Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 482
......................Kwa nini mkionaga girlfriends/wake zenu wanaongea na mwanaume hata km ni mambo ya kawaida au ya kiofisi mnakuwa hamjia mini, mnakuwa na wasi wasi na mnaweza hata kuzua tafrani on the scene or after?
.............
This has got nothing to do with kujiamini or not. Ndivyo tulivyoumbwa na Mungu.
Angalia hata huko maporini .... wanyama nao ni hivyohivyo...