Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 863
Tumeona na tumesikia wake zetu ama wa jirani zetu au wanawake wenzetu ama wakilalamika au kuvunja ndoa zao kutokana na wanaume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wa kazi.
Ukifanya kautafiti kadogo utakuja kugundua kuwa zaidi ya asilimia 60 ya wanaume katika hutembea na wasichana wa kazi ama kwa kuwalazimisha au kwa maelewano. Hivi jamani wanaume tunaofanya hivi hatuoni aibu?kwanini tunajidhalilisha mbele ya wasichana wetu wa kazi?
Kwanini hatuwatendei haki hawa mabinti na hata wake zetu? Wakati mwingine hufisadi huu hufanyika katika vitanda vyetu tunavyolala pamoja na wake zetu...hebu tuache hii tabia jamani..haipendezi hata kidogo...ebo.!