Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
vp yamekukuta nini?
hawana gharama, na kulalamika hawawezi, hiyo ni kwa wale wapenda vya bure, hii pia huchangiwa na mke, maana msichana anafanya kazi mpaka za chumbani kwa mke na mme, na yeye kutafuta ujiko mama hayupo anakuuliza naomba nije kufanya usafi anakuja chumbani unamruhusu anarembue, mwanaume hudanganywa na wanawake mara anamzidi ujanja, mara mzee mzima unajiingiza

Ndugu yangu kwani wasichana wa nje ya nyumbani wana gharama gani?Hii pia imetokea hata kwa wanawake ambao wanafanya kazi nyingi tu nyumbani..wapo wasichana ambao hawaingii kabisa vyumbani kwa mabosi zao kwa lengo la kufnya kazi na bado hii imetokea.Hizo hoja ulizozisema are they enough to make you sleep with a house girl? Mi nadhani ni uhuni tu tulionao ndio unaotusumbua hivi vingine ni excuses tu!
point kubwa presence ya mama/mke nyumbani wakati hgirl anafanya kazi, mara nyingi hii hutokea baba anapokuwa na mda mwingi wa kukaa nyumbani kuliko mke, hivyo mke anachangia kwa kutoona hilo
Abraham alifanya vile kwa kuruhusiwa na mkewe bcoz mkewe hakuwa na mtoto by then na walitaka wapate mrithi, je waume zetu wanaofanya hivi leo wake zao hawajazaa?!Its so strange, hata Abraham yalimkuta haya! Wanaume sijui tukoje! Mambo mengine lakini ni kujidekeza tu, tuanweza kabisa kuyaepuka.
Ndugu yangu kwani wasichana wa nje ya nyumbani wana gharama gani? Hii pia imetokea hata kwa wanawake ambao wanafanya kazi nyingi tu nyumbani..wapo wasichana ambao hawaingii kabisa vyumbani kwa mabosi zao kwa lengo la kufnya kazi na bado hii imetokea.
Hizo hoja ulizozisema are they enough to make you sleep with a house girl? Mi nadhani ni uhuni tu tulionao ndio unaotusumbua hivi vingine ni excuses tu!
.......Ni uhuni tu na kutojiheshimu kwa baadhi ya wanaume husababisha kulala na house girl zao. Tena kuna wengine hawaishii kulala na HG tu hadi ndugu yako kama anakusaidia kazi pale nyumbani naye atamlala.
Wanaume wa namna hiyo ni wale wasiojiamini wala kujithamini wenyewe.Mwanaume aliyekamilika idara zote hata kama ni mkware hatafanyia uchafu nyumbani au kitandani kwake bali atafanyia nje anakojua mwenyewe.Wanaume wachafu hawa, pia hupenda kujifanya mbele ya jamii kuwa hawatembei nje na kweli hutakaa umwone ana mwanamke nje! Kumbe kila kitu anamalizia humohumo ndani mwake.SHAME!
Kuchungana na kulindana..si heshima pia.Shurti mtu ajue kujitawala yeye na tamaa zake ndio kipimo cha utu.Uchunge mifugo na binadamu mwenye akili na utashi pia?Hili ni tatizo sugu wala ufumbuzi wake sio rahisi bila ya kuboresha hali ya wasichana na nchi kwa ujumla. Mara nyingi maasi haya yanapotendeka wale madada wanakuwa hawana njia rahisi ya kupata kazi nyengine/kwengine. Hata wakati ule wa Utumwa hivi vitendo vilifanyika kwa wingi. Meantime tutashukuru kama akina mama watakuwa walinzi wakali !
¬K