Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Wanaume na wanawake straight talk nini kipaumbele chako katika Mapenzi?

Dont get it twisted THERE IS LOVE AND THERE IS LIFE! Mpenzi angenisaidia nisingekuwa naongea haya! Like i said DESPERATE TIMES CALL FOR DESPERATE MEASURES! NIENDEKEZE MAPENZI NIFE NJAA NA MI BILLS YA HOSPITALI? In the end a girl gotta survive! Mpenzi akikuacha you will get another one, but ukifa it is over! Just focus on staying alive no matter the cost!
WATU WANACHEPUKA KWENYE NDOA ITAKUWA MIE NIMEPASHA KIPORO THUBUTUUUUUU!

Lioness philosoph!
NO MATTER WHAT IS THE ECONOMIC STATE OF THE JUNGLE I WIL NEVER EAT GRASS!

Basi ingekuwa siri yako loh
 
Lara 1 bhana, sijui upoje!!!? Nashukuru wanawake kama wewe mpo wachache sana duniani.... Maana mngetupa shida.
 
Kwa baadhi ya wadada iko hivi Stage one;
Kazi
Mume
Watoto

Stage two sasa baada ya kuolewa kujaaliwa watoto na kuoata promotion kazini
Kazi
Watoto
Mume

Hapo sasa ukikaa na washikaji ni lawama mwanzo mwisho oonh mke wangu hivi na vile mara amekuwa kiburi sijui hanishirikishi mambo mengi mbaya zaid aweza sasa amua kuwa karibu na mama yake na dada zake hao ndio washauri wakuu, sasa hapo ikiwa kidume mambo hayako vizuri ndio yaweza kuwa mbaya zaid!!!!

1. Mtu akiitwa honey ujue kuna kitu hakiko sawa; honey ona hii gari, nzuri eenh!!!!! Akiitikia tu utasikia nimeilipia leo hiyo honey!!!!
2. Au, honey kuna mtu alikuja fasta na dili la kiwanja nikaona nikichukue hapo mtu anaoneshwa ofa na jina la bibie!!!

Kuna mshikaji yeye kwa sasa priority yake ni kifo cha mama mkwe wake, yaani anasema yule bi mkubwa akifa tu basi ndoa yake inaimarka fastaaa!!!

Mkuu you nailed it tena hili bandiko lako linapaswa likae juu kwenye thread ili wanaochangia hii mada wapate refference kutoka kwako.
 
Lara 1 bhana, sijui upoje!!!? Nashukuru wanawake kama wewe mpo wachache sana duniani.... Maana mngetupa shida.

Enough of you guys throwing DAGGERS AT ME as if you are some holly SAINTS or something! This topic was so much fun tulipokuwa tunaongelea vipaumbele vya whatever! BACK TO TOPIC GUYS!
 
Hahaaaaaa! HYPOCRISY AINT IN MY TO DO LIST! What difference does it make? I am a catholic remember! CONFESSING MY SINS IS PART OF THE FORGIVENESS PROCESS! Just rehesling what i will tell my priest! :A S wink:, Whatever you do in darkness will come to light anyways! It doesnt matter if you shine the light yourself or some else does it!

Hahahaaaaa....lol
 
it's the same language that has a vast of formalities...don't you see the difference?
Hahahaaaaaaaaa! May be i do! Maybe i dont! Who knows? Except me ofcourse! It was so much fun mlipokuwa mnafanya mgongano wa hoja na Khantwe nisameheni kuwaingilia, im excusing myself now! Wish you luck!:A S wink:
 
Last edited by a moderator:
prioritiess..
1.kazi (pesa)
2.mwammee
3.watoto.
 
Hii ni kabla ya ndoa au baada ya ndoa?

Ni vizuri wachangia wakajitambulisha na status zao kwa sababu kuna target pia nataka kujuwa wanandoa kweli wanaongea lugha moja?

Hii thread ni kama fun ila imebeba kitu ambacho wengi wanaishi pamoja kumbe mkeo kipaumbele chake kazi, Mama yake, watoto na kujenga nyumba yake. Wewe mume ni heshima tu basi.
 
Hahahah hata huna haja ya kuomba msamaha darling....

Vikorombwezo vya hapa na pale katikati ya mada tata kama hizi ni muhimu ili kufurahisha jamvi...

Hahahaaaaaaaaa! May be i do! Maybe i dont! Who knows? Except me ofcourse! It was so much fun mlipokuwa mnafanya mgongano wa hoja na Khantwe nisameheni kuwaingilia, im excusing myself now! Wish you luck!:A S wink:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu you nailed it tena hili bandiko lako linapaswa likae juu kwenye thread ili wanaochangia hii mada wapate refference kutoka kwako.
Moderator Pruner Cookie Paw please do the needful.

Sawa kaka kama waona yafaa!!!
Ngoja waje sasa wagombea wenza na watani wa jadi maana hapa ni vuta nikuvute!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri wachangia wakajitambulisha na status zao kwa sababu kuna target pia nataka kujuwa wanandoa kweli wanaongea lugha moja?

Hii thread ni kama fun ila imebeba kitu ambacho wengi wanaishi pamoja kumbe mkeo kipaumbele chake kazi, Mama yake, watoto na kujenga nyumba yake. Wewe mume ni heshima tu basi.

Kama watu wataamua kuwa wakweli kwenye huu uzi kaka Matola basi leo hili litakuwa bonge la darasa!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu na hapo umetaja vipaumbele kwa uchache sana, mathalani wapo wanandoa ambao pamoja na kuolewa bado vipaumbele vyao huwa ni wazazi wao...

Ni vizuri wachangia wakajitambulisha na status zao kwa sababu kuna target pia nataka kujuwa wanandoa kweli wanaongea lugha moja?

Hii thread ni kama fun ila imebeba kitu ambacho wengi wanaishi pamoja kumbe mkeo kipaumbele chake kazi, Mama yake, watoto na kujenga nyumba yake. Wewe mume ni heshima tu basi.
 
Matola na wengine wote mliochangia huu uzi unless kama mnataka maisha yawe kama rula ama njia. lkn ukweli sote twaujua kwamba vipaumbele havifanani. labda ungeamua kuvi group na useme vipaumbele vya kinadharia ila vijapo vipaumbele vya kimatendo hali ni tofauti kabisa. mie nikwambie kuna watu hawajaolewa/kuoa na vipaumbele vyao ni kuona fulan aliye chumbiwa/aliyemchumbia fulan anakufa ama anavunja uchumba ili yeye aingie. Mtu kama huyu haangalii ndoa ila anaangalia mtu apoteze uhai ili yeye apate nafasi. (ni mfano tu) kuna wengine kwao kipaumbele ni pesa iwe hajaolewa ama ameolewa huyu wewe hata uje na mapenzi ya aina gani kwake ishu ni ela tu, Kuna wengine kipaumbele ni kuona mama mkwe/wifi/ shemeji/ baba mkwe wanakufa manake hawa wamekuwa mwiba kwenye maisha yake ya ndoa. Na unakuta mtu anafanya maombi ya novena kuombea mtu asiwepo kwenye hii dunia. Mie kwangu huwa naona hili swala la vipaumbele liko ki majira zaid. Kama majira ni ja jua kwako utaact kijuajua, na kama ni majira ya mvua utaact kimvua mvua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom