Wanaume na Wasichana wa Kazi za Ndani

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
863
Tumeona na tumesikia wake zetu ama wa jirani zetu au wanawake wenzetu ama wakilalamika au kuvunja ndoa zao kutokana na wanaume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wa kazi.

Ukifanya kautafiti kadogo utakuja kugundua kuwa zaidi ya asilimia 60 ya wanaume katika hutembea na wasichana wa kazi ama kwa kuwalazimisha au kwa maelewano. Hivi jamani wanaume tunaofanya hivi hatuoni aibu?kwanini tunajidhalilisha mbele ya wasichana wetu wa kazi?

Kwanini hatuwatendei haki hawa mabinti na hata wake zetu? Wakati mwingine hufisadi huu hufanyika katika vitanda vyetu tunavyolala pamoja na wake zetu...hebu tuache hii tabia jamani..haipendezi hata kidogo...ebo.!
 
hawana gharama, na kulalamika hawawezi, hiyo ni kwa wale wapenda vya bure, hii pia huchangiwa na mke, maana msichana anafanya kazi mpaka za chumbani kwa mke na mme, na yeye kutafuta ujiko mama hayupo anakuuliza naomba nije kufanya usafi anakuja chumbani unamruhusu anarembue, mwanaume hudanganywa na wanawake mara anamzidi ujanja, mara mzee mzima unajiingiza
 
Its so strange, hata Abraham yalimkuta haya! Wanaume sijui tukoje! Mambo mengine lakini ni kujidekeza tu, tuanweza kabisa kuyaepuka.
 
Ndugu yangu kwani wasichana wa nje ya nyumbani wana gharama gani? Hii pia imetokea hata kwa wanawake ambao wanafanya kazi nyingi tu nyumbani..wapo wasichana ambao hawaingii kabisa vyumbani kwa mabosi zao kwa lengo la kufnya kazi na bado hii imetokea.

Hizo hoja ulizozisema are they enough to make you sleep with a house girl? Mi nadhani ni uhuni tu tulionao ndio unaotusumbua hivi vingine ni excuses tu!
 
Acheni izo!
Ina maana mkiwa na hausiboi anayefanya usafi chumabni kwenu utalala naye pia?
Wewe sema kuwa ni udhaifu wa wanaume lakini siyo usemi ati ni kosa la mke!
 
Ndugu yangu kwani wasichana wa nje ya nyumbani wana gharama gani?Hii pia imetokea hata kwa wanawake ambao wanafanya kazi nyingi tu nyumbani..wapo wasichana ambao hawaingii kabisa vyumbani kwa mabosi zao kwa lengo la kufnya kazi na bado hii imetokea.Hizo hoja ulizozisema are they enough to make you sleep with a house girl? Mi nadhani ni uhuni tu tulionao ndio unaotusumbua hivi vingine ni excuses tu!

point kubwa presence ya mama/mke nyumbani wakati hgirl anafanya kazi, mara nyingi hii hutokea baba anapokuwa na mda mwingi wa kukaa nyumbani kuliko mke, hivyo mke anachangia kwa kutoona hilo
 
Uache tabia mbaya usijtetee.
 
Its so strange, hata Abraham yalimkuta haya! Wanaume sijui tukoje! Mambo mengine lakini ni kujidekeza tu, tuanweza kabisa kuyaepuka.
Abraham alifanya vile kwa kuruhusiwa na mkewe bcoz mkewe hakuwa na mtoto by then na walitaka wapate mrithi, je waume zetu wanaofanya hivi leo wake zao hawajazaa?!
 
Ndugu yangu kwani wasichana wa nje ya nyumbani wana gharama gani? Hii pia imetokea hata kwa wanawake ambao wanafanya kazi nyingi tu nyumbani..wapo wasichana ambao hawaingii kabisa vyumbani kwa mabosi zao kwa lengo la kufnya kazi na bado hii imetokea.

Hizo hoja ulizozisema are they enough to make you sleep with a house girl? Mi nadhani ni uhuni tu tulionao ndio unaotusumbua hivi vingine ni excuses tu!

.......Ni uhuni tu na kutojiheshimu kwa baadhi ya wanaume husababisha kulala na house girl zao. Tena kuna wengine hawaishii kulala na HG tu hadi ndugu yako kama anakusaidia kazi pale nyumbani naye atamlala.
 
Wanaume wa namna hiyo ni wale wasiojiamini wala kujithamini wenyewe.Mwanaume aliyekamilika idara zote hata kama ni mkware hatafanyia uchafu nyumbani au kitandani kwake bali atafanyia nje anakojua mwenyewe.Wanaume wachafu hawa, pia hupenda kujifanya mbele ya jamii kuwa hawatembei nje na kweli hutakaa umwone ana mwanamke nje! Kumbe kila kitu anamalizia humohumo ndani mwake.SHAME!
 
Shame on them!
 
duuuh, dada'kee hapa umebonda kikweli kweli, Lol :D...(Mahita)
 
Hili ni tatizo sugu wala ufumbuzi wake sio rahisi bila ya kuboresha hali ya wasichana na nchi kwa ujumla. Mara nyingi maasi haya yanapotendeka wale madada wanakuwa hawana njia rahisi ya kupata kazi nyengine/kwengine. Hata wakati ule wa Utumwa hivi vitendo vilifanyika kwa wingi. Meantime tutashukuru kama akina mama watakuwa walinzi wakali !
icon10.gif

¬K
 
Kuchungana na kulindana..si heshima pia.Shurti mtu ajue kujitawala yeye na tamaa zake ndio kipimo cha utu.Uchunge mifugo na binadamu mwenye akili na utashi pia?
 
.......Ni uhuni tu na kutojiheshimu kwa baadhi ya wanaume husababisha kulala na house girl zao. Tena kuna wengine hawaishii kulala na HG tu hadi ndugu yako kama anakusaidia kazi pale nyumbani naye atamlala.

Hebu fafanua zaidi kwani akina mama nao hawasababishi waume zao kwenda kutembea na wafanyakazi? Nitakupa mfano mwanaume anarudi kutoka kazini amechoka ukifika home haulizwi hali, matusi, chakula hajui hata kinapikwa vp, watoto wa shule wamesoma au la (kazi zote hizi hawajui kitu). Mfanyakazi anahudumia kila kitu isipokuwa kitandani.

Mr akiomba game kitanda anajibiwa na mke amechoka sana na kazi. Kimsingi sex is important as it releases frustration, tiredness etc sasa kama haipati kwa mkewe atapata wapi??? Akina mama naomba mtusaidie kwa hili maana linatokea katika nyumba nyingi if not majority of them.

Mnaweza kutulaumu sie wanaume kwa kutokuwa waadilifu but nanyie mnachangia kuyatengeneza mazingira ya kutamani mfanyakazi wa ndani either mkijua au bila ya kujua
 
Wanaume wa namna hiyo ni wale wasiojiamini wala kujithamini wenyewe.Mwanaume aliyekamilika idara zote hata kama ni mkware hatafanyia uchafu nyumbani au kitandani kwake bali atafanyia nje anakojua mwenyewe.Wanaume wachafu hawa, pia hupenda kujifanya mbele ya jamii kuwa hawatembei nje na kweli hutakaa umwone ana mwanamke nje! Kumbe kila kitu anamalizia humohumo ndani mwake.SHAME!

Yap ni kweli usemayo mtu huharibu maeneo ya nyumbani but sometimes mbuga za wanyama hukauka mawindo hivyo basi hata swala na digidigi hufaa kuondolea njaa. Yaani sometime unakuta mawindo yako ya mademu maeneo mengine hayajatoa natija na wewe unatafuta pa kupunguzia njaa ndio maana wengine huishia kwenye digidigi (yaani wafanyakazi wa ndani) maana mami amechoka kazini na mpambano hautaki utafanyaje????
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom