Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

Ni Mara ya nne hiyo ndani ya wiki moja

Ila mkuu ukijua unachokitaka kwa huyo manzi nadhani haiwezi kusumbua kichwa….. kama chapa ilale weka mazingira ya yeye kupata hela kwa malipo, kuku lazima uitupie mchele mchele kwanza kabla haijaingia bandani unless achana nao.
 
Yuko safarini anaenda Arusha matembezi
Mwache abaki na njaa yake
 
Kwanza huyo mwanamke atakuwa na mwanaume mwingine wa maisha yake wewe anakitumia kupata pesa za vikoba au upatu
 
Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini.

Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana.

Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano dk 7 tu. Akanipa na namba nk. Nlimkuta ofisini kwake. Nikampenda sababu ni mzuri na anajishughulisha.

Juzi nlimsalimia dk chache tu. Na leo asubuhi akani flash (kitu ambacho pia huwa sipendi) but sikutaka kesi.nikampigia akaniambia yupo safarini to Arusha. Tukaongea kidogo na kuamua tuchat.

Hizi ndo msgs zake whatsapp.
View attachment 2441763
Tayari ameanza nitangazia njaa. Kweli mtu utatoka Dar uende Arusha usifikirie kama njiani utakula? Usijipange njaa ikiuma utafanyaje? Hizi ni roho za Kimaskini. Mimi sipendi cheap women wa namna hii. Huyu nlitamani tuwe karibu then nimwongezee hata mtaji au biashara yake ikue but amenivunja moyo sana.

Sasa najiuliza napokuwa natafuta girlfriend nakosea wapi? Kwa nini kila naokutana nao wananitangazia shida? Mi natamani sana kuwe na Upendo. Naombeni ushari wenu please.
Ungempa hela ya kula binti wa watu,sioni hoja ya kuja kusema huku. Kutoa ni moyo, acha ubahili chizi.
 
Mkuu nakuhakikishia kwamba kamwe hutokuja kutongoza mwanamke asiyeomba pesa.
Kila mwanamke Ni mwomba pesa sema wanapishana Katika speed na muda wa kuomba pesa.

Tafuta tu pesa uwe nazo za kutosha ili uweze kuhimili mikiki ya wanawake.
 
Wanaume tunaamini dem anayejielewa na anayekuelewa hawezi kukuomba hela hovyo hovyo

Wanawake wanaamini mwanaume anayejielewa na anayekuelewa ukimwomba hela mda wowote atakupa hawezi kukunyima

Sema twendeni tutafuka tu
Kweli tukielewa tuna aibu kuomba, kuna raha yake upewe hela bila kuomba, ila kuna viumbe mwaka unakata hajiongezi hata hadi unapata makasiriko.
 
Back
Top Bottom