yale mazoea ya kuona number ya jamaa inapigwa kwa phone yake abadilishe tuu .. Na hii itammpa time to start to forget Yale mazoea ya kuto expect his call.. It will take a time kwa mkaka kujua her new number ,by that time reach I'm sure she will be strong enougj to face him without getting close to him anymore .. I think for those who went through kama huyu Dada will understand me.. Just understand kuwa we are different people , from different background.. And nimemmshauri hivi if she sees that can't handle him ... Hao other people can communicate with them kwa number mmpya .. Nothing wrong with that.. But at this point her well being is more important than to worry about his other people can reach her ... Na Mimi na focus on her well being .. Natumai umeipata my point .. Thanks.
 
Na mtaendelea kuteseka tu kama mtaweka akili zenu kwa wanaume.
Y kuteseka kwa ajili ya mtoto wa mwanamke mwenzio? fanya kazi kwa bidii pambana na maisha yako.

Afterall, unatakiwa ujipende mwenyewe the rest kwa kiasi tu. Bila hivyo utaendelea kuumia na kuteseka tu hakuna namna.
 
...wewe ndie mchungaji Illovo alokuwa anakutafuta uwe mama mchungaji ule mema ya dunia afu ukajikausha!

Ha ha haaaa.... yaani nikamtema Illovo nikaenda kuopoa shetani ndoa yake alisemaga mwezi wa 9 sijui alishapata mama mchungaji
 
....hahahahaha...nafasi bado ipo ukawe mweka hazina wa kanisa ujenge CV ndo uje upewe mikoba JF Mabibo wing!
 
I think kama umemuelewa vizuri she can't stay away from him na hii moja wapo inachangia ya Kaka to know her number na kufanya mazoea tena. My advice imetokana na weakness aliyokuwa Nayo toward Huyo mkaka.. So ili to cut it off Yale mazoea ya kuona number ya jamaa inapigwa kwa phone yake abadilishe tuu .. Na hii itammpa time to start to forget Yale mazoea ya kuto expect his call.. It will take a time kwa mkaka kujua her new number ,by that time reach I'm sure she will be strong enougj to face him without getting close to him anymore .. I think for those who went through kama huyu Dada will understand me.. Just understand kuwa we are different people , from different background.. And nimemmshauri hivi if she sees that can't handle him ... Hao other people can communicate with them kwa number mmpya .. Nothing wrong with that.. But at this point her well being is more important than to worry about his other people can reach her ... Na Mimi na focus on her well being .. Natumai umeipata my point .. Thanks.
Nimekuelewa Sana Sana ila Kuna mambo inapaswa akubali Tu kila siku uumie kila siku unalia till when??
 
Back
Top Bottom