Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake...!

yani wewe ni strong woman
Mtambuzi ingawa hujanialika,nimeamua kujileta mwenyewe

ni kweli kwamba wanawake tuna have certain power over men
too bad most of us we dont know it!!!!!!

If a woman recognizes her power over men, and chooses to exercise it,
she can own a man unakuta mtu ni bosi mkubwa sehem fulani lakin
kwa mwanamke wake hafurukuti,
 
Mungu akusaidie yaelekea hata mama yako pia ni jambazi maana umetuorodhesha wote, una matatizo ya kisaikolojia acha nimwite Lady doctor aanze kukupima vipimo vya kwanza halafu mm nije kumalizia
Utajiamini vipi mbele ya jambazi mwenye silaa? Wanawake wote ni sawa na majambazi wenye silaha kali, always ukiwa karibu nao lazma ukae mguu nje mguu ndani bana. Hawachelewi kuku kanumba hawa.
 
Last edited by a moderator:
enyi me........ni kwanini mnaogopa wadada walioko vizuri kiuchumi?
mnatoa wapi hiyo dhana kwamba mtanyanyaswa nk.
kwa nini?

babu Asprin hommie Kaizer na monaco ozzbend sosoliso broda Mentor dr watu8 nguli Eiyer na kiwatengu
shemeji Nicas Mtei Arushaone Filipo etal ninini eti?

hivi Paloma, mi nafanania ivo?

hehehe sema ndo ivo wanaume wengine ambao hawajaenda shule vizuri wanakuwa wanaogopa, kuna conflicting issues.. ego ya uanaume na deep down the reality kwamba hana elimu au kipato sawa na mpenziwe wa KIKE (sipendi ukameruni mimi)
On the other hand due to historical reasons, wanawake wanaojikuta juu kiuchumi/kielimu wanakuwa wanacompensate miaka maelfu ya babe wa wanaume na hivyo nao wanaona wamepata nafasi ya kuwakandamiza wanaume 'wanyonge' kwao,,,,think of the oppressor and the oppressed, always ijapokuwa the oppressed anaona kuwa ni vibaya kuwa oppressed, siku akipata nafasi ya kuwa oppressor naye anamwoppress atakayekutana naye liwalo na liwe.......
so ni he same thing hapa

Ila sasa kwa wanaume ambao wanawajulia kama mimi hapa wala hawatupi shida...uanaume wetu unakuwa pale pale na wao wanaendelea kuwa wanawake bila kujali kipato/elimu cos we UNDERSTAND these differences.......na kuziappreciate...

kwa Mtambuzi sijui amesema baadhi ya wanaume au wote? Eti Fixed Point, shemeji yangu kipenzi na rafiki yangu....

CC Asprin KakaKiiza kiwatengu Filipo Arushaone Baba V
 
Last edited by a moderator:
yaani hapa pamenivutia sana nimepaste jamani
Hebu ona, hadi leo mwanaume anaweza kuhatarisha maisha yake au hata kupoteza maisha akijaribu kutafuta njia za kumfanya mwanamke amwone kuwa ni wa maana. Atasema uongo, atajikweza, atajifaragua, akitafuta kukubaliwa na mwanamke. Huu ni udhaifu mkubwa na unaonyesha ni kwa kiasi gani jinsia hii isivyojiamini. Udhaifu huu na mwingine ndiyo ambao mwanaume amekuwa akitafuta kuuficha ili mwanamke asiuone, ambapo ameamua kumkandamiza kwa mabavu.
 
ndugu yangu..........hiyo ulioipuliza jana ni feki!!! mwambie sakapal akuletee kitu bomba!

embu jibu swali vizuri! usikwepe kwepe kwa viswali vingine...

Hapo umemuuliza swali tuu amebaki a a a e i o u yaani hata kujibu swali kashindwa, ndo kutojiamini kwenyewe huko alikosema Mtambuzi na kutumia mabavu kubadili topic ya ulichomuuliza na usipokaa sawa anakugeuzia kibao na kuanza kukukoromea. So hii mada ina ukweli asilimia zote na ushahidi ndo huo aliuonesha mentali.
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu..........hiyo ulioipuliza jana ni feki!!! mwambie sakapal akuletee kitu bomba!

embu jibu swali vizuri! usikwepe kwepe kwa viswali vingine...

STILL COUNT ME OUT!

Sijawahi kumuogopa mwanamke kwa sababu ya hali yake kiuchumi aisee...
 
Hapo umemuuliza swali tuu amebaki a a a e i o u yaani hata kujibu swali kashindwa, ndo kutojiamini kwenyewe huko alikosema Mtambuzi na kutumia mabavu kubadili topic ya ulichomuuliza na usipokaa sawa anakugeuzia kibao na kuanza kukukoromea. So hii mada ina ukweli asilimia zote na ushahidi ndo huo aliuonesha mentali.

Sakapal sikuogopi!!!

kwanza watu8, what happened to the lunch!??
 
Last edited by a moderator:
shem hizi zinaingiliana..... unaweza kuongelea udhaifu wa mwanaume bila kugusia u-smart wa mwanamke? lazima kuwe na kilinganishi........ kutumia nguvu, kujikweza, kusema uongo...... vyote ni kwa sababu unatamani kuwa angalau sawa na huyo unayedhani amekuzidi.... too bad

Hii ni mbaya zaidi................ila nina uwalakini
 
Sakapal sikuogopi!!!

kwanza watu8, what happened to the lunch!??

hahahahaa wapi nimeandika au kusema unaniogopa? uniogope mie Mungu, hata thread haizungumzii kumuogopa mtu, swali unajiamini? jibu, hujiamnini.
The lunch was forfeited by Obama visit, heheee au lunch ndo zinawapa kujiamini?
 
hivi Paloma, mi nafanania ivo?

hehehe sema ndo ivo wanaume wengine ambao hawajaenda shule vizuri wanakuwa wanaogopa, kuna conflicting issues.. ego ya uanaume na deep down the reality kwamba hana elimu au kipato sawa na mpenziwe wa KIKE (sipendi ukameruni mimi)
On the other hand due to historical reasons, wanawake wanaojikuta juu kiuchumi/kielimu wanakuwa wanacompensate miaka maelfu ya babe wa wanaume na hivyo nao wanaona wamepata nafasi ya kuwakandamiza wanaume 'wanyonge' kwao,,,,think of the oppressor and the oppressed, always ijapokuwa the oppressed anaona kuwa ni vibaya kuwa oppressed, siku akipata nafasi ya kuwa oppressor naye anamwoppress atakayekutana naye liwalo na liwe.......
so ni he same thing hapa

Ila sasa kwa wanaume ambao wanawajulia kama mimi hapa wala hawatupi shida...uanaume wetu unakuwa pale pale na wao wanaendelea kuwa wanawake bila kujali kipato/elimu cos we UNDERSTAND these differences.......na kuziappreciate...

kwa Mtambuzi sijui amesema baadhi ya wanaume au wote? Eti Fixed Point, shemeji yangu kipenzi na rafiki yangu....

CC Asprin KakaKiiza kiwatengu Filipo Arushaone Baba V

haya hommie nimekusoma. mwanao wa kiume unamuongoza vipi katika utaratibu wa kuja kujiamini? Fixed Point umeona hommie mwalimu Kaizer ameshusha nondo....njoo udesee
 
Last edited by a moderator:
hivi Paloma, mi nafanania ivo?

hehehe sema ndo ivo wanaume wengine ambao hawajaenda shule vizuri wanakuwa wanaogopa, kuna conflicting issues.. ego ya uanaume na deep down the reality kwamba hana elimu au kipato sawa na mpenziwe wa KIKE (sipendi ukameruni mimi)
On the other hand due to historical reasons, wanawake wanaojikuta juu kiuchumi/kielimu wanakuwa wanacompensate miaka maelfu ya babe wa wanaume na hivyo nao wanaona wamepata nafasi ya kuwakandamiza wanaume 'wanyonge' kwao,,,,think of the oppressor and the oppressed, always ijapokuwa the oppressed anaona kuwa ni vibaya kuwa oppressed, siku akipata nafasi ya kuwa oppressor naye anamwoppress atakayekutana naye liwalo na liwe.......
so ni he same thing hapa

Ila sasa kwa wanaume ambao wanawajulia kama mimi hapa wala hawatupi shida...uanaume wetu unakuwa pale pale na wao wanaendelea kuwa wanawake bila kujali kipato/elimu cos we UNDERSTAND these differences.......na kuziappreciate...

kwa Mtambuzi sijui amesema baadhi ya wanaume au wote? Eti Fixed Point, shemeji yangu kipenzi na rafiki yangu....

CC Asprin KakaKiiza kiwatengu Filipo Arushaone Baba V
mi naona hapa shem wangu kasema wengi, lol!
 
STILL COUNT ME OUT!

Sijawahi kumuogopa mwanamke kwa sababu ya hali yake kiuchumi aisee...

nitalifanyia kazi hili!
vipi leo ibadani utakuja? kumbuka hatamie naipenda kazi yangu...though inanipunguzia idadi ya wanaume wa kuinteract nao..........hahaha
 
Back
Top Bottom