Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake...!

Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake...!

samahani sana huwaga siongei na watu pande hizo ulizozitaja wala sijui lugha yoyote ya hapa Tanzania elewa kuwa mm ni MTANGANYIKA na sio MTANZANIA na SINA KABILA wala LUGHA wala TAIFA pls naomba uniheshimu naona unaanza kuvuka mipaka hapa
Huo sasa uchonganishi huo, najua unakijua kinyakyusa, is there any offence??? mbona wanchukia hivo mwenzio???
 
Hayo ndo maneno
kuna mahali nimesoma kuwa
wale wenye ndoa zao kama Mtambuzi hayo mambo mengine
hupenda kuyafanya mchana, pengine naye ndo kaenda huko huko tutajuaje.

jamani my dear Mamndenyi na Fixed Point khaaaa........nikisema sana ntakuwa namuweka babu sehemu mbaya!
haya alikuwa benki! sijui kama amerudi kijiweni kwake!
 
Last edited by a moderator:
shem wangu na best friend wa mimi hebu nikumbushe kwanza, hivi mimi nilijiunga kwenye hiki chama chenu? kama ndio mbona sina kadi? au kadi yangu ulimpa nani na ni namba ngapi?
mpaka sasa nina uhakika nilijiunga na chama cha mateja kinachoongozwa na Arushaone na memba wenzangu ni snowhite, BAK na sakapal.

Shemu wangu mpenzi Fixed Point, hapa nimeomba abraka zako tu kama 'independent candidate" kulingana na muktadha wa hoja, and by the way "dont wait for the perfect moment....."

kwa hisani ya Asprin....
 
Last edited by a moderator:
Kaizer hivi hao wake za Asprin mbona wote wana ndoa nyingine,
au siku hizi ke nao wana mitala?
Mtambuzi sijajua kapatwa na nini jamani,
kweli simba kazeeka hata amefikia kuogopa
kuguswa sharubu looh, Mtambuzi uko wapi lakini.
Paloma tafadhali nitafutie kakako Mtambuzi aje pande hii.

Mamndenyi, una maana kuwa: BADILI TABIA ana ndoa nyingine, tofauti na Asprin Kongosho naye ivo ivo cacico naye ana ndoa nyingine Yummy naye ivo ivo

Chinekeeee! hebu wamwage pwaaaaah mwanawane waume zao kabla hommie wangu hajajinyonga
 
Last edited by a moderator:
samahani sana huwaga siongei na watu pande hizo ulizozitaja wala sijui lugha yoyote ya hapa Tanzania elewa kuwa mm ni MTANGANYIKA na sio MTANZANIA na SINA KABILA wala LUGHA wala TAIFA pls naomba uniheshimu naona unaanza kuvuka mipaka hapa

Naona sasa hizo mbege umeanza kuchakachua na kiroba wewe si bure... khaa!!!
 
Baba V kweli wewe ni wakunimiss mimi
nimejaribu kukuita lakini umenikaukia kimya
sijui hata nimekukosea nini,

Mzima lakini.

Nilikuwa nimeweka earphone maskioni, si unajua tena kidijitali zaidi? Hiki kizazi cha akina ladyfurahia bila madoido huwapati, ndo maana unaona na mimi mzee mzima naweka earphone maskioni afu natembea kwa kudundika.... ! usijali sana lakini...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mbona unalo mwaka huu,
ukasema mie ni mzee, ngoja vijana wakutoe nyongo ndo utatii sheria.

nilishabambwa na mtu mmoja tu kijana mwenzangu broda Mentor hivyo huwaga siwehuki na vizee
Nilikuwa nimeweka earphone maskioni, si unajua tena kidijitali zaidi? Hiki kizazi cha akina ladyfurahia bila madoido huwapati, ndo maana unaona na mimi mzee mzima naweka earphone maskioni afu natembea kwa kudundika.... ! usijali sana lakini...
 
Last edited by a moderator:
Mbona unalo mwaka huu,
ukasema mie ni mzee, ngoja vijana wakutoe nyongo ndo utatii sheria.

Nashukuru MziziMkavu ananisaidia, sa ivi nguvu tele, wangeninyanyasa sana hawa watoto ila sa ivi wao ndo wanatia adabu, nasubiri tu dawa ya kuondoa mvi kichwani nirudi ujanani, mbona watasema yote.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom