WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

Ukipenda chongo bana hata kengeza hutaona kabisa
Yaani kwa vile unampenda grafani11 ndo unamtetea hivyo
Sifuti kaluli na wala simuanzishii thread maana namjua huyo jamaa ni kiwembe balaa
Heaven on Earth malkia wangu usihofu, amefuta kauli yake kwa siri, hukumuelewa amesema hafuti kaluli, lakini kauli ameshafuta.
 
Sex is just a basic need for everyone. One should not use as the guarantee for marriage.
 
Relationship hazina adabu, ziko kama Bodaboda, ajali muda wowote tu..
Usiachane na mpenzi wako wa sasa kwa mbwembwe kisa umepata Kipusa kipya
Unamwaga shombo na kashfa debe 5...Kisa umepata buzi jipya basi hatuhemi,
Unabreak up kwa kiherehere, nyodo na kisebusebu,
Utadhani huyo mpenzi uliyempata Mwili wake umetengenezwa na Eat Some More Biscuits kwamba ukimbusu anatoa maziwa fresh au jasho lake linanukia juice ya Aloe Vera....Ndiyo basi tena!
 
Hivi kumgegeda mwanamke ni kumkomesha eenh?
Hivi unaweza kuikomesha ile kitu kwa kuigegeda kweli? Maana kuna jamaa yangu tukiwa A LEVEL Tosa Boys aliwahi kunipa stori:

Kwa kuwa tulikuwa tunakuw ashuleni kwa kipindi kisichopungua miezi mitano bila kuona mwanamke, ilikuwa ni hatari maana hata ukiona beki tatu wa mwalimu anapita nje askari anakasirika na hata kama mwalimu anafundisha darasani usikivu unatoweka.

Basi jamaa yangu baada ya muhula wa kwanza kumalizika na kutawanyika kwenda nyumbani alifanikiwa kumpata demu mmoja. Anasema siku hiyo ilikuwa patashika na nguo kuchanika maana kama ni chamoto yule dada alikipata mpaka akafikia hatua ya kuapa na kumuambia rafiki yangu asimtafute tena kwa kuwa alikuwa na nia ya kumuua au kumkomoa.

Basi rafiki yangu akajua ukame wake umemfanya akose demu hivi hivi. Siku ya pili yake jioni wakati jamaa amejilaza geto kwake akitafakari jinsi demu alivyomkimbia jana kwa gwaride la kufa mtu, mara akasikia hodi mlangoni. Kufungua mlango yule demu karudi tena, jamaa kajua labda demu karudisha badhi ya zawadi ambazo jamaa yangu alishawahi kumpa hapo kabla.

Kinyume na matarajio yake yule demu alikuwa kamletea jamaa zawadi ya chakula alichokuwa amekificha kwenye kanga aliyojifunika. Jamaa ikabidi aulize, je "umenisamehe kwa niliyokutendea jana"? Yule demu akamjibu rafiki yangu kwamba "ni kweli alimuumiza lakini maumivu yalizidiwa na raha na ndiyo maana amerudi tena ili akizoea asiumie tena na raha iwe zaidi".

Kwa maneno haya nafikiri huwezi kuikomoa Papuchi kwa kuigegeda.
 
kupendwa raha jamani,hasa ukipendwa na grafani11,

muda mwingine kuwa najiuliza mbona hatukujuana mapema!!!!!
Mwanamke unamashairi matamu wewe, hebu ongeza na mashairi ya ule wimbo wa Lady Jaydee, Yahaya mamana naona kuna watu humu hawaeleweki wanapoishi lakini kwa mikogo yao wanataka kuninyang'anya wewe. Hahahaaaaaaaa..... hawajui tulianzia wapi na hata tutakapomalizia tunajua wenyewe.
 
Kwani nimedanganya sasa Heaven on earth we muulize mambo yake akupe siri yake akiwapakia kwenye Dar Express wanajaa na kubaki reserve wengi tuu
Malkia wangu Heaven on Earth ona walivyojishikisha wenyewe, kwanza sisi toka tuwe wote hatujawahi kutumia basi kwenye safari ndefu. Mpango mzima ndege Precision Air au Fastjet kama vipi tunatumia mkoko wetu binafsi.

Sasa hapo kunakuchimba dawa kweli?
 
hivi utamu wa mwanamke unaisha kwa kumlamba mara tatu tu, naamini jamaa naye anajutia kama demu alikuwa mrembo haswaaa.
 
Mwanamke unamashairi matamu wewe, hebu ongeza na mashairi ya ule wimbo wa Lady Jaydee, Yahaya mamana naona kuna watu humu hawaeleweki wanapoishi lakini kwa mikogo yao wanataka kuninyang'anya wewe. Hahahaaaaaaaa..... hawajui tulianzia wapi na hata tutakapomalizia tunajua wenyewe.

Hahaaa maneno yao, yananikosesha raha mwenzio, naomba umwambie Mr Rocky kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom