nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
c bora huyo hujamwambia lolote...kama mimi hapa mtaani naona kuna manzi ananikubali vibayavibaya ila mimi sina mpango naye, yaani najisemea huyu binti nikae mbali naye sababu najua nitamuumiza tu lakini pia ile hulka ya kiume inanijia yaani namwangaliaga simpatii picha
Huyu walikuwa nae kwa muda mrefu, Alafu akatemwa bila sababu ya maana. Hiv mnaweza kukaa na mtu kwa more than 7 month na humfeel?