Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Kama watu wataamua kuwa wakweli kwenye huu uzi kaka Matola basi leo hili litakuwa bonge la darasa!!!

Mkuu na hapo umetaja vipaumbele kwa uchache sana, mathalani wapo wanandoa ambao pamoja na kuolewa bado vipaumbele vyao huwa ni wazazi wao...

Ndio target yangu ya hii thread, my Ex nilishawahi kuwa na kikao na Mama yake alimwambia binti yake mbele yangu kwamba nimekutafutia kazi hiyo kazi ndio mume wako wa kwanza. Dhambi ya maneno hayo inawatafuna mpaka kesho.
OLESAIDIMU kwenye post yake ya kwanza aliposema kuna rafiki yake akisikia mama mkwe wake kafa basi itakuwa ni furaha kwake, mimi nimemuelewa vyema.
 
Last edited by a moderator:
Matola na wengine wote mliochangia huu uzi unless kama mnataka maisha yawe kama rula ama njia. lkn ukweli sote twaujua kwamba vipaumbele havifanani. labda ungeamua kuvi group na useme vipaumbele vya kinadharia ila vijapo vipaumbele vya kimatendo hali ni tofauti kabisa. mie nikwambie kuna watu hawajaolewa/kuoa na vipaumbele vyao ni kuona fulan aliye chumbiwa/aliyemchumbia fulan anakufa ama anavunja uchumba ili yeye aingie. Mtu kama huyu haangalii ndoa ila anaangalia mtu apoteze uhai ili yeye apate nafasi. (ni mfano tu) kuna wengine kwao kipaumbele ni pesa iwe hajaolewa ama ameolewa huyu wewe hata uje na mapenzi ya aina gani kwake ishu ni ela tu, Kuna wengine kipaumbele ni kuona mama mkwe/wifi/ shemeji/ baba mkwe wanakufa manake hawa wamekuwa mwiba kwenye maisha yake ya ndoa. Na unakuta mtu anafanya maombi ya novena kuombea mtu asiwepo kwenye hii dunia. Mie kwangu huwa naona hili swala la vipaumbele liko ki majira zaid. Kama majira ni ja jua kwako utaact kijuajua, na kama ni majira ya mvua utaact kimvua mvua.

Some people are alive because is ilegal to shoot them. But the fact is some people they deserve to be killed.
 
Last edited by a moderator:
Ndio target yangu ya hii thread, my Ex nilishawahi kuwa na kikao na Mama yake alimwambia binti yake mbele yangu kwamba nimekutafutia kazi hiyo kazi ndio mume wako wa kwanza. Dhambi ya maneno hayo inawatafuna mpaka kesho. OLESAIDIMU kwenye post yake ya kwanza aliposema kuna rafiki yake akisikia mama mkwe wake kafa basi itakuwa ni furaha kwake, mimi nimemuelewa vyema.
haya sasa Matola ndo makosa makubwa sana aloyafanya huyu mama. well kazi inamfanya mtu aweze kuishi kwa kuyamudu maisha lkn sasa kazi haitakiwi kureplace nafasi ya mume hata kidogo. bora siye ambao siku twaolewa tuliambiwa wazi kwamba hapa nyumban uje ukiwa na barua toka kwa mumeo kwamba umekuja kufanya nini na utakaa siku ngapi. sikufishi mie nikikosa kwenye ndoa huwa naomba msamaha kama mtoto mdogo manake najua ikifika home wazazi wangu hawatanielwa kabisa na kuna wakati niliwah kufanya ujinga mbaya nilikuwa radhi kupelekwa kanisan nikatubu kuliko kupelekwa home kwa wazazi na toka hapo nilijifunza jambo moja kubwa sana. Mpaka wanandoa wameamua kutoka kwa dhati kwenye maiden familiy zao na kukaa kwenye created families kwa moyo mmoja vinginevyo ni shiider hasa kama wazazi wa mmoja wa wanandoa watamuona mtoto wao kama mtoto bado
 
Last edited by a moderator:
Kabla sijaoa;
Kazi
Mwanamke
Watoto

Baada ya kuoa;
Mwanamke
Kazi
Watoto

Baada ya kuzaa;
Kazi
Watoto
Mwanamke.

Sasa hapa ndo nimeamini kweli nilikuwa sijaelewa swali....mkuu Matola ngoja nirudi kurekebisha kauli
 
Last edited by a moderator:
Some people are alive because is ilegal to shoot them. But the fact is some people they deserve to be killed.
samehe wala usiyakumbuke makosa yao manke wanaendelea kukuumiza bure. kiukweli kuna watu huwa miiba kwenye maisha ya wenzao hadi unajuta kwann Mungu alikupa watu hao wakutane na wewe kwenye maisha. sijawah kufika mahali pa kumwona mtu ni mwiba sana kwasabbau tu huwaga sina moyo wa kuwaza ubaya wa mtu kwangu mara mbili. so far napenda sana kuwa na maadui kuliko marafiki manake atakaye sema hakupendi ni muwazi zaid kuliko asemaye nakupenda. na huyo kwangu najua nitaishije naye nisije nikamuudhi. sasa kunaw ale ambao wao hung'ata na kupuliza hawa ni wabaya zaid.
 
Kama watu wataamua kuwa wakweli kwenye huu uzi kaka Matola basi leo hili litakuwa bonge la darasa!!!

Ukweli? Unatarajia watu wawe wakweli? Hapana si kwa kizazi hiki. Hadi sasa mkweli niliyemuona ni lara 1 tu! Wengi wamejaribu kuonyesha jinsi walivyo na mitazamo chanya, wameonyesha ubora wao, wameonyesha viwango vya ustaarabu uliotukuka ila je, huo ndio uhalisia?
Binaadamu tumetofautiana mitazamo, misimamo na hata falsafa. Kuna watu wana vipaumbele hasi kuliko hata tafsiri ya hasi yenyewe ila hapa watafuata upepo unavyoenda, mashindano ya mawazo chanya.
Bado nipo shule (mwanafunzi) kuna mabinti kadhaa ni marafiki zangu, nikikuambia vipaumbele vyao, unaweza usiamini lakini ndio vipaumbele vyao. Ila niseme vipaumbele hubadirika kutokana na mazingira na wakati. Labda vipaumbele vyao vitabadirika baadae.
 
Last edited by a moderator:
Matola na wengine wote mliochangia huu uzi unless kama mnataka maisha yawe kama rula ama njia. lkn ukweli sote twaujua kwamba vipaumbele havifanani. labda ungeamua kuvi group na useme vipaumbele vya kinadharia ila vijapo vipaumbele vya kimatendo hali ni tofauti kabisa. mie nikwambie kuna watu hawajaolewa/kuoa na vipaumbele vyao ni kuona fulan aliye chumbiwa/aliyemchumbia fulan anakufa ama anavunja uchumba ili yeye aingie. Mtu kama huyu haangalii ndoa ila anaangalia mtu apoteze uhai ili yeye apate nafasi. (ni mfano tu) kuna wengine kwao kipaumbele ni pesa iwe hajaolewa ama ameolewa huyu wewe hata uje na mapenzi ya aina gani kwake ishu ni ela tu, Kuna wengine kipaumbele ni kuona mama mkwe/wifi/ shemeji/ baba mkwe wanakufa manake hawa wamekuwa mwiba kwenye maisha yake ya ndoa. Na unakuta mtu anafanya maombi ya novena kuombea mtu asiwepo kwenye hii dunia. Mie kwangu huwa naona hili swala la vipaumbele liko ki majira zaid. Kama majira ni ja jua kwako utaact kijuajua, na kama ni majira ya mvua utaact kimvua mvua.

Heee sa si ndio maana tumeulizwa kila mtu aseme vyake koz inajulikana kila mtu anavyo vya kwake
 
Last edited by a moderator:
Hapa mnazunguka mbuyuuu wewee ila ukweli unajulikana, kila mwanamke anataka ndoa hata kama ni kwenda kuangalia tu mkato wa chumba na kutoka.

Mwanaume anataka familia ili imuwajibishe, na tena kama umegundua wanauame wengi wako committed in their works kwasababu wanajua wanapaswa kutunza familia zao.

Mtanipiga mawe lakini kaeni mchunguze na ndio maana hata pesa ya mwanamke haina mafuta kama pesa ya mwanaume. Tizama Matola waweza kuwa unafanya ofisi moja na mdada, tena kazi moja mkalipwa mshahara mmoja lakin ona mwanaume anaweza kwa mshahara wake akamudu kutunza familia hata 3 lkin mwanadada hata familia moja ama yeye mwenywe ni majanga kisa nini??

Ni kwamba pesa ya mwanamke haikupakwa mafuta ya kiutendaji kama ya mwanaume na ndio maana mwanaume yuko kimatunzo zaidi lkin mwanamke yuko kindoa zaidi.


Hii ilikuwa Zamani sana aisee ....Pesa ya Mwanamke wa sasa Inatunza Familia kuliko huyo Mwanaume , By the way Wanaume Maprovider wamebaki wachache sana , yaani kuwapata ni Bahati ! Wengi wao ni wanaume Pambo tu
 
^^^^^^^^^^^^
cc Lilac.. ayanda... charty.. Lizzy.. ameline...

¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð¦Ð
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri wachangia wakajitambulisha na status zao kwa sababu kuna target pia nataka kujuwa wanandoa kweli wanaongea lugha moja?

Hii thread ni kama fun ila imebeba kitu ambacho wengi wanaishi pamoja kumbe mkeo kipaumbele chake kazi, Mama yake, watoto na kujenga nyumba yake. Wewe mume ni heshima tu basi.

Zamani enzi za mama zetu nababu zetu ndoa ndo iliku a kazi yako
asa hv maisha yamebadilika ndo mana wazazi wanatusomesha lengo ni hata kama nimeolewa niweze kusaidiana na mwenza wangu ktk maisha
maisha ya sasa yamebadilika sana wanaume na wanwake wengi wetu hatuna uvumilivu kwenye ndoa
so kazi yangu kwanza ili hata tukifarakana nisikose pa kuanzia
MUME wangu bado atabaki kua mume na heshima yake ataipata
 
Nadhani wanawake wengi huu ndio mtazamo wao...

Baada ya ndoa na baraka ya watoto ikishatimia basi mume hupewa kipaumbele cha mwisho kabisa...

Sio kipaumbele cha mwisho ni kutokana unakuwa una viumbe vingine umevileta duniani so lazima uwape mapenzi yote ili wajihisi wenye furaha.Sasa tatizo wanaume wanataka wapendwe the same way na kipindi sina majukumu ya mtoto ndo tatizo linaanzia hapo na unakuta mianaume mingine inawaachia wake zao swala zima la kulea watoto so lazima ilete ugumu kwenye kubalance upendo.
 
Hii ilikuwa Zamani sana aisee ....Pesa ya Mwanamke wa sasa Inatunza Familia kuliko huyo Mwanaume , By the way Wanaume Maprovider wamebaki wachache sana , yaani kuwapata ni Bahati ! Wengi wao ni wanaume Pambo tu

Si bora awe pambo,pumbu tu :what::what::what:
 
me priority yng ni kazi ambayo ndo biashara yangu.......... Mtt staki kwa sasa labda mpk nitapofika 28!!!!!!!!!!!! buzi langu ndio connection yangu kwenye kazi nalitumia as security katika kazi yangu iwe salama mpaka inaponifikia,,,,,,,, after 1yr ntampa kibuti kama ajali ya bus vile maana hatakua na manufaa i will stand on my own feet .......... staki kuwekeza kwenye mapenzi najua muda bado coz kwangu mie hela ndo kila kitu sina ndoto ya kufa maskini so hivo vipaumbele vingine vinipishe kwanza. over!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom