Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Hapo umenena ndugu yangu. Me napenda helaaa uwiii and I swear I won't settle for less, but nakuwa proud zaid na kitu nilichosweat kukitafuta mwenyewe. No matter how small it is, as long as nimekipata kwa jasho langu, basi I will walk with my head up. Mind u mwanaume mtafutaji awepo pembeni yangu. Mwanaume mlalamikaji na mvivu, kaa mbali na mimi. Katika mafanikio ya mume basi nataka na mimi nipate credits kuwa kuna kitu nimecontribute, hata kama ni kiduchu

Aameen....!! Yani mi hata kama nna elfu kumi mradi najua nimeisotea I'll be proud of it
 
Contribution ni contribution tu, hata kama ulimpa mastress yakamtia hasira kutafuta pesa kwa hasira nazo ni credits pia utapewa tu.

Hahaaa ni kweli....wanaokuangalia nje wanajua unapewa constructive ideas ndio maana unachakarika kumbe siri ya mtungi waijua mwenyewe....bila pesa ndani hakukaliki
 
Hapo umenena ndugu yangu. Me napenda helaaa uwiii and I swear I won't settle for less, but nakuwa proud zaid na kitu nilichosweat kukitafuta mwenyewe. No matter how small it is, as long as nimekipata kwa jasho langu, basi I will walk with my head up. Mind u mwanaume mtafutaji awepo pembeni yangu. Mwanaume mlalamikaji na mvivu, kaa mbali na mimi. Katika mafanikio ya mume basi nataka na mimi nipate credits kuwa kuna kitu nimecontribute, hata kama ni kiduchu

Well said :thumbup:
 
Duh yabidi upatiwe vipimo lara 1 maana yapata wiki sasa koh koh koh teh teh teh nini shida?

Nadharia ya usiku yaweza kuwa ndio uhalisia wa vitendo mchana!!!
Naaaaaaaaaaaah! MAISHA SIO MARAISI KAMA MNAVOSEMA! Mtu anajifanya priority yangu kaziwakati MWAKA WA 4 HUU HAJAAJIRIWA WALA HAJUI ATAAJIRIWA LINI, AU KIPAUMBELE MUME, MUME MWENYEWE PU.MBU TU HUMO NDANI 100 HII 100 HATOI, AU KITOMBELO HATARIII KILA SIKU UNAFUMANIA,!! ALL IN ALL IT IS NOT YOUR FAULT THAT IT IS HAPPENING TO YOU! It is not yourfault mume hana shukrani, it is not your fault cv yako mabosi hawaino!

But life must go on either way! SO COMES THE TRICY QUESTION! THERE IS WHAT YOU WANT AND THERE IS WHAT IS AVAILABLE, THE LITTLE THAT YOUR CRUEL FATE OFFERED YOU! I say TAKEWHAT ISAVAILABLE AND BE GRATEFULL! Leave the what IWANT TO FEW CHOSEN ONES!

Like now, kuna ndugu yangu mke wa mtu, mumewe kasimamishwa kazi toka mwaka jana, hapa buzi lake mume wa mtu kabisaa limenitumia hela kwenye account yangu nataka nikalipe adaza wanae, najifanyakama bi mkubwa kawakopesha! Hahaaaa! Bi mkubwa hajui chochote! Chezea ada ya $4000,maana kila mtoto $2000! Nani akukopeshe hio hela bureee? Thubutuuuuu! Bi mkubwa alimjibu tafuta shule ya bei poa poa! Hahaaa!

Kajikaza kikike aaaah, she still gets to keep the husband and pay schoolfeez, everybody is HAPPY! Just a little imorallity for a grater good ofcourse! IT IS NOT HER FAULT HER HUSBAND GOT FIRED, IT IS NOT HER FAULT HER ECONOMY CRUSHED, IT IS NOT THE OTHER WIFES FAULT THAT HER HUSBAND IS MESSING ARROUND, IT IS NOT HIS HUSBAND FAULT HE GOT SUCKED! IN REALITY IT IS NO BODYS FAULT IN REALITY THAT BAD SHIT KEEP HAPPENING TO GOOD PEOPLE IN THEIR LIVES! Shit happens because it just does! And people gotta survive anyways! But them remaining good after the shit is QUESTIONABLE!
 
Hahaaa ni kweli....wanaokuangalia nje wanajua unapewa constructive ideas ndio maana unachakarika kumbe siri ya mtungi waijua mwenyewe....bila pesa ndani hakukaliki

We acha tu kuna mshikaji tulikuwa naye Canada baadaye tukapotezana tukaja kuonana bongo akiwa amevurugwa mbaya mambo hayaendi na mke ndio anamuongezea stress tu.

Alinifuata home kunieleza mkasa mzima na haitaji ushauri wangu bali amekuja kuniaga anakwenda Brazil kubeba nyeupe then kuishusha Italy, lile jamaa ni kama chawi route yake ilifanikiwa na akarudi Bogota Colombia akapack nyeupe yake through Cargo ship back to Italy sasa hivi tunavyotype hapa ni mtu mwingine kabisaa.

Huyu bila stress za mkewe asinge take risk hiyo wakati anajuwa wazi European union ukikamatwa na unga ni miaka 9 mpaka 15 jela.
 
Ndio target yangu ya hii thread, my Ex nilishawahi kuwa na kikao na Mama yake alimwambia binti yake mbele yangu kwamba nimekutafutia kazi hiyo kazi ndio mume wako wa kwanza. Dhambi ya maneno hayo inawatafuna mpaka kesho.
OLESAIDIMU kwenye post yake ya kwanza aliposema kuna rafiki yake akisikia mama mkwe wake kafa basi itakuwa ni furaha kwake, mimi nimemuelewa vyema.

Kuna wakati fulani wa maisha yangu nilitami pia iwe vile (hapo kwenye red), lakini kwa sasa Glory to God namtakia maisha marefu na yenye baraka tele. Nimeendelea na maisha yangu na nina furaha na amani.

Back to the topic of course Mungu yupo juu ya yote ila yale ya kibinadamu:
1. kazi ambayo inaniletea pesa
2. mtoto
3. mimi mwenyewe (hapa bado niko darasani)
 
Naaaaaaaaaaaah! MAISHA SIO MARAISI KAMA MNAVOSEMA! Mtu anajifanya priority yangu kaziwakati MWAKA WA 4 HUU HAJAAJIRIWA WALA HAJUI ATAAJIRIWA LINI, AU KIPAUMBELE MUME, MUME MWENYEWE PU.MBU TU HUMO NDANI 100 HII 100 HATOI, AU KITOMBELO HATARIII KILA SIKU UNAFUMANIA,!! ALL IN ALL IT IS NOT YOUR FAULT THAT IT IS HAPPENING TO YOU! It is not yourfault mume hana shukrani, it is not your fault cv yako mabosi hawaino!

But life must go on either way! SO COMES THE TRICY QUESTION! THERE IS WHAT YOU WANT AND THERE IS WHAT IS AVAILABLE, THE LITTLE THAT YOUR CRUEL FATE OFFERED YOU! I say TAKEWHAT ISAVAILABLE AND BE GRATEFULL! Leave the what IWANT TO FEW CHOSEN ONES!

Like now, kuna ndugu yangu mke wa mtu, mumewe kasimamishwa kazi toka mwaka jana, hapa buzi lake mume wa mtu kabisaa limenitumia hela kwenye account yangu nataka nikalipe adaza wanae, najifanyakama bi mkubwa kawakopesha! Hahaaaa! Bi mkubwa hajui chochote! Chezea ada ya $4000,maana kila mtoto $2000! Nani akukopeshe hio hela bureee? Thubutuuuuu! Bi mkubwa alimjibu tafuta shule ya bei poa poa! Hahaaa!

Kajikaza kikike aaaah, she still gets to keep the husband and pay schoolfeez, everybody is HAPPY! Just a little imorallity for a grater good ofcourse!

Hahaaaa kule kwetu milimani tunasema the end justifies the means...
 
Contribution ni contribution tu, hata kama ulimpa mastress yakamtia hasira kutafuta pesa kwa hasira nazo ni credits pia utapewa tu.

Eeeh sasa akiwa mzembe unadhani sitomja**isha achakarike kutafuta hela?? Kuna watu ukiwalegezea, they will be your downfall (akifeli yeye na mie si ntaonekana nimefeli akhuu). Well contribution sio lazima tu iwe hela, hata ideas au amani tu unayokuwa nayo home na familia yako inakuboost kuchakarika. But mimi ntaenda extra miles, I will be part of michakariko yake.
 
Kabla ya ndoa:
Kipato
Familia(yangu)
Mchumba

Baada ya ndoa kabla ya watoto:
Kipato
Mume


Baada ya kupata watoto:
Watoto
Mume
Kipato
 
Kabla ya ndoa:
Kipato
Familia(yangu)
Mchumba

Baada ya ndoa kabla ya watoto:
Kipato
Mume


Baada ya kupata watoto:
Watoto
Mume
Kipato

Leo wanaume watatia akili tu na wataacha kuimba ur my number one.

Maana mpaka page hii hakuna sehemu mwanaume amewekwa namba one.

Taratibu tutaelewana tu hapa hapa.
 
Mkuu huwezi kupata mtoto/watoto kama huna mwanamke...

huwezipata ,wanamke kama huna elaa... (No true love siku izi)

huwezipata ela kama huna kazi...

MEN PREORITIES ARE:-

1. WORK/ JOB/ BUSINESS (source of money)
2. WOMAN/ WIFE (attached when you get money) thn source of children
3. CHILDREN (when you have MONEY & HONEY here automatically you reach)
 
lara 1 me siogopi mtu kusema ukweli hakuna anaenilipia bill zangu humu ndani.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa sikukusudia kwa kweli kicheko kimeniponyoka tu...
NDO MAISHA HAYO! Maana mume anajua wanadaiwa ada, hawezi kukubali kisengerema ada imetokea tuuu! Atastukia chezo, unless ofcourse my good, respectable, hardworking mother, kamkopesha aunty yake! Ambapo in future atatakiwa amsamehe! Everybody wins!:A S wink:! Maza angeshirikishwa asingekubali hata robo hu mpango, ila nimemuwakilisha, tukishalipa tunamtaarifu akipigiwa kushukuriwa aitike tu! HAHAAAAA! Sababu ITS TOO LATE! Unless anataka kuvunja ndoa ya aunt yake, na utu uzima ule ataelewekaje! Hahaaaaa! Atatutukana matusi ya nguoni na kwenda kushtaki kwa padri but the good part is the boys will be schooling for the whole year,! DESPERATE TIMES CALL FOR DESPERATE MEASURES! Ukilegea umekwishaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom