Wanaume ni uchoyo au ni roho mbaya? au ni kutokujiamini

Miss Natafuta ur too judgemental.......kuna kukopa na kuomba.....kuomba kuna lugha yake na kukopa kuna lugha yake pia...wanawake weng wanapokopa huwa hawaongei lugha ya kukopa bal ya kuomba na ndio maana unakuta wanaume wanakimbia......
Pia kuna situations za kumuamin mwanamke km kwel anakopa ama ni just anataka akupige mzinga butu.....mfano wanawake weng mkishafahamiana after few months lazm akupige mzinga....ichi kitu huwa kinawashushia credibility san kwa wanaume...tunaishia kuona sasa hapa nlikoingia siko kabsa...

So dont be one way oriented.....
 
Hapana demi, wachache waliotayari kujifunza mbinu. Wengi ni maprofessional wa kutumia tu.

Ikifika muda wa kulipa utasikia, jamani my diaaaaa me mwanamke ujue sijui hata nisemeje. Kama vipi amua mwenyew basi, am ready.

What do u expect, na chukulia pesa umeichomoa kwenye mtaji. It's rubbish, ndo maana anaejua mchezo wenu anaamua kusepa ili kulinda reputation yake.
Nilishawahi kuomba msaada wa maarifa/mawazo kwa wanaume kama wawili hivi..sikupata cha maana kwa kweli. Na nilikuwa nahitaji mawazo yao tu na si kingine.
 
Miss Natafuta, unatutafuta maneno sasa.... Yaani mimi ndo mhanga mkubwa wa jambo hili.... Nimepigwa saaaana... Juzi tu hapa, kanipiga demu 30,000...kanipotezea hata kusalimiana hataki, halafu sikuamini hata! Duh..hapana Acha tuwe wachoyo... Biashara ilobaki ni kupatana tu,.... Kidemu cha Arusha kilipiga 50,0000...hataki tena tujuane... Khaaa'!.... Sirudii tena....
 
:D:D:D:D:D:D:D Hawakopesheki hawa ...... kuna moja nilimkopesha 500,000.00 mwingine 200,000.00 mwingine 50,000.00 kwa ahadi waturudisha hata moja mpaka leo hata simu hawapokei tena sasa ya nini kugombana bora hata wangekuwa wamewahi kunionjesha papuchi basi . sikopeshi hata 100 kama lager/wine njoo tunywe mpaka asubuhi khaaaaa.....
Nikopeshe na mimi wa mwisho kabla haujachukua maamuzi hayo tafadhali.
 
Miss Natafuta, unatutafuta maneno sasa.... Yaani mimi ndo mhanga mkubwa wa jambo hili.... Nimepigwa saaaana... Juzi tu hapa, kanipiga demu 30,000...kanipotezea hata kusalimiana hataki, halafu sikuamini hata! Duh..hapana Acha tuwe wachoyo... Biashara ilobaki ni kupatana tu,.... Kidemu cha Arusha kilipiga 50,0000...hataki tena tujuane... Khaaa'!.... Sirudii tena....
alikuwa rafiki yako? au unazungumzia vitoto vya facebook
 
Mtoa mada sitathubutu kumkopesha hela dada niliyemtongoza halafu bado hajakuambia yes or no, nimepata fundisho baada ya kumkopesha dada mmoja niliyempenda but alikuwa bado hajanipa jibu, nilipoanza kumdai ule muda alionambia atanilipa ulipopita akaanza kunizungusha miezi inakatika nikamwambia nitaenda polisi akasema nenda walipokuja polisi watu wakamtetea kuwa hyo kesi ya madai polisi haiwahusu kisha anawaambia namdai sababu nilimtongoza akanikataa hii ni true story sitampa pesa demu ambaye si mpenzi wala ndugu yangu nitawakopesha men tu ikiwezekana hata nitawapa pesa bure kama ana shida kweli.
 
Miss Natafuta ur too judgemental.......kuna kukopa na kuomba.....kuomba kuna lugha yake na kukopa kuna lugha yake pia...wanawake weng wanapokopa huwa hawaongei lugha ya kukopa bal ya kuomba na ndio maana unakuta wanaume wanakimbia......
Pia kuna situations za kumuamin mwanamke km kwel anakopa ama ni just anataka akupige mzinga butu.....mfano wanawake weng mkishafahamiana after few months lazm akupige mzinga....ichi kitu huwa kinawashushia credibility san kwa wanaume...tunaishia kuona sasa hapa nlikoingia siko kabsa...

So dont be one way oriented.....
nyie ndo mpo judgmental . sasa maana ya urafiki ni nini mkuu? unapokuwa rafiki yangu unataka nini? tuishi vipi?
 
Mtoa mada sitathubutu kumkopesha hela dada niliyemtongoza halafu bado hajakuambia yes or no, nimepata fundisho baada ya kumkopesha dada mmoja niliyempenda but alikuwa bado hajanipa jibu, nilipoanza kumdai ule muda alionambia atanilipa ulipopita akaanza kunizungusha miezi inakatika nikamwambia nitaenda polisi akasema nenda walipokuja polisi watu wakamtetea kuwa hyo kesi ya madai polisi haiwahusu kisha anawaambia namdai sababu nilimtongoza akanikataa hii ni true story sitampa pesa demu ambaye si mpenzi wala ndugu yangu nitawakopesha men tu ikiwezekana hata nitawapa pesa bure kama ana shida kweli.
kutolipa hata wanaume wapo ambao hawalipi.
 
Tutuo haujambo? Sijakutia machoni kitambo!!!
 
Kusaka tunasaka lakini pia kuna zile shida za hapa na pale hujitokeza hivyo muwe mnajiongeza jamani.
Honestly, wapo wanaume wanafunguka sana tu kwenye wallet zao hususani sisi wa kanda maalum. Tatizo sasa mnapokutana nyie kwa nyie huwa tunawasikia mkisema nmempata bwege anamwaga pesa kama hana akili nzuri, shosti ntamtafuta mpaka akome.

Kwa kweli mna vikauli vyenu vinaudhi, inabidi tu turudi nyuma wakati mwingine. Wakati tulivyofunzwa sisi mwanamke ni kama mwanao, kutoa huduma inakuhusu.
 
Miss Natafuta ur too judgemental.......kuna kukopa na kuomba.....kuomba kuna lugha yake na kukopa kuna lugha yake pia...wanawake weng wanapokopa huwa hawaongei lugha ya kukopa bal ya kuomba na ndio maana unakuta wanaume wanakimbia......
Pia kuna situations za kumuamin mwanamke km kwel anakopa ama ni just anataka akupige mzinga butu.....mfano wanawake weng mkishafahamiana after few months lazm akupige mzinga....ichi kitu huwa kinawashushia credibility san kwa wanaume...tunaishia kuona sasa hapa nlikoingia siko kabsa...

So dont be one way oriented.....
Sasa mbona wewe ndio umekuwa too judgemental na kushusha wenzio credibility!!!
 
Tatizo liko kwenye lugha zenu mnazo tumia ndio zinatupa mashaka ya kutoa,pia uhakika na shida yako ilo nalo ni tatizo jingine ingekuwa roho mbaya basi hata watu baki tusinge wasaidia huku mitaani swala ni umeombaje sio tumejuana leo kesho unaomba 50 utarudisha na tulijuana bar tu au kwenye semina na ukaka ata uyo mwanamke unaempa kwa stairi hiyo akitoka apo anasema hela ya yule kaka aina kazi
 
Mtoa mada sitathubutu kumkopesha hela dada niliyemtongoza halafu bado hajakuambia yes or no, nimepata fundisho baada ya kumkopesha dada mmoja niliyempenda but alikuwa bado hajanipa jibu, nilipoanza kumdai ule muda alionambia atanilipa ulipopita akaanza kunizungusha miezi inakatika nikamwambia nitaenda polisi akasema nenda walipokuja polisi watu wakamtetea kuwa hyo kesi ya madai polisi haiwahusu kisha anawaambia namdai sababu nilimtongoza akanikataa hii ni true story sitampa pesa demu ambaye si mpenzi wala ndugu yangu nitawakopesha men tu ikiwezekana hata nitawapa pesa bure kama ana shida kweli.
Alafu mpenzi wako hautakiwi usubiri hadi akuombe, we toa tu, jiongeze.

Kweli we bandidu, hadi polisi!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom