Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
Ni lazima ufuate kanuni:
a. Usiajiri msaidizi wa ndani wa kike ambaye ni mzuri kuliko mke wako
b. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ni mwema kuliko mkeo
c. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye analala ndani ya nyumba yako na anasifa a na b
d. Usiajiri msaidizi wa ndani ambaye ukimwangalia unafikiria kilicho chini ya nguo zake
e. Kama wewe ni mwanamke/mke usimuache mumeo akubali kuajiri msaididi mwenye sifa hizo. Mtashindana na utashindwa.
...Lol, hata aletwe akiwa na sifa duni kiasi gani, mikate na siagi haiongopi!..baada ya 'siku mbili tatu' huyoo vishavu na makalio yanaanza kuongezeka... atapendeza na kuvutia tu labda aajiriwe 'mlokole!'