Wanaume Nisaidieni

Ukweli ndo huo michelle,
na ni vizuri uupokee kama ulivyo,
ninapokuwa nina mke, kisha nikawa natafuta infi,
sio kwamba nimempenda sana huyo infi kuliko wife,
la hasha, ni katika kuwakilisha uanaume wetu,
na kama nikiendelea na huyo infi katika mahusiano,
basi, either mchezo wake anajua kuucheza vizuri, otherwise nitaondoka kwa spidi kali baada ya kukidhi haja yangu!
wanawake wanoelewa hii falsafa wala huwa hawasumbuki kabisa,
cha msingi atakuwa anatafuta namna ya kuucheza mchezo katika fair play,
ili akuonyeshe kuwa mambo ipo kwake tu!!!!!!!!!!
Pole Michelle!!!!!!!!

mmmhh mama mia Bacha duuuuuuhhhhh
naona umeamua kufumua haswa..
 
we dado hujapata wanaume wa kutosha ukifikisha 50 ndio unaweza kujua, ila mimi kama ile puchu siyo tamu fasta nakimbia nyie c mpo wengi kuliko sisi!!

Mungu aeupushe mbali,heeeee kisa hunijui ndo unishauri hivyo?dada yako ungemshauri hivyo?i mean,am not your sister but thats not an advise.
Na hayo ya wangapi niwe nao,niachie mimi kwani hao 15 uliniambia????.........................lol
 
Ndo nishasema na hayo unayoyaona ndo majibu,sikuhitaji ziada!
michele unapokuja kwenye hayo ya ndoa..........kuwa mtu ana mkewe halafu we ni infii basi yote alosema bacha ni kweli... usitegemee mtu na ndoa yake akakupenda infii kuliko mkewe (Isipo kuwa wale ambao hujisahau) yaani kama we ni infii hata ukimwachia hadi tundu za pua.............akimaliza tendo ndo anawaza kama alivyosema bacha. Ni kweli tupu

Wewe kama umeamua kuwa Infii wa mtu amua tu kwa kuwa unataka kuenjoy life wenyewe mnaita but sio eti unatafuta love........unajidanganya
 
sasa MJ1,
hapo katika utoaji wa hizo signs,
ndo huwa mnatofautiana,
kuna mwingine anakupa majibu makali mpaka unajuta sijui kwanini ulitia maguu,
Lakini kumbe mwisho wa siku , kama ulikuwa mvumilivu, unakuja gundua kuwa alikuwa amekupenda kitambo tu!
sasa hizo signs ndo nakuwa na wasiwasi nazo!!!!!!!!!
mara zingine haziko realistic!!!!!!!

Realistic ndo kama zipi na zisizo realistic ni zipi Bacha????
 
michele unapokuja kwenye hayo ya ndoa..........kuwa mtu ana mkewe halafu we ni infii basi yote alosema bacha ni kweli... usitegemee mtu na ndoa yake akakupenda infii kuliko mkewe (Isipo kuwa wale ambao hujisahau) yaani kama we ni infii hata ukimwachia hadi tundu za pua.............akimaliza tendo ndo anawaza kama alivyosema bacha. Ni kweli tupu

Wewe kama umeamua kuwa Infii wa mtu amua tu kwa kuwa unataka kuenjoy life wenyewe mnaita but sio eti unatafuta love........unajidanganya
Mjukuu Leo naona umeamua kutoa Dozi....
hakuna kuremba.....!!
 
Huko kwa waume za watu sitaki kutia pua yangu kabisa,i always say i deserve my own man,thats bn low and cheap......Mungu anisaidie
 
Realistic ndo kama zipi na zisizo realistic ni zipi Bacha????

kwakuwa wewe Michelle ni mwanamke,
najua umeniuliza hili swali kwa mitego tu!
Anyway, si wanaume wote ni wavumilivu,
pindi wanapozungushwa once wakimtongoza mwanamke,
kwahiyo kama itatokea mwanamke akaonyesha tabia ya sitaki nataka kwa sana,
anaweza kumkosa yule mwanaume ambae si mvumilivu wa kusubiri!
ndipo hapo nasema signs nyingine are not realistic,
mwanamke anakuzungusha sana ili aonekane machoni kwako sio mrahisi kiivyo,
kumbe na yeye amependezwa nawe,
anakuja kusema YES, wakati kidume umeshachukua maamuzi mengine!!!!!!(kwa wale wasio na uvumilivu)
 
duh! ee bwana eeh...........wanaume noma, mnajua kupakanga tuu, haya bwana kama ndo hivyo na nyie mkitendwaga msilalamikege sawa sawa??:welcome:
 
Mi nadhani AD,
Ni vema kuelezana mambo mengine kwa misingi ya ukweli,
Ndipo hili Jukwaa linaponoga!!!!

mmmhh asante mkuu
leo mi nakufuatilia tu
kwa nyuma na kusoma tu...
hata sintakusumbua kukujibu lol

lete mamabo lete
leo ndo nimeanza kumjua Bacha
asante mkuu
 
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi

Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:

1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????

2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??

3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?

Natumai maswali si mengi sana.
Kwanza mnatakiwa mjue kuwa mwanaume anapomtaka msichana huwa kuna vigezo ambavyo yeye anakuwa ameviona toka kwa msichana amtakaye,sasa linapokuja suala la kukimbia mara baada ya kufanya mapenzi inatokana na mwanaume kutokuridhika na labda huduma toka kwa msichana husika au kile kitu ambacho mwanaume alivutiwa nacho kinakuwa hakijakidhi vigezo alivyotaka,kwa mfano unakutana na mwanamke kajazia nyuma na kumbe u mdhaifu kwa masichana waliojazia na ukifanikiwa kumpata unakutana na makunyanzi au vipele,unadhani mwanaume atataka tena?

Kuhusu kuumia,sidhani kama mwanaume akishamtumia msichana na kuamua kumchunia huwa anaumia bali kinachotokea ni kuwa mwanaume anakuwa hataki tena mahusiano na msichana husika na hana namna ya kumwambia bali huamua kukaa kimya.

Kila mwanaume ana anachotaka kutoka kwa mwanamke,sasa hapa inategemea anakutana wapi na huyo mwanamke,hisia zake zinampeleka wapi kwa wakati huo,kwa mfano unaweza kukuta mwanaume kaenda bar na kukutana na mwanamke na asimpende ila akishaweka kadhaa kichwani humuona mwanamke yule ni kama malaika,mtu wa namna hii tunasema hisia zake zilichangiwa na pombe na zilikuwa ni katika tendo tu si kitu kingine.Hivyo kila mwanaume ana kitu atakacho toka kwa msichana na inategemeana na mahali,wakati na mtu yupo katika hali gani.
 
Unajua baada ya muda gani kwamba kimekosekana,either sex,company or feelings?? Hiyo ina maana kuwa wanaume hulala na wanawake wengine without any feelings?siongelei wale wa kulipia naongelea decent gals wa kawaida tu.........................
Mhhhh hakuna DECENT GIRL anayekubali kugawa kabla ya ndoa. Akifanya hivyo hana tofauti na wanawake wengine tu and she is subject to hayo unayoyasema ya jamaa kuingia mitini.
 
Mjukuu Leo naona umeamua kutoa Dozi....
hakuna kuremba.....!!
Babu yangu Kimey..................leo akili yangu nadhani imelewa hisia za konyagi.

Nimeamka alfajiri na kuisaka nyumba nzima.....bahati yangu sifanyi kazi karibu na Bar mbona ndo ingekuwa kifungua kinywa!!

Nimechakachuka.
 
Kwanza mnatakiwa mjue kuwa mwanaume anapomtaka msichana huwa kuna vigezo ambavyo yeye anakuwa ameviona toka kwa msichana amtakaye,sasa linapokuja suala la kukimbia mara baada ya kufanya mapenzi inatokana na mwanaume kutokuridhika na labda huduma toka kwa msichana husika au kile kitu ambacho mwanaume alivutiwa nacho kinakuwa hakijakidhi vigezo alivyotaka,kwa mfano unakutana na mwanamke kajazia nyuma na kumbe u mdhaifu kwa masichana waliojazia na ukifanikiwa kumpata unakutana na makunyanzi au vipele,unadhani mwanaume atataka tena?

Kuhusu kuumia,sidhani kama mwanaume akishamtumia msichana na kuamua kumchunia huwa anaumia bali kinachotokea ni kuwa mwanaume anakuwa hataki tena mahusiano na msichana husika na hana namna ya kumwambia bali huamua kukaa kimya.

Kila mwanaume ana anachotaka kutoka kwa mwanamke,sasa hapa inategemea anakutana wapi na huyo mwanamke,hisia zake zinampeleka wapi kwa wakati huo,kwa mfano unaweza kukuta mwanaume kaenda bar na kukutana na mwanamke na asimpende ila akishaweka kadhaa kichwani humuona mwanamke yule ni kama malaika,mtu wa namna hii tunasema hisia zake zilichangiwa na pombe na zilikuwa ni katika tendo tu si kitu kingine.Hivyo kila mwanaume ana kitu atakacho toka kwa msichana na inategemeana na mahali,wakati na mtu yupo katika hali gani.

Asante sana Joseph,somo limeeleweka haswa..........................Bless u!
 
mmmhh asante mkuu
leo mi nakufuatilia tu
kwa nyuma na kusoma tu...
hata sintakusumbua kukujibu lol

lete mamabo lete
leo ndo nimeanza kumjua Bacha
asante mkuu[/QUOT)

By the way,AD Vipi?,
sakata lako liliishaje jana,
nilisikia kwa mbali tu,
kuwa kuna mtu kaachwa kwa kuwa bwana kampata mwingine,
hebu nambie bana!!!!
 
Babu yangu Kimey..................leo akili yangu nadhani imelewa hisia za konyagi.

Nimeamka alfajiri na kuisaka nyumba nzima.....bahati yangu sifanyi kazi karibu na Bar mbona ndo ingekuwa kifungua kinywa!!

Nimechakachuka.

Kwa minajili hiyo uwe unachakachua konyagi Mwanajamii1,then utupe ukweli mgumu kama leo..................lol
 
Huko kwa waume za watu sitaki kutia pua yangu kabisa,i always say i deserve my own man,thats bn low and cheap......Mungu anisaidie
Lol..........I think you meant you deserve mwanaume ambaye atakuchukulia wewe kama his own.......sidhani kama kwa karne hii kuna mwanamke anayeweza kuwa na her own man michelle........................
 
Ha ha ha ha ha, ya leo kali,nafurahi watu wamekuwa wa wazi sana,tutajifunza mengi

mmmmhh mie naona raha kusoma tuuu..
hata sintatoa kitu..

haya mie getini kukaribisha wageni
na kufukuza walevi ..
ndo kazi yangu hiyo leo..
hahahhahh lol

kwa kweli umewaweza lakini mmmmhhhh
Rose angekuwa hapa leo wangeliia hahah lol
 
michelle hapo mambo poa mie nijuacho ni kwamba wasichana wengi wakiwa bed huwa wanajisahau, mwonyeshe mwanaume kuwa unaweza lkini ukilemaa harudi tena hivyo nawaasa dada zangu jitumeni vinginevyo hata mkiolewa mtaachwa ndani na mume atakwenda kutafuta amridhishaye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom