Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,614
- 109,243
Kutokana na sasa hivi ugonjwa wa heart broken kuonekana wazi umekosa chanjo na matibabu yake ni ya magumashi tupu kama Ebola thread hii itasaidia kila jinsia ijue jinsia nyingine priorities zake/zao ni zipi hasa?
Mimi nachokoza tu mjadala kwa wote wanandoa na wasio wanandoa kwamba wanawake wenye ndoa Priorities inaonekana ni hizi ili tusijekuhisi hatupendwi kumbe kosa ni kuwa hatujui vipaumbele vya wenzetu.
1.Mtoto/watoto
2.Mume
3. Kazi
Wanawake wasio na ndoa
1. Pesa
2. Mwanaume
3. Kazi
Nawakaribisha wanawake muoneshe vipaumbele vyenu ili wanaume wajifunze kitu kutoka kwenu itasaidia sana watu kupenda kwa akili na si kama matutusa.
Sasa mimi kwa wanaume nimeona kuna tatizo kidogo na ni ujinga wa hali ya juu.
Tazama vipaumbele vya mwanaume
1.Mwanamke
2. Kazi
3. Mtoto/ watoto
Mimi sasa nashauri wanaume sasa tubadirike na vipaumbele vyetu viwe kama hivi,
1. Mtoto/watoto
2. Kazi
3. Mwanamke
Mimi nimechokoza tu mjadala wadau sasa tutililike.
Pia dada zangu msinishambulie kwamba naiamsha mibuzi yenu itakakata kamba naomba msiwe na hofu, misukule huwa haifufuki.
Cc; BADILI TABIA lara 1 Kongosho The Boss Heaven on Earth Pdidy Mtambuzi and all of you.

Last edited by a moderator: