Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Hahahahaaaa! Boy you are mean! Umenikumbusha shostiyangu anapenda kusema mimi mume wangu HANA HELA LAKINI TUNAFURAHA SANAAA, WENGINE KWENYE MAJUMBA WANALIA HUMO! Hahahaaaa! Bi.tch please! Mi naitikiaga tu! Ndiooooo! Furaha ndo kila kitu! Hongera shogaangu! #poorpeopletalks ! Hahaaaaaa!

HAHAHAAAAAAAAAA! Kanigini acha kunitia ndimu niropoke hapa niwe msatri wa mbele UKWELI UNAUMA UJUE! Turudi kwenye mada bwana!

Bado tuko kwenye mada humu humu, watu wanazuga mi nataka hiki hafu kimoyomoyo wanazungumza mengine!

Wanaume tuna zile za mimi siwezi oa mke mzuri tena mwenye kazi watanigongea, kimoyo moyo unajua huwezi kwa sababu huna uwezo wa kumpata, sasa nje inabidi ulete sababu zingine.

Watu wameoa zao wake wazuri, wanafanya kazi maisha yanaenda, kwenye vikao vya washkaji (kama vya harusi) mtu anakua proud kuja na wife wake wewe kwa sababu zako inabidi umuache wife home hafu unaanza kushangaa shangaa.

Maisha yana jinsi yanavyotubana kwenye kona mbaya ambapo inabidi uanze kutafuta justifications kwa washkaji kwa sababu unajiona chaka.
 
Mimi kipaumbele changu kwa sasa ni kazi, nadhani kitafuata mke baadae.
 
Ukiona manyoya.......

Mengine ni ya kunguru au kuku wa kafara.


Ukiona ntu hasa mwananke anamwita mwanaume Baby mbele ya kadamnasi uwe na uhakika paja lake hawezi kuliona mpaka siku ya kiama. Hivi unaona Lara 1 ni mtu wa kuweza hata kukaa meza moja na Matola kutokana na tungo zake?
Terrorist they can attack America but they will never touch the heart of America - George W Bush.

Note that.
 
Bado tuko kwenye mada humu humu, watu wanazuga mi nataka hiki hafu kimoyomoyo wanazungumza mengine!

Wanaume tuna zile za mimi siwezi oa mke mzuri tena mwenye kazi watanigongea, kimoyo moyo unajua huwezi kwa sababu huna uwezo wa kumpata, sasa nje inabidi ulete sababu zingine.

Watu wameoa zao wake wazuri, wanafanya kazi maisha yanaenda, kwenye vikao vya washkaji (kama vya harusi) mtu anakua proud kuja na wife wake wewe kwa sababu zako inabidi umuache wife home hafu unaanza kushangaa shangaa.

Maisha yana jinsi yanavyotubana kwenye kona mbaya ambapo inabidi uanze kutafuta justifications kwa washkaji kwa sababu unajiona chaka.

Hahaaaaaaaawa! I think i like you! Alli can say is SOMETIMES LIFE CAN REALLY BE A BI.TCH! Unataka chenza yanakupa malimao! Abraham Lincon ana kwambia ukipewa milimao tengeneza LEMONADE! Hahaaaa! The qn is je moyo wako ulikuwa unacrave for lemonade au juisi ya chenza? Na je satisfaction level zitakuwa sawa? Hahaaaaaaa!
 
Bado tuko kwenye mada humu humu, watu wanazuga mi nataka hiki hafu kimoyomoyo wanazungumza mengine!

Wanaume tuna zile za mimi siwezi oa mke mzuri tena mwenye kazi watanigongea, kimoyo moyo unajua huwezi kwa sababu huna uwezo wa kumpata, sasa nje inabidi ulete sababu zingine.

Watu wameoa zao wake wazuri, wanafanya kazi maisha yanaenda, kwenye vikao vya washkaji (kama vya harusi) mtu anakua proud kuja na wife wake wewe kwa sababu zako inabidi umuache wife home hafu unaanza kushangaa shangaa.

Maisha yana jinsi yanavyotubana kwenye kona mbaya ambapo inabidi uanze kutafuta justifications kwa washkaji kwa sababu unajiona chaka.

Hiiii.....umegusa mishipa ya watu humu
 
Koh! Koh! Koh! Koh!

Mimi kusema kweli akili yangu tofauti na yenu! Im more advanced!

Hivo vaumbele vyako vitatu mi navimaliza kwa SHOKA MOJA MMBUYU CHINI! Kama ulivotaja PESA, MWANAUME , KAZI! ,,!!! Like seriously? Hapo mimi natafuta tu mwanaume mwenye pesa zake ANATATUA. YOTE NA LA MTOTO JUU!

LIFE IS A GAME! Juzi nilikuwa stranded sina pesa, kazi, mtoto, chochote nikawa nasali weeeeeee! Holaaaaa! Nikalalamika kwa Mungu weee kimya! Basi sudenly nikakumbuka i have an ex bf who is connected, rich, dying to get back with me! DANGEROUS TIMES CALL FOR DANGEROUS MEASURES! Nikampigia simu kumlamba makalio, yes! I kissed his a.ss a lot, na kutake blame ya kuachana mwanzo yote, na kuonesha nimekamatika for his ego, baaaaaaas! We are back rolling!
I
I know it is UNETHICAL and IMORAL but a girl gotta eat and pay bills! He will buy me enough time to streighten my shit! For now im covered!

DONT ALWAYS PLAY BY THE RULES! Having said that mie sina kipaumbele chochote, tomorrow will take care of itself! Sitaki kufa na pressure na koteza ujana kwenye stress! Maana ukitaka kitu usipokipata shughuli!

duuuu salute
 
Back
Top Bottom