Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake...!

Baba V hongera kwa kupata hiyo dawa,
angalia yasikukute ya pepe kale.

Hivi ni kwanini munaogopa mvi, mi siziogopi,
halafu ungeniona nina full furaha siogopi kabisa kivuli changu.

Nashukuru MziziMkavu ananisaidia, sa ivi nguvu tele, wangeninyanyasa sana hawa watoto ila sa ivi wao ndo wanatia adabu, nasubiri tu dawa ya kuondoa mvi kichwani nirudi ujanani, mbona watasema yote.....
 
Last edited by a moderator:
Baba V hongera kwa kupata hiyo dawa,
angalia yasikukute ya pepe kale.

Hivi ni kwanini munaogopa mvi, mi siziogopi,
halafu ungeniona nina full furaha siogopi kabisa kivuli changu.

Mi siziogopi, nimeishi nazo zaidi ya miaka kumi sasa, ila siku hizi hivi vitoto vinapendeza sana, ukikaita tu utaskia SHIKAMOO BABU ... kabaaaang.. huwa sipendi ka nini, ndo maana nimeamua kuitafuta for that special purpose..
 
mbona umeogopa ungethubutu kidogo ungenyooka wewe na ungetamka yote yasiyotamkwa hapa duniani vizee kama nyie muwe na mabibi zetu kama hivi 55.jpg
Siingii ng'o..!!! naona umejip[anga kuchukulia ujiko kwangu,:love:
 
ujue wanakupa heshima usiogope
ha ha haaa,
Mi siziogopi, nimeishi nazo zaidi ya miaka kumi sasa, ila siku hizi hivi vitoto vinapendeza sana, ukikaita tu utaskia SHIKAMOO BABU ... kabaaaang.. huwa sipendi ka nini, ndo maana nimeamua kuitafuta for that special purpose..
 
The hammer kumbe nawe humo hapa jionee fahari aliyoileta babu Mtambuzi hapa

Hehehe,huwa nikifungua "New Post" huwa ninasoma habari ambazo zinaweza kuwa na mguso kwangu,mara chache kwenda mmu......nimezipenda picha ambazo ame-attach hapa,huwa napenda wasichana wenye misimamo but wenye kuamini wanachokisimamia na si kwa kukupa presha tu au kwa ku-msanifu mtu tu.Vipi wewe upo kama hao kwenye pic?
 
mhm! sijui kwa mtazamo wako wewe unanionaje?

Back
Top Bottom