Wanaume ni uchoyo au ni roho mbaya? au ni kutokujiamini

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,559
45,879
Inatokea binti ana rafiki wa kiume rafiki mzuri tu hata muda mwingine anakutongoza ila labda upo unamchunguza kama anafaa au vipi. Ikatokea siku ukakwama kifedha kama rafiki ukamuomba akukopeshe na rohoni mwako unajua kabisa utalipa

Kutoka hapo hata kukutongoza naaacha hata urafiki hataki tena kama huna sema huna sio unakimbia . Kwani ni lazima?

Naomba kuuliza wanaume ina maana kila mwanamke ni mchunaji? Ni kosa wewe kumsaidia rafiki wa kike? Kwani hatukwami sisi? hatuitaji msaada? Mbona mnakwama?? Nyie mbona mnakopa?

Kuna wanawake wengine mpaka akuombe hela kwanza ujue amekuheshimu sana na ukitoa ujue heshima yako inaongezeka mara dufu.

Tabia ya mwanamke hutoijua kwa kukuomba elf 20,au 30 ya kusukia . Anaweza asikuombe kumbe ndani ni mbwa mwitu. Mahusiano mangapi ya watoto wa kishua yapo vibaya? si wana hela wale hawana shida yoyote, Je hawasumbui? Mbona nao wanashindikana?

Kaka zangu rafiki yako akikuomba hela mara ya kwanza kama unayo wewe mpe tu kiroho safi . Usimjudge mtu kwa mambo ya dunia yasiyo na thamani utakuja kupishana na malaika mlangoni kwako kisa hela umkaribishe shetani kisa kuweka akiba isiyo na mlaji
 
Mkuu tatizo sio uchoyo wala kutokujiamini...ILA TUNAWAENZI WAHENGA WETU WALIOSEMA UKING'ATWA NA NYOKA,UTASHITUKA HATA UKIGUSWA NA UJANI
si bora utoe tu hyo hela ili ujue kama huyu nae ni nyoka au vipi mapema? kuliko ukae na mtu kumbe sio .kama elf 50 ya siku moja inaweza kukupa ukweli si bora utoe tu.
 
hata wenye biashara kubwa nao wanakopa muda mwingine.hujui kitu emergency wewe? kukopa hela ni kwamba huna chanzo cha hela?
 
Mkiombwa maarifa hamtoi
 
Ukisikia jiwe limerushwa kwenye giza na mtu akalia...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…