Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

Ukiona hizi ishu ndogo hivi mnaiwekea mada kisa umeombwa 10k tu ya kula,kausha mahusiano sio lazima kabisa si kuna wale wanaojiuza
Ukiona mtu ana comment kwenye ishu ndogo ujue ndo anataka kuibukia hapo akidhani itamsaidia.
 
Hivi vizinga haviwezi hata siku moja ku sustain maisha ya mwanamke. Utadanga wee mwishowe maisha yako yatakuwa na nafuu kipindi utakapopata danga la maana, hilo danga lenyewe haliwezi kuwa na wewe siku zote. Akikuacha unarudi palepale. Kuna binti wa dada yangu kamaliza chuo mwaka jana, alikuwa anapiga vizinga vya elfu 5 hadi 10. Nikamuambia, hayo sio maisha. Huwa anaweza kutengeneza juice nzuri sana. Nikamuambia mtaji wa elfu 7 tu unakutosha kuanza biasahara ya juice. Alianza kutengeneza juice lita 20 kwa sasa anamaliza lita 40 kwa siku. Na anapata faida si chini ya 20k. Ka save hela zake za kutosha. Anaamka asubuhi anaenda Buguruni, saa nne anaanza kutengeneza juice. Huku anatafuta kazi ,huku hela inaingia.
 
Yuko safarini anaenda Arusha matembezi
Mwache abaki na njaa yake
Yaani huwa siko comfortable kabisa kumuomba mwanaume hela. Toka tukiwa wadogo tumefundishwa kutokula kwa watu na kuombaomba hela. Hiyo nimekuwa nayo mpaka sasa. Usitake hela ambayo hujaifanyia kazi unless otherwise ni professional mdangaji. Hata kama ni mpenzi wako, wote mnaenjoy kufanya mapenzi why uombe ombe. Kuna shida zinatokea kama vile ugonjwa etc hizo ndio za kusaidiana lakini sijui kusuka etc, mwili wako unataka eti mtu aupendezeshe ambaye hata sio mumeo chaa.
 
HUYU DADA AJENGEWE MNARA DAR ES SALAAM , DODOMA, MWANZA,MBEYA, ARUSHA NA TANGA. NA HILI DARAJA LA TANZANITE LIITWE KWA JINA LAKE KABISA. SIKUJUA KUNA WANAWAKE WA NAMNA HII DUNIA YA SASA.
 
Yaani huwa siko comfortable kabisa kumuomba mwanaume hela. Toka tukiwa wadogo tumefundishwa kutokula kwa watu na kuombaomba hela. Hiyo nimekuwa nayo mpaka sasa. Usitake hela ambayo hujaifanyia kazi unless otherwise ni professional mdangaji. Hata kama ni mpenzi wako, wote mnaenjoy kufanya mapenzi why uombe ombe. Kuna shida zinatokea kama vile ugonjwa etc hizo ndio za kusaidiana lakini sijui kusuka etc, mwili wako unataka eti mtu aupendezeshe ambaye hata sio mumeo chaa.
Wanawake kama nyie wamebaki wachache sana wengine ndo Tamaa za maisha kutaka kuishi kama mastar wa bongo mwisho wa siku wanaishia kudanga na kuwa masingo maza #APPRECIATE TO YOU UNA AKILI SANA
 
Ukiona mwanamke anakuambia njaa inauma anza kujitetea kwa kumtangazia unaumwa asipo kuelewa huna mke / demu hapo au anza kufungua waleti kama unazo za kuchezea .. Siku hizi hawaombie ela wanasema wanasikia njaa.. na usije ukajichanganya uka muuliza mwanamke kama amekula ole wako..
 
Back
Top Bottom