Wanaume ni uchoyo au ni roho mbaya? au ni kutokujiamini

Tatizo wanawake huwa mnafikiri pesa ni suluhisho la shida zenu, omba maarifa ya kusaka pesa.

Kingine mkikopa kulipa mna tabu sana, mnapenda kutumia udhaifu wetu kama kinga dhidi ya deni. Kwa mwanaume mwenye akili huwa hakopeshi mwanamke ila anatoa kama kusaidia tu and not otherwise.
Kusaka tunasaka lakini pia kuna zile shida za hapa na pale hujitokeza hivyo muwe mnajiongeza jamani.
 
hata kama hata lipa ila naweza kumdai hata kwa kumchukulia kitu chake cha thamani ila mwanamke kumdai inakuwa taabu kidogo in short tu siwezi kudai dai
sasa maana ya urafiki ni nini kama huwezi kumsaidia mwenzako?
 
Mkiombwa maarifa hamtoi
Hapana demi, wachache waliotayari kujifunza mbinu. Wengi ni maprofessional wa kutumia tu.

Ikifika muda wa kulipa utasikia, jamani my diaaaaa me mwanamke ujue sijui hata nisemeje. Kama vipi amua mwenyew basi, am ready.

What do u expect, na chukulia pesa umeichomoa kwenye mtaji. It's rubbish, ndo maana anaejua mchezo wenu anaamua kusepa ili kulinda reputation yake.
 
:D:D:D:D:D:D:D Hawakopesheki hawa ...... kuna moja nilimkopesha 500,000.00 mwingine 200,000.00 mwingine 50,000.00 kwa ahadi waturudisha hata moja mpaka leo hata simu hawapokei tena sasa ya nini kugombana bora hata wangekuwa wamewahi kunionjesha papuchi basi . sikopeshi hata 100 kama lager/wine njoo tunywe mpaka asubuhi khaaaaa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom