Sio kipaumbele cha mwisho ni kutokana unakuwa una viumbe vingine umevileta duniani so lazima uwape mapenzi yote ili wajihisi wenye furaha.Sasa tatizo wanaume wanataka wapendwe the same way na kipindi sina majukumu ya mtoto ndo tatizo linaanzia hapo na unakuta mianaume mingine inawaachia wake zao swala zima la kulea watoto so lazima ilete ugumu kwenye kubalance upendo.
pole sana kwa kukuudhi, sikujua kwamba naongea ujingaHeee sa si ndio maana tumeulizwa kila mtu aseme vyake koz inajulikana kila mtu anavyo vya kwake
Hiyo sio pesa...sawa na makaratasi tu
pole sana kwa kukuudhi, sikujua kwamba naongea ujinga
Kivipi yaani???!!!
Unataka coins???!!
me priority yng ni kazi ambayo ndo biashara yangu.......... Mtt staki kwa sasa labda mpk nitapofika 28!!!!!!!!!!!! buzi langu ndio connection yangu kwenye kazi nalitumia as security katika kazi yangu iwe salama mpaka inaponifikia,,,,,,,, after 1yr ntampa kibuti kama ajali ya bus vile maana hatakua na manufaa i will stand on my own feet .......... staki kuwekeza kwenye mapenzi najua muda bado coz kwangu mie hela ndo kila kitu sina ndoto ya kufa maskini so hivo vipaumbele vingine vinipishe kwanza. over!!!!!!!!!
pesa. watoto.mume ndo chain yangu
Kuna wengine vimeo kabisa eti.Asiyejua majukumu yake km mwanamme,hata hicho cha Mwisho huoni sababu ya kumpa.
Ukweli? Unatarajia watu wawe wakweli? Hapana si kwa kizazi hiki. Hadi sasa mkweli niliyemuona ni lara 1 tu! Wengi wamejaribu kuonyesha jinsi walivyo na mitazamo chanya, wameonyesha ubora wao, wameonyesha viwango vya ustaarabu uliotukuka ila je, huo ndio uhalisia?
Binaadamu tumetofautiana mitazamo, misimamo na hata falsafa. Kuna watu wana vipaumbele hasi kuliko hata tafsiri ya hasi yenyewe ila hapa watafuata upepo unavyoenda, mashindano ya mawazo chanya.
Bado nipo shule (mwanafunzi) kuna mabinti kadhaa ni marafiki zangu, nikikuambia vipaumbele vyao, unaweza usiamini lakini ndio vipaumbele vyao. Ila niseme vipaumbele hubadirika kutokana na mazingira na wakati. Labda vipaumbele vyao vitabadirika baadae.
Ya kutafuta mwenyewe ndo inanoga
Ooooh...hivi nomesema umeniudhi? Samahani kwa kweli...si wengine sauti zetu hadi miandiko imekaa kisharishari....tuvumiliane mpendwa
Duh yabidi upatiwe vipimo lara 1 maana yapata wiki sasa koh koh koh teh teh teh nini shida?
Ukweli? Unatarajia watu wawe wakweli? Hapana si kwa kizazi hiki. Hadi sasa mkweli niliyemuona ni lara 1 tu! Wengi wamejaribu kuonyesha jinsi walivyo na mitazamo chanya, wameonyesha ubora wao, wameonyesha viwango vya ustaarabu uliotukuka ila je, huo ndio uhalisia?
Binaadamu tumetofautiana mitazamo, misimamo na hata falsafa. Kuna watu wana vipaumbele hasi kuliko hata tafsiri ya hasi yenyewe ila hapa watafuata upepo unavyoenda, mashindano ya mawazo chanya.
Bado nipo shule (mwanafunzi) kuna mabinti kadhaa ni marafiki zangu, nikikuambia vipaumbele vyao, unaweza usiamini lakini ndio vipaumbele vyao. Ila niseme vipaumbele hubadirika kutokana na mazingira na wakati. Labda vipaumbele vyao vitabadirika baadae.
Nadharia ya usiku yaweza kuwa ndio uhalisia wa vitendo mchana!!!Hahaaaaaa! THANK YOU! Na Tina cute nae labda kasema ukweli kidogo! Ila wengine kwa kweli wanaleta NADHARIA TU! Hahaaaaa! Anyway ITS A FREE COUNTRY!
Daaaanh yaani hela ninayo we ukavuje jasho la kwapa kutafuta badala ya kuleta proposo tukae na kujadili nitie pesa utiririke nayo fasta fasta!!!
Aaargh unanikatisha tamaa sasa
Ya kutafuta mwenyewe ndo inanoga
Hapo umenena ndugu yangu. Me napenda helaaa uwiii and I swear I won't settle for less, but nakuwa proud zaid na kitu nilichosweat kukitafuta mwenyewe. No matter how small it is, as long as nimekipata kwa jasho langu, basi I will walk with my head up. Mind u mwanaume mtafutaji awepo pembeni yangu. Mwanaume mlalamikaji na mvivu, kaa mbali na mimi. Katika mafanikio ya mume basi nataka na mimi nipate credits kuwa kuna kitu nimecontribute, hata kama ni kiduchu
Sawa, mwanzo nilidhani unataka uanze mwenyewe yaani from the scratchSasa huko kutiririka nayo si ndo kutafuta? Hivi ukinipa milioni kumi nikarudi nyumbani na milioni ishirini si nimetafuta au...??