Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
ujue wanakupa heshima usiogope
ha ha haaa,
Aaah wapi... ndo wanzo wa kunyimana raha huo...
ujue wanakupa heshima usiogope
ha ha haaa,
Mkuu mie nawashangaa wanaume wenzangu, hii mada wala nilikuwa siwasimangi wanaume wenzangu na wala sina nongwa nao, bali nilikuwa tu najaribu kuelezea historia, jinsi mfumo dume ulipoanzia, lakini naona hapa wanawake wamenitafsiri vibaya vile vile na wanaume pia..Dah..! mzee mwenzangu tangu uweke hii mada kuwa wanaume ni dhaifu hatunywi maji, nikiongea kidogo tu ladyfurahia huyo..!! umeleta balaa hapa
Mkuu mie nawashangaa wanaume wenzangu, hii mada wala nilikuwa siwasimangi wanaume wenzangu na wala sina nongwa nao, bali nilikuwa tu najaribu kuelezea historia, jinsi mfumo dume ulipoanzia, lakini naona hapa wanawake wamenitafsiri vibaya vile vile na wanaume pia..
Kesho nitaweka ufafanuzi inshaalah, itabidi nije na misahafu hapa...LOL
Hayo ndo maneno
kuna mahali nimesoma kuwa
wale wenye ndoa zao kama Mtambuzi hayo mambo mengine
hupenda kuyafanya mchana, pengine naye ndo kaenda huko huko tutajuaje.
Vema ufanye hivyo, maana ni majanga hapa jamvini, wanaume wenyewe kwenye uzi huu wanahesabika....
tunasikia leo ulikuwa cashier.....
tunasikia leo ulikuwa cashier.....
hukutoka na chapuo lako?
Naomba kuwaalika Eiyer, Asprin, Bishanga, Thomas Odera, Arushaone, Mungi, Don Mangi, PakaJimmy, LiverpoolFC, Filipo, KakaKiiza, Kaizer, SnowBall, jouneGwalu, Ruttashobolwa, ladyfurahia, Lady doctor, sister, Kipipi, Asnam, King'asti, cacico, snowhite, Mamndenyi, Preta, KOKUTONA, amu, Madame B, mwaJ, Swts, MadameX, BADILI TABIA, Nivea, Lisa, marejesho, Blaki Womani snowhite, Fixed Point, gfsonwin na AshaDii,
nimecheka hatari,umenikumbusha mtu kama uyo uwiiiii
kapatikana?mmmmh
yuko wapi tena?