Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Wanadamu wote kwa wastani wa mihangaiko yao yote hulenga kuwa na FURAHA...atajibidisha kutafuta kipato chake...atatafuta mke/mume....watatafuta watoto...ili kuendeleza uzao wake...
Sasa ameshakuwa na familia...atapambana kuhakikisha ustawi wa familia yake unakuwa mzuri...anafurahia....mambo yakienda vibaya...hukata tamaa na kujitafutia FURAHA ya muda mfupi...hapa huanza kulewa kila siku...akipata kahela...yeye ni pombe tu...ili mradi tu ajisahaulishe matatizo yake.
Hivyo vipaumbele vya mwanadamu hulenga kwanza kumletea FURAHA maishani mwake.
 
aaah!wapi!!
kwa wanaume gani wa kuguarantee hvyooo!!!
mi hapana kwa kweli
mtu uko nae ndani kumbe anachat na mchepuki anamtumia msg yupo huyu kenge hatoki leo
Umenifanya nicheke sana,eti huyo kenge hatoki leo!! kiasilia mwanamke kipaumbele chake ni mume,halafu vingine vinafuata. Lakini baada ya kutendwa kama ulivyosema ndio hupelekea mke kubadili hicho kipaumbele chake.
 
Umenifanya nicheke sana,eti huyo kenge hatoki leo!! kiasilia mwanamke kipaumbele chake ni mume,halafu vingine vinafuata. Lakini baada ya kutendwa kama ulivyosema ndio hupelekea mke kubadili hicho kipaumbele chake.

ndo ivyo kaka asa hv wanawake wengi wako kimachalemache mguu nje mguu ndani
ukilianzisha ye analimalizia kuligalambua
ndo mana siku hz golikipaz wachache wengi nao viungo wachezaji na wakabaji mpak penalti
 
Naaaaaaaah! Mimi ni mke wa hiari wa Matola! After we both have made several mistakes in life, tumeamua tu tuishi tupendavyo sio mtakavyo!

That's why i love u, njoo wasapu nikurechaji internet bundle ili uwende sawa na machakubimbi na vitambakwiri. Wenye wivu wajinyonge.
 
me priority yng ni kazi ambayo ndo biashara yangu.......... Mtt staki kwa sasa labda mpk nitapofika 28!!!!!!!!!!!! buzi langu ndio connection yangu kwenye kazi nalitumia as security katika kazi yangu iwe salama mpaka inaponifikia,,,,,,,, after 1yr ntampa kibuti kama ajali ya bus vile maana hatakua na manufaa i will stand on my own feet .......... staki kuwekeza kwenye mapenzi najua muda bado coz kwangu mie hela ndo kila kitu sina ndoto ya kufa maskini so hivo vipaumbele vingine vinipishe kwanza. over!!!!!!!!!

world is so biiig and full of suprises jst rembr mipango sio matumizi......
 
mtu mzima mwenzangu Dark City kapita hapa?
Busara zako tafadhali

Huyu dogo Matola umemsimulia kitu?

Hili jambo nahitaji muda kulifanyia tafakuri ili niongee na wajukuuu bila papara...!

But to be honest, kwa mwanamke yeyote mwenye watoto, kipaumbele chake cha kwanza, cha pili, 3, 4.......n; ni watoto wake basi!!!! Mazagazaga mengine ikiwemo mume, mabuzi au kazi vinakuja baadaye.

Kwa wale ambao hawajooelewa/kuoa au hawana watoto nadhani wanakwenda na upepo!

Kwa mwanamume mwenye familia + mke na watoto, sina wasi wasi wa shaka kwamba Mwanamke/wanawake + pesa vinaongoza league! Watoto wanakuja kwa mbaaaaali sana! Kama kuna mtu anabisha, aangalie ni akina nani wanakimbizana na watoto mashuleni, hospitali na kwingineko!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa! Wanaonipenda wapo kibao, bila hivo ningehdhirika mjini hapa LAKINI UKWELI TUUSEMAGE TUSIWE WANAFIKI LIFE AINT A BED OF ROSES!
Vipi yule shemeji yangu mchaga, umeshamwaga??? maana nimekubembeleza tuwe wote mgombani hutaki Lara 1 wewe shauri lako, fanya hima basi tuje tusheherekee hiyo harusi.
 
Vipi yule shemeji yangu mchaga, umeshamwaga??? maana nimekubembeleza tuwe wote mgombani hutaki Lara 1 wewe shauri lako, fanya hima basi tuje tusheherekee hiyo harusi.
Hahaaaaa! Mchaga alienda nje kusoma Phd 4yrs akirudi labda tuta renew contract! On the mean time IM HAVING SOME FUN! Lol! And i have been sick too!
 
Kipaombele changu ni kilimo ambayo ndo sera ya serikali ya Tanzania(KILIMO KWANZA).
 
Vipi yule shemeji yangu mchaga, umeshamwaga??? maana nimekubembeleza tuwe wote mgombani hutaki Lara 1 wewe shauri lako, fanya hima basi tuje tusheherekee hiyo harusi.

Halafu uzoefu unaonesha mijanamke yenye misura mibaya ndio mahodari wa ukuwadi ili wapate bia za dezo.
 
ndo ivyo kaka asa hv wanawake wengi wako kimachalemache mguu nje mguu ndani
ukilianzisha ye analimalizia kuligalambua
ndo mana siku hz golikipaz wachache wengi nao viungo wachezaji na wakabaji mpak penalti
Hahaaaaaa
 
Mimi bhana ni

Pesa

Pesa

Pesa

Mke

Pesa

Pesa

Watoto
 
Me kipaumbele changu nu kujiandaa kwa siku za mwisho, sababu hakuna anayeweza nizuia siku hiyo ikifika.

Kutokana na sasa hivi ugonjwa wa heart broken kuonekana wazi umekosa chanjo na matibabu yake ni ya magumashi tupu kama Ebola thread hii itasaidia kila jinsia ijue jinsia nyingine priorities zake/zao ni zipi hasa?

Mimi nachokoza tu mjadala kwa wote wanandoa na wasio wanandoa kwamba wanawake wenye ndoa Priorities inaonekana ni hizi ili tusijekuhisi hatupendwi kumbe kosa ni kuwa hatujui vipaumbele vya wenzetu.

1.Mtoto/watoto
2.Mume
3. Kazi

Wanawake wasio na ndoa

1. Pesa
2. Mwanaume
3. Kazi

Nawakaribisha wanawake muoneshe vipaumbele vyenu ili wanaume wajifunze kitu kutoka kwenu itasaidia sana watu kupenda kwa akili na si kama matutusa.

Sasa mimi kwa wanaume nimeona kuna tatizo kidogo na ni ujinga wa hali ya juu.

Tazama vipaumbele vya mwanaume
1.Mwanamke
2. Kazi
3. Mtoto/ watoto

Mimi sasa nashauri wanaume sasa tubadirike na vipaumbele vyetu viwe kama hivi,

1. Mtoto/watoto
2. Kazi
3. Mwanamke

Mimi nimechokoza tu mjadala wadau sasa tutililike.

Pia dada zangu msinishambulie kwamba naiamsha mibuzi yenu itakakata kamba naomba msiwe na hofu, misukule huwa haifufuki.

Cc; BADILI TABIA lara 1 Kongosho The Boss Heaven on Earth Pdidy Mtambuzi and all of you.
 
Last edited by a moderator:
Huyu tina cute ni mpuuzi sn, eti kuchuna mwenzio alafu baadaye nduki. Ndoo maana mmelaaniwa tangu mkiwa tumboni.....
 
Unataka tubadili vipaumbele. Mtoto unampataje bila mwanamke?
 
Huyu tina cute ni mpuuzi sn, eti kuchuna mwenzio alafu baadaye nduki. Ndoo maana mmelaaniwa tangu mkiwa tumboni.....

Nimention basi vzr,,,,,,,,, upuuzi wangu unanipa heshima !!!!!!!!!!!! ww na akili zako zimekusaidia nn??????????????
Maneno ya mkosaji hayaniuzii kuchuna nitakavyo....
 
Kutokana na sasa hivi
ugonjwa wa heart broken kuonekana wazi umekosa chanjo na matibabu yake
ni ya magumashi tupu kama Ebola thread hii itasaidia kila jinsia ijue
jinsia nyingine priorities zake/zao ni zipi hasa?

Mimi nachokoza tu mjadala kwa wote wanandoa na wasio wanandoa kwamba
wanawake wenye ndoa Priorities inaonekana ni hizi ili tusijekuhisi
hatupendwi kumbe kosa ni kuwa hatujui vipaumbele vya wenzetu.

1.Mtoto/watoto
2.Mume
3. Kazi

Wanawake wasio na ndoa

1. Pesa
2. Mwanaume
3. Kazi

Nawakaribisha wanawake muoneshe vipaumbele vyenu ili wanaume wajifunze
kitu kutoka kwenu itasaidia sana watu kupenda kwa akili na si kama
matutusa.

Sasa mimi kwa wanaume nimeona kuna tatizo kidogo na ni ujinga wa hali ya
juu.

Tazama vipaumbele vya mwanaume
1.Mwanamke
2. Kazi
3. Mtoto/ watoto

Mimi sasa nashauri wanaume sasa tubadirike na vipaumbele vyetu viwe kama
hivi,

1. Mtoto/watoto
2. Kazi
3. Mwanamke

Mimi nimechokoza tu mjadala wadau sasa tutililike.

Pia dada zangu msinishambulie kwamba naiamsha mibuzi yenu itakakata
kamba naomba msiwe na hofu, misukule huwa haifufuki.

Cc; BADILI TABIA lara
1
Kongosho The
Boss
Heaven on Earth
Pdidy Mtambuzi and
all of you.

wabongo bana mm naishi nitakavyo.naweza fanya vyote au nisifanye.wanao nilike njoon huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom