Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Mtoto anapatikana baada ya mume...siwezi kuweka kipaumbele mtoto kabla sijapata wa kunipa huyo mtoto na sina pesa za kumlisha japo napenda sana mtoto kwa kweli...

Swali la nyongeza kwa wanaforum: Kwa nini watu huhitaji watoto???
 
NDO MAISHA HAYO! Maana mume anajua wanadaiwa ada, hawezi kukubali kisengerema ada imetokea tuuu! Atastukia chezo, unless ofcourse my good, respectable, hardworking mother, kamkopesha aunty yake! Ambapo in future atatakiwa amsamehe! Everybody wins!:A S wink:! Maza angeshirikishwa asingekubali hata robo hu mpango, ila nimemuwakilisha, tukishalipa tunamtaarifu akipigiwa kushukuriwa aitike tu! HAHAAAAA! Sababu ITS TOO LATE! Unless anataka kuvunja ndoa ya aunt yake, na utu uzima ule ataelewekaje! Hahaaaaa! Atatutukana matusi ya nguoni na kwenda kushtaki kwa padri but the good part is the boys will be schooling for the whole year,! DESPERATE TIMES CALL FOR DESPERATE MEASURES! Ukilegea umekwishaaaaaaaaaa!

Hahahaaaa...mna tabia mbaya kweli yan mmemuingiza kingi bi mkubwa loh....mtamfanya ajutie miezi yake tisa hakyanani
 
Aiseee we mwanamke unajiamini mpaka nakupenda...hivi mimi naweza kuongea hivi mbele ya mpenz wangu kweli duuh
Ukiona ntu hasa mwananke anamwita mwanaume Baby mbele ya kadamnasi uwe na uhakika paja lake hawezi kuliona mpaka siku ya kiama. Hivi unaona Lara 1 ni mtu wa kuweza hata kukaa meza moja na Matola kutokana na tungo zake?
 
Mmmmhhh....unajaribu kusema nini?
 
Ukiona ntu hasa mwananke anamwita mwanaume Baby mbele ya kadamnasi uwe na uhakika paja lake hawezi kuliona mpaka siku ya kiama. Hivi unaona Lara 1 ni mtu wa kuweza hata kukaa meza moja na Matola kutokana na tungo zake?

Hahaaaaaa! DONT UNDER ESTIMATE. Matola ! Hata kidogoooo! He is not as inocent as he appears! Simba mkali na anazalishwa vile vile itakuwa mie!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ukweli ambao wanaume hatutakagi kuusikia kutoka kwa wanawake, let alone our girlfriends!!!

DANGEROUS TIMES CALL FOR DANGEROUS MEASURES! Nikampigia simu kumlamba makalio, yes! I kissed his a.ss a lot, na kutake blame ya kuachana mwanzo yote, na kuonesha nimekamatika for his ego, baaaaaaas! We are back rolling!

I know it is UNETHICAL and IMORAL but a girl gotta eat and pay bills! He will buy me enough time to streighten my shit! For now im covered!

DONT ALWAYS PLAY BY THE RULES!

Dont get it twisted THERE IS LOVE AND THERE IS LIFE! Mpenzi angenisaidia nisingekuwa naongea haya! Like i said DESPERATE TIMES CALL FOR DESPERATE MEASURES! NIENDEKEZE MAPENZI NIFE NJAA NA MI BILLS YA HOSPITALI?
WATU WANACHEPUKA KWENYE NDOA ITAKUWA MIE NIMEPASHA KIPORO THUBUTUUUUUU!
 
Ofcourse! AFTERALL YOUR SORRY A.SS DOESNT HAVE A CHOICE ANYWAY! :cool2::cool2:

For real! Kuna ile culture ya kujifariji kwa kuvitaja ulivyonavyo kwamba ndivyo ulivyotaka kupata.

I got you.
 
Aiseee we mwanamke unajiamini mpaka nakupenda...hivi mimi naweza kuongea hivi mbele ya mpenz wangu kweli duuh

sory kwan kuna mpz wake hapa????? are u sure lakin mana koh koh koh....
sory nmepaliwa
 
For real! Kuna ile culture ya kujifariji kwa kuvitaja ulivyonavyo kwamba ndivyo ulivyotaka kupata.

I got you.

Hahahahaaaa! Boy you are mean! Umenikumbusha shostiyangu anapenda kusema mimi mume wangu HANA HELA LAKINI TUNAFURAHA SANAAA, WENGINE KWENYE MAJUMBA WANALIA HUMO! Hahahaaaa! Bi.tch please! Mi naitikiaga tu! Ndiooooo! Furaha ndo kila kitu! Hongera shogaangu! #poorpeopletalks ! Hahaaaaaa!

HAHAHAAAAAAAAAA! Kanigini acha kunitia ndimu niropoke hapa niwe msatri wa mbele UKWELI UNAUMA UJUE! Turudi kwenye mada bwana!
 
Back
Top Bottom