Wanaume Nisaidieni

Wanaume Nisaidieni

Acheni uzinzi. Subiri muolewe ndipo mmegwe. Mnahangaikia nini? Mwanaume hana akitafutacho zaidi ya *kukutusua* na akigundua *uchi* wako ni wa kawaida kama wengine anajiona mjinga alivyokuwa anahangaika kabla ya kukupata na anakudharau wewe uliyekuwa unamzungusha. Kama utapenda kuendelea kugawa uloda kabla ya ndoa, basi mtu akikuomba usimzungushe, mpe mara moja.

Hayo maneno kwenye nyota si mchezo!

Mapenzi mengi hua hayana uhalisia....hiyo ni moja wapo yakuoneshana ubabe na kutokua na upendo wa dhati.
Hivyo hakuna haja ya kulalamika.
Mapenzi ya kiafrika bana....vioja ni vingi kweli.
Kumbe unagawa ili ugande hapo?
Mgande alie-broken.
 
15,na bado ninaishi........

Wanaume 15 ni wachache mno kuhitimisha kuwa wanaume wote WAGA wanafanya mambo uliyoyaelezea hapo juu. Labda ungetueleza kwa ufupi hao wanaume 15 uliokutana nao walikuwa na profile ya aina gani ili tuweze kutoa maoni kwa kuangalia tabia halisi za wanaume wa aina hiyo.
 
katika hao 15, hujapata tu majibu ya mawsali yako uliyotuuliza hapa?
Kama, hujapata, endelea kuongeza idadi,
utajua tu kwanini huwa tupo hivyo!
ubarikiwe michelle!!!!!!

Ha ha h ah aaaaaaaaaaaaaaa, Sijapata Bacha,mi siko hapa kujaza thread,its a serious business,nataka kujifunza na kuwafunza wengine.
Honestly,ntaongeza tu sema kwa haya niliyojifunza naamini yatanipa umakini na perhaps karibuni ntafika mwisho..............lol

Ubarikiwe pia Bacha,thanks
 
Tatiana,kuna wengine kweli ni donoa donoa lakini yule atakaye mapenzi ya dhati hutegemea kuona mwenzi wake anajitolea vipi kimapenzi zaidi ya anategemea kupata nini ktk mapenzi. ndio maana kuna wanaume wana wapenzi hata sura hawana lakini ukimuuliza imekuwaje umeangukia pale anakujibu nachopata najua mwenyewe. Mwanamke sharti awe ni home of love not the love court.
 
Wanaume 15 ni wachache mno kuhitimisha kuwa wanaume wote WAGA wanafanya mambo uliyoyaelezea hapo juu. Labda ungetueleza kwa ufupi hao wanaume 15 uliokutana nao walikuwa na profile ya aina gani ili tuweze kutoa maoni kwa kuangalia tabia halisi za wanaume wa aina hiyo.

kwenye profile nitaje nini,kazi zao,kabila,level ya elimu,umri???
 
Michelle.......haya maswali uliyowauliza kina kaka ni magumu na kwa kweli kupata jibu straight huwa ni ngumu na mwisho some of the majibu yao au reactions zao tunazichangia sisi wenyewe.............
1. Why wanabadilika after ku-do: Inategemea na jinsi Do yenyewe ilivyokuwa (Utashangaa nikikwambia hii haihusiani na kuwa mrahisi wa kumchojolewa wala nini). Unaweza ukakutana naye leo na kesho ukajikuta umechojoa!! Kama game ilikuwa exciting na mdada umejua namna ya kuifanyia haki ule usemi wa 'First impression is the one which lasts' basi atarudi tena na tena na tena. But unaweza ukamzungusha mwaka na siku unachojoa ukayavurunda ..hutomsikia tena. Si it depends na mdada mwenyewe how you handle the situation- che muhimu jua basics za kumfanya astick ambazo zinaapply kwa wanaume wote na zile specifics za yeye anataka/pendelea nini.

2. Hakikisha unatoa full package.........some challenging ideas (asikuone we mwanamke sura tu) Cheza kwenye anga zake show your brain (If you dont have one, buy time to borrow). HAve that sense of humour, be cheerful and an entertainer (Do not overdo though).

3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.

But sikatai, some are just jerks

Ni kweli MJ1, uliyosema ni hali ambayo wanaume wengi tuliyonayo,
lakini kumbuka kuwa, wanaume wengi tunapowatongoza,
huwa tumeshajenga taswira ya umbo lako likiwa uchi, na yamkini,
hata taswira ya jinsi utakavyokuwa kitandani tuki do inakuwepo tayari kichwani,
isitoshe, immediately, baada ya kumaliza tendo (hasa baada ya ku- ejaculate),
akili inanituma nisiendelee tena kuku-entertain, kwani nakuwa nimeshakukinai,
sana sana kitakachonifanya niendelee kukuvumilia, ni
either, umeucheza mchezo vizuri, au ni hisani tu kwakuwa sitakuwa nimekutendea haki!!!!
lakini kwa ujumla hamu yetu inaisha pindi tunapomaliza tendo!
Sorry,
nawasilisha tu!!!!!!!!!
 
Siutakataa labda wewe unakuwa umeweka matarajio makubwa pamoja nakuolewa!!

Ila si utakuwa umesema ukweli??? huwezi jua labda na mimi natafuta hit and run..............lol
 
Ni kweli MJ1, uliyosema ni hali ambayo wanaume wengi tuliyonayo,
lakini kumbuka kuwa, wanaume wengi tunapowatongoza,
huwa tumeshajenga taswira ya umbo lako likiwa uchi, na yamkini,
hata taswira ya jinsi utakavyokuwa kitandani tuki do inakuwepo tayari kichwani,
isitoshe, immediately, baada ya kumaliza tendo (hasa baada ya ku- ejaculate),
akili inanituma nisiendelee tena kuku-entertain, kwani nakuwa nimeshakukinai,
sana sana kitakachonifanya niendelee kukuvumilia, ni
either, umeucheza mchezo vizuri, au ni hisani tu kwakuwa sitakuwa nimekutendea haki!!!!
lakini kwa ujumla hamu yetu inaisha pindi tunapomaliza tendo!
Sorry,
nawasilisha tu!!!!!!!!!

GOD HAVE MERCY,asante Bacha,its good to learn that! ukweli mwingine mgumu kupokea!
 
GOD HAVE MERCY,asante Bacha,its good to learn that! ukweli mwingine mgumu kupokea!

Ukweli ndo huo michelle,
na ni vizuri uupokee kama ulivyo,
ninapokuwa nina mke, kisha nikawa natafuta infi,
sio kwamba nimempenda sana huyo infi kuliko wife,
la hasha, ni katika kuwakilisha uanaume wetu,
na kama nikiendelea na huyo infi katika mahusiano,
basi, either mchezo wake anajua kuucheza vizuri, otherwise nitaondoka kwa spidi kali baada ya kukidhi haja yangu!
wanawake wanoelewa hii falsafa wala huwa hawasumbuki kabisa,
cha msingi atakuwa anatafuta namna ya kuucheza mchezo katika fair play,
ili akuonyeshe kuwa mambo ipo kwake tu!!!!!!!!!!
Pole Michelle!!!!!!!!
 
Asante Bacha,ndo elimu hiyo,ndo ukisikia knowledge is power uelewe.
 
sasa! Siuseme tu!
Wewe ulikua unatakaje kwa wanaume?
Ili usaidiwe kupata jibu lako.
 
eh,sasa kama anakupenda akuzungushe nn?
Hapo sasa unajua hawa wakaka wanatuchukuliaga sisi kama matoi yale ya kujazwa na ufunguo........yaani haturespond had turespondishwe!! Nani kakwambia kuwa mimi nasubiria e uje unambie Mwana nakupenda wakati moyo wangu ushaoza kwako?>........sitakwambia but nitakupa signs ukizielewa the moment you beep ..napokea
 
we dado hujapata wanaume wa kutosha ukifikisha 50 ndio unaweza kujua, ila mimi kama ile puchu siyo tamu fasta nakimbia nyie c mpo wengi kuliko sisi!!
 
Ni kweli MJ1, uliyosema ni hali ambayo wanaume wengi tuliyonayo,
lakini kumbuka kuwa, wanaume wengi tunapowatongoza,
huwa tumeshajenga taswira ya umbo lako likiwa uchi, na yamkini,
hata taswira ya jinsi utakavyokuwa kitandani tuki do inakuwepo tayari kichwani,
isitoshe, immediately, baada ya kumaliza tendo (hasa baada ya ku- ejaculate),
akili inanituma nisiendelee tena kuku-entertain, kwani nakuwa nimeshakukinai,
sana sana kitakachonifanya niendelee kukuvumilia, ni
either, umeucheza mchezo vizuri, au ni hisani tu kwakuwa sitakuwa nimekutendea haki!!!!
lakini kwa ujumla hamu yetu inaisha pindi tunapomaliza tendo!
Sorry,
nawasilisha tu!!!!!!!!!

Bacha nimekupata but I thought michelle anazungumzia wale ambao wanasearch wenza ..............but thanx kwa angalizo duh.kweli mapenzi kizungumkuti
 
Bacha nimekupata but I thought michelle anazungumzia wale ambao wanasearch wenza ..............but thanx kwa angalizo duh.kweli mapenzi kizungumkuti

Ndo hasa nilikuwa nawazungumzia ila Bacha kaweka hadi ya ndoa wazi,am happy though!Haya mapenzi ni kitu gani?????
 
mmmmhh kibano ..

majibu matamu saa huku ndani ..
sante Michelle.........
 
Hapo sasa unajua hawa wakaka wanatuchukuliaga sisi kama matoi yale ya kujazwa na ufunguo........yaani haturespond had turespondishwe!! Nani kakwambia kuwa mimi nasubiria e uje unambie Mwana nakupenda wakati moyo wangu ushaoza kwako?>........sitakwambia but nitakupa signs ukizielewa the moment you beep ..napokea

sasa MJ1,
hapo katika utoaji wa hizo signs,
ndo huwa mnatofautiana,
kuna mwingine anakupa majibu makali mpaka unajuta sijui kwanini ulitia maguu,
Lakini kumbe mwisho wa siku , kama ulikuwa mvumilivu, unakuja gundua kuwa alikuwa amekupenda kitambo tu!
sasa hizo signs ndo nakuwa na wasiwasi nazo!!!!!!!!!
mara zingine haziko realistic!!!!!!!
 
bacha signs ninazozisemea mimi hapa ni zile zenye kuashiria kuwa nami kwako nimefika............yaani tabasamu kwa sana, salamu 24/7, soft touch kama tuko karibu kihivyo ili mradi tu kujinotifaisha kuwa mimi ni binti bacha.......kama u mwelewe utajua tu huyu msichana kanipenda so inakuwa rahisi sana kuchomeka gear...mpenzi wangu alinambia kuna kipindi wanaume nao hushikwa na kigugumizi wakati wa kutongoza !!
 
Back
Top Bottom