Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,231
- 26,750
Mkuu Vin Diesel habari za masiku bana
Umepotea sana aise nikajua mhusika wa story hapa ni wewe maana uliaga unaenda mtwara
Ila kwa wadada ukituringia sana naingia na gia ya kukuoa mwisho unaishia kama wa dada yetu hapa Heaven on earth mwambie Ngalikihinja huwa unanimiss bana asiweke kinyongo moyoni
Ngalikihinja I miss you,ila mambo ya kuniweka Pending weekend uyaache.......
Mr Rocky itanidi nipunguze kuringa,
Last edited by a moderator: